ABUJA: Rais wa Nigeria aomba kibali cha bunge la Senate kutuma jeshi Nchini Niger

MTZ 255Dar

JF-Expert Member
Sep 25, 2018
1,114
3,768
Rais wa Nigeria Bola Tinubu ametuma barua rasmi kwenye bunge la Senate la Nchi hiyo ili kupewa ruhusa kwa jeshi la Nigeria kuingia nchini Niger na kuwaondoa wanajeshi waliokalia madaraka baada ya kuipindua serikali iliyochaguliwa kidemokrasia nchini humo.

Mawaziri wa Ulinzi wa ECOWAS wametoa makataa ya hadi tarehe 6 mwezi Agosti siku ya jumapili kuwa ndio mwisho wa jeshi hilo kuachia madaraka na kumrudisha rais halali wa nchi hiyo lasivyo jeshi la ECOWAS litaingilia kati kurejesha utulivu.

Itakumbukwa kuwa mwaka 2019 jeshi la ECOWAS liliingilia kijeshi nchini GAMBIA baada ya Dikteta Yahaya Jameh kukataa kukabidhi madaraka kwa mpinzani wake Adama Barrow baada ya kushindwa uchaguzi huo. Shinikizo hilo lilipelekea Dikteta huyo kuikimbia nchi ya Gambia na Adam Barrow kuapishwa kuwa rais.

Tinubu is reportedly seeking support to intervene against the ruling military in Niger, where a coup removed the gov’t. Nigeria’s Tinubu seeks Senate support for ECOWAS intervention in Niger
 
Rais wa Nigeria Bola Tinubu ametuma barua rasmi kwenye bunge la Senate la Nchi hiyo ili kupewa ruhusa kwa jeshi la Nigeria kuingia nchini Niger na kuwaondoa wanajeshi waliokalia madaraka baada ya kuipindua serikali iliyochaguliwa kidemokrasia nchini humo. Mawaziri wa Ulinzi wa ECOWAS wametoa makataa ya hadi tarehe 6 mwezi Agosti siku ya jumapili kuwa ndio mwisho wa jeshi hilo kuachia madaraka na kumrudisha rais halali wa nchi hiyo lasivyo jeshi la ECOWAS litaingilia kati kurejesha utulivu.

Ya kwake hajayamaliza anakimbilia ya wenzake?

Yake yake unatoa msaada wa chakula Zimbabwe wakati wa kwako Simiyu wanakufa njaa.
 
Rais wa Nigeria Bola Tinubu ametuma barua rasmi kwenye bunge la Senate la Nchi hiyo ili kupewa ruhusa kwa jeshi la Nigeria kuingia nchini Niger na kuwaondoa wanajeshi waliokalia madaraka baada ya kuipindua serikali iliyochaguliwa kidemokrasia nchini humo. Mawaziri wa Ulinzi wa ECOWAS wametoa makataa ya hadi tarehe 6 mwezi Agosti siku ya jumapili kuwa ndio mwisho wa jeshi hilo kuachia madaraka na kumrudisha rais halali wa nchi hiyo lasivyo jeshi la ECOWAS litaingilia kati kurejesha utulivu.

Itakumbukwa kuwa mwaka 2019 jeshi la ECOWAS liliingilia kijeshi nchini GAMBIA baada ya Dikteta Yahaya Jameh kukataa kukabidhi madaraka kwa mpinzani wake Adama Barrow baada ya kushindwa uchaguzi huo. Shinikizo hilo lilipelekea Dikteta huyo kuikimbia nchi ya Gambia na Adam Barrow kuapishwa kuwa rais.

Tinubu is reportedly seeking support to intervene against the ruling military in Niger, where a coup removed the gov’t. Nigeria’s Tinubu seeks Senate support for ECOWAS intervention in Niger
Safi
 
2019 Urussi hakuwepo,ila Leo yupo,waje tuwaonyeshe kilichomtoa kanga manyonya
 
Back
Top Bottom