Rais Dkt. Magufuli amtembelea Mzee Sitta kumjulia hali

Rais Dkt. Magufuli amtembelea Mzee Sitta kumjulia hali

Magazeti ya Uhuru hata maandazi hayafai kufungia. Ni aibu sana. Ni nuksi.
Sina hakika pale Ikulu kama huwa wanasoma hilo gazeti.
 
Pole sana Six, na poleni hapo Lumumba media, inaonekana bado kuna vijipu hapo, iweje mitambo iuzwe,nani kauza na nani kanunua,wote manzi ga nyanza.lkn binadamu wako na pembe kama mbogo. jitihada zooote za mh.JPM kutumbua hao bado wana ujasili wa kufanya madudu,tena ofisi za Lumumba,? huku mikoani??tusimpe Rais wetu presha bure.
 
Pole sana Mzee Sitta. Ni vizuri sasa ukajifunza kulinda kinywa chako juu ya Afya za wengine walioumbwa na Mungu. Ile laana wa kumuombea mabaya Lowassa iliyofanywa na makada wa CCM mwaka jana ni lazima itawatafuna makada wote wa CCM, mpaka waje hadharani kumuomba msamaha Lowassa na kutubu kwa Muumba.

"mtukufu" naye anapaswa sasa kwenda Kagera kuwapa pole waathirika. Aache mambo yake ya ajabu ajabu.

Vipi tena UN hajakwenda? Mbona bado yupo Dar anazurura tu kwenye ofisi za Propaganda za CCM?

Angalia, wasije usalama wa taifa wakakuletea shida punguza lugha kali
 
"Aidha, Dkt. Magufuli amewapongeza wafanyakazi wa Gazeti la Uhuru kwa KAZI KUBWA na NZURI wanayoifanya ... na kwamba atahakikishia anaboresha hali ya chombo hicho MUHIMU."

Ha ha ha ha!
 
Back
Top Bottom