Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Rais ndiyo Nembo

Payrol

JF-Expert Member
Feb 17, 2018
1,741
2,000
"Mtu anasimama analalamika eti sina mahusiano mazuri na Nchi za Ulaya kwani ni lazima mtu kwenda huko Ulaya, hata sasa kuna mkutano wa umoja wa mataifa nimesema siendi nitatuma Mabalozi wetu wakatuwakilishe huko na ndiomaana tukawaweka huko watuwakilishe"

"Ningekuwa sina mahusiano mazuri je ningechaguliwa kuwa mwenyekiti wa SADC, mimi nitabakia hapa hapa kuwapambania Watanzania wanyonge walionipigia kura sio lazima kwenda huko Ulaya " Dkt. Magufuli CHATO

Wewe ndiye Rais wetu, uliechaguliwa kwa matokeo ya uchaguzi. Tulitegemea utakua unaiwakilisha nchi katika mikutano ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na pia Umoja wa Afrika. Matokeo yake uliwatuma wateule na wasaidizi wako. Tunahitaji Rais atakaetuwakilisha kwenye mikutano. Hatukuchagua mwari wa kukaa ndani.
Daaaaaaaaah Hivi CCM mlianzaje kutuletea mtu huyu ambaye hakuna anachokielewa, Huyu naamini hata historia ya Tanzania haijui.
Hivi uongozi wa SADC unachaguliwa au unaenda kwa awamu ya nchi?
Maana ka ingekua unachaguliwa naamini asingepata hicho kiti cha uenyekiti wa SADC
 
MWALLA

JF-Expert Member
Dec 12, 2006
15,224

UN yasikitishwa na 'ukandamizwaji wa demokrasia,haki za binadamu' Tanzania - BBC News Swahili
 
MWALLA

JF-Expert Member
Dec 12, 2006
15,224
2,000
Kwan lazima aende Magufuli huko nje, unaelewa nini maana ya ugatuzi wa madaraka.
UGATUZI NI UCHAFUZI WA MADARAKA.... KAMA ALIVYO MEKO KILA KITU ANAAMUA YEYE.. M/KITI WA MTAAA ANACHAGUA YEYE BALOZI YEYE MKUU WILAYA YEYE MKOA YEYE MKURUGENZI YEYE KUJENGA BARABAA YEYE MADARAJA SALENDABRIDGE YEYE KIDOTI YEYE.. :D :rolleyes: YAANI KILA KITU YEYE.. KISUKUMA YEYE KIHUTU YEYE.. KATERERO YA KAGERA YEYE.. huu ndio ugatuzi wenyu na iwe lenyu
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
7,346
2,000
CCM inawanachama hai zaid ya 8.7m+, bado wanao fall in love hawa hawana vyama, wengine ni wa vyama vingine nk.

Sasa jiulize mwaka 2005, 2010, 2015 na sasa 2020 unadhani ni kiasi gani cha watanzania wamejiandikisha kupiga kura na kulingana na takwimu za wanachama wa ccm nk nikiasi gani kwa makadirio tu ya kawaida ccm itashinda na huwa inashinda.

Matokeo hayahojiwi kwasababu ya sheria iliyowekwa, na sio kwamba imewekwa na wanaccm bali na wawakilishi wa wananchi kutoka vyama vyote, kama wanaona sheria hii inawazuia kuhoji basi wao waliotunga na kupitisha wanaweza kubadilisha
Sheria zetu hutungwa na kupitishwa na wabunge wa CCM hili halina mjadala. Hilo la wanachama 8+ milioni ni lako wewe na sijui lini ulifanya uhakiki huo na hata kama ulifanya uhakiki kumbuka wamo wanachama ambao hupigia kura mgombea wa chama kingine.
 
mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,754
2,000
Huyu jamaa hata Civics hakusomaga ,pamoja na kuwa serikalini 20 years ana demonstrate incompetency kubwa Sana kwenye mambo ya democracy na utawala
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
19,920
2,000
"Mtu anasimama analalamika eti sina mahusiano mazuri na Nchi za Ulaya kwani ni lazima mtu kwenda huko Ulaya, hata sasa kuna mkutano wa umoja wa mataifa nimesema siendi nitatuma Mabalozi wetu wakatuwakilishe huko na ndiomaana tukawaweka huko watuwakilishe"

"Ningekuwa sina mahusiano mazuri je ningechaguliwa kuwa mwenyekiti wa SADC, mimi nitabakia hapa hapa kuwapambania Watanzania wanyonge walionipigia kura sio lazima kwenda huko Ulaya " Dkt. Magufuli CHATO

Wewe ndiye Rais wetu, uliechaguliwa kwa matokeo ya uchaguzi. Tulitegemea utakua unaiwakilisha nchi katika mikutano ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na pia Umoja wa Afrika. Matokeo yake uliwatuma wateule na wasaidizi wako. Tunahitaji Rais atakaetuwakilisha kwenye mikutano. Hatukuchagua mwari wa kukaa ndani.
..hivi Jpm hajui kwamba uenyekiti wa sadc hupatikana kwa mzunguko?

..labda Prof wa jalalani ndiye aliyemdanganya kuwa amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa sadc.
 
Munjombe

JF-Expert Member
Dec 10, 2018
260
250
"Mtu anasimama analalamika eti sina mahusiano mazuri na Nchi za Ulaya kwani ni lazima mtu kwenda huko Ulaya, hata sasa kuna mkutano wa umoja wa mataifa nimesema siendi nitatuma Mabalozi wetu wakatuwakilishe huko na ndiomaana tukawaweka huko watuwakilishe"

"Ningekuwa sina mahusiano mazuri je ningechaguliwa kuwa mwenyekiti wa SADC, mimi nitabakia hapa hapa kuwapambania Watanzania wanyonge walionipigia kura sio lazima kwenda huko Ulaya " Dkt. Magufuli CHATO

Wewe ndiye Rais wetu, uliechaguliwa kwa matokeo ya uchaguzi. Tulitegemea utakua unaiwakilisha nchi katika mikutano ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na pia Umoja wa Afrika. Matokeo yake uliwatuma wateule na wasaidizi wako. Tunahitaji Rais atakaetuwakilisha kwenye mikutano. Hatukuchagua mwari wa kukaa ndani.
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
19,920
2,000
Daaaaaaaaah Hivi CCM mlianzaje kutuletea mtu huyu ambaye hakuna anachokielewa, Huyu naamini hata historia ya Tanzania haijui.
Hivi uongozi wa SADC unachaguliwa au unaenda kwa awamu ya nchi?
Maana ka ingekua unachaguliwa naamini asingepata hicho kiti cha uenyekiti wa SADC
..kweli.

..ingekuwa ni nafasi ya kuchaguliwa asingeipata.

..na angekwama kwasababu hawezi kuomba kura kwa kimombo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom