Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 19,408
- 25,932
Jinsi MZUNGU anavyombagua mwafrika kuna nafuu kuliko mmarekani mweusi anavyombagua mwafrikaManeno meengi but we can't forget the evil ya wazungu View attachment 1471863
Jinsi MZUNGU anavyombagua mwafrika kuna nafuu kuliko mmarekani mweusi anavyombagua mwafrikaManeno meengi but we can't forget the evil ya wazungu View attachment 1471863
Originally whites ni wazungu waingereza tu... hivi "whites" ina-include waarabu, wachina, wahindi, etc. au ni wazungu tu?
The other day ulimuita Joe Bidden , the Sleepy Bidden. Leo unamuona opponent wake nae hafai.Too late!
Sidhani kama kuna atayemsikiliza.
Ni kama vile kalazimishwa tu kwa sababu za kisiasa na si jambo lenye umuhimu kwake.
Naamini ni wachache mno wataomwona kuwa anayaamini hayo atayoyaongelea.
Jamaa kachemsha sana kwenye hili suala la Floyd.
Sijawahi kuona incumbent president anayefanya kila juhudi ili asiweze kuchaguliwa kwa muhula wa pili kama ambavyo afanyavyo Trump!
Hivi ni nani kwanza atayeamini kwamba hayo atayoyaongea yanatoka moyoni?
hahaha jamaa alikua anamuona biden hafaiThe other day ulimuita Joe Bidden , the Sleepy Bidden. Leo unamuona opponent wake nae hafai.
Wewe kweli hamnazo
Hata hao blacks hawajawahi kuwapenda waafrika, sema shobo zetu tu za kujipendekeza kwaoTrump hajawahi kupenda blacks hata siku moja. Hata sheria anazosaini kila mara za kuzuia wahamiaji kuingia USA sana sana analenga kuwazuia Waafrica kuingia nchini kwake.
Kwan mie kuna sehemu nimesema umesema kaleta yeye?!Kunasehemu nilisema kaleta yeye MKUU ?!
ila ana uwezo wakuyaondoa kama akiamua japokua hatayaondoa kwaamri yake
Kama anapinga ushoga aanze kuupiga vita uondoke
sijawahi mpinga turampet nandio maana natamani ashinde aendelee kua Rais wa states
Nyie watu ni majuha kweli!hahaha jamaa alikua anamuona biden hafai
ila kaujua udhaifu wa DT nahisi ndio maana kabadilika
Kwan mie kuna sehemu nimesema umesema kaleta yeye?!
Kwenye nchi ya kidemokrasia ushoga au kitu chochote kile kinaondoshwa kwa nguvu ya Rais?! Vipi hapa bongo ambapo hata sheria hauutambui vipi ushaondoka? Eti ana uwezo wa kuuondoa! We hujui mfumo wa kiutawala wa Marekani.
Ila kwawakati ule ulimuona joe sleepy kama ulivyomwita ndio alikua wahovyo zaidi MKUU ama ushasahau ?!Nyie watu ni majuha kweli!
kwani siwezi kuwaona wote wawili kuwa hawafai?
Trump hovyo. Biden naye hovyo vilevile.
Duh! Hata kuandika vizuri na ukaeleweka ni shida!Ila kwawakati ule ulimuona joe sleepy kama ulivyomwita ndio alikua wahovyo zaidi MKUU ama ushasahau ?!
tulete zile kumbu kumbu hapa ?!
Duh! Kazi kwelikweli, ila nimegundua shida yako wewe ni kubwa mno, ebu kajifunze kwanza kuhusu nguvu na madaraka ya Rais wa Marekani. Eti kwa kuwa Rais hapendi uislam au ukatoliki ndo anaweza kuamka tu na kuupiga marufuku. Jitahidi basi kuhoji vitu vinavyoeleweka!
ss jamaa anaupiga marufuku ushoga wapi MKUU
kama unajua ushoga upo kwenye nchi yakidemokrasia anayotawala Trump
Tuombe mungu ashinde ili wakomunist wapate opportunity ya kuwa super powerMKUU wengine tunaposema TURAMPET nirais wahovyo kabisa kuwahi kumshuhudia akiwa anaiongoza US hua tunamaanisha
Japokua tukishasema haya watu wanatoa maneno yakashfa dhidi yetu ila hatujali sababu maneno tu
Ila Turampet hatakama atashinda Basi atabakia kuwa Rais wahovyo kabisa kuiongoza states ambae nimewahi Kumshuhudia
Kizee hakijitambui kile...
Natamani sana jamaa ashinde tena ule ushindi wakishindo kabisaTuombe mungu ashinde ili wakomunist wapate opportunity ya kuwa super power
Kwani unadhani Russia wali muweka pale kwa bahati mbaya ??Natamani sana jamaa ashinde tena ule ushindi wakishindo kabisa
Maana sasa hv huko ndani kunawaka moto sijawahi kuiona US ilogawanyika kama yahuyu BABU.....
waliona mbali japokuna raia watasema jamaa hajaekwa sababu uchunguzi ulishakamilika kama jamaa hakuekwaKwani unadhani Russia wali muweka pale kwa bahati mbaya ??
Hataki kubadirisha sura yake kisa kura.Kabaki Trump yule yule hajataka kujifakeToo late!
Sidhani kama kuna atayemsikiliza.
Ni kama vile kalazimishwa tu kwa sababu za kisiasa na si jambo lenye umuhimu kwake.
Naamini ni wachache mno wataomwona kuwa anayaamini hayo atayoyaongelea.
Jamaa kachemsha sana kwenye hili suala la Floyd.
Sijawahi kuona incumbent president anayefanya kila juhudi ili asiweze kuchaguliwa kwa muhula wa pili kama ambavyo afanyavyo Trump!
Hivi ni nani kwanza atayeamini kwamba hayo atayoyaongea yanatoka moyoni?
Huyu Jamaa Watu wanamchukulia poa lkn huyu jamaa ni GeniusTrump anacheza kete za kuwafurahisha white nationalists ambao ni majority na wako silent kwa sasa. Anajua siku ya kura watampigia enmasse
Ukiona anashinda basi ujue anafaa kwa mahitaji ya AmericaMKUU wengine tunaposema TURAMPET nirais wahovyo kabisa kuwahi kumshuhudia akiwa anaiongoza US hua tunamaanisha