Rais halali wa Gambia na first lady wawili.

Rais halali wa Gambia na first lady wawili.

Rais kuwa na wanawake wawili?Sijaipenda.Mbona Mungu alimuumbia Adam mmoja?Yaani anataka kutuaminisha kwamba Mungu alikosea?There is something seriously wrong.

Hapo unakosea kwa kulazimisha ukristo uwe ndiyo taratibu za maisha ya watu wote duniani kama ambavyo waislam baadhi yao wanaamini asiyemuislam ni adui yao rejea IS na al-shabaab ukweli ni kwamba maisha ya mtu ni yake binafis na maamuzi yake ni yake binafsi umetoa mfano wa Adamu na Eva mbona hukumsema Mfalme Suleiman alikuwa na wanawake wangapi na Nabii DAUDI ??? Dini zimekuja siyo kuharibu maisha na kuwatesa watu bali kuboresha maisha lakini kwa sababu ya uelewa mdogo watu wengi wanaishi kwa mateso makubwa hasa wakristo kama mimi wakidhani wanamtumikia Mungu kumbe wanamtumikia shetani bila kujua. Mfano hai kwangu nilifunga ndoa ya kikristo na mama mmoja ambaye baada ya kukaa naye miaka kadhaa hatukupata mtoto baadaye ikajagundulika kwamba awezi kuzaa na Mungu amesema enendeni mkaijaze nchi lakini dini inaniambia ni huyohuyo tu mpaka kufa nikajiuliza nikagundua hapo kuna utapeli fulani inakuwaje tatizo la mwenzangu nilibebe mimi tena pengine la kujitakia nikachepuka mara mapacha wawili wakapatikana mara nyingine tena mtoto wa kiume sura kama mimi na wa nne mtoto wa kike. Sasa wewe uliyeng'angania maapizo ya mke huyohuyo mpaka kufa unamfurahisha Padre kwa kufa bila kuzaaa wakati Mungu alikuumba umekamilika???
VITU VINGINE TUMIENI AKILI NA AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA YA KWAKO MSIINGIE KICHWAKICHWA MTAANGAMIA
 
Hiv kwamfano barrow au mtu ukiwa na wake wawili uanaweza kusex nao kwa pamoja kitanda kimoja kama tunavyoona kwenye www.xvideo.com ambapo mwanaume mmoja anafanya mapenzi na wanawake wawil
 
Back
Top Bottom