Nyote mliomtusi mtafikwa
Huna akili ndio sababu unaamini kila Kiongozi akiumwa ni kwa sababu kamtukana Lowassa!
Mabere Marando nae alimtukana Lowassa?
Nyote mliomtusi mtafikwa
Eti vijipu. Acheni utani bana.Pole sana Six, na poleni hapo Lumumba media, inaonekana bado kuna vijipu hapo, iweje mitambo iuzwe,nani kauza na nani kanunua,wote manzi ga nyanza.lkn binadamu wako na pembe kama mbogo. jitihada zooote za mh.JPM kutumbua hao bado wana ujasili wa kufanya madudu,tena ofisi za Lumumba,? huku mikoani??tusimpe Rais wetu presha bure.
haelewi majukumu yakejamani ziara za kichama nazo zina repotiwa toka ikulu sasa msemaji wa chama atasema kwenye lipi .
Leo mzee sitta hajaombewa kama alivyoombewa mzee malechela mana wakati malechela anaombewa kuna mtu alikua anapiga picha leo naona picha ya cheko tu.
Na hayo mambo ya kuto lipwa hayapo hapo tu aje na huku kwenye makampuni ya wahindi/ wachina
Tatizo wako kichama,ingekuwa ni gazeti la mpira Msimbazi /Yanga lingeongoza kwa mauzo. Ila Chama. Mhj... Napita[emoji188] [emoji188]Hivi gazeti la uhuru linashika namba ngapi kwa mauzo?
Huna akili ndio sababu unaamini kila Kiongozi akiumwa ni kwa sababu kamtukana Lowassa!
Mabere Marando nae alimtukana Lowassa?
Watu wamekimbia UN haaaa
Makwambia nyote mtaguswa bado wewe na hauko mbali
Wa Kagera wafanye kazi tu.Hivi Mtukufu alienda Kagera-Bukoba????
Hata Sumaye nae alimtukana Lowassa maana nae alilazwa Muhimbili!
Freeman Mbowe nae alilazwa Muhimbili wakati wa Kampeni.
Swali gani hiliHivi Mtukufu alienda Kagera-Bukoba????
Swali gani hili
[emoji1] [emoji1] [emoji1]swali gumu