Rais Dkt John Magufuli Ampongeza Rais Museveni kwa ushindi wa Kishindo kwenye Uchaguzi Mkuu Uganda

Ametoa pongezi hizo leo kupitia ukurasa wake maalumu wa Twitter

Rais Magufuli amempongeza Rais Yoweli Kaguta Museveni kwa ushindi mnono huku akiahidi kudumisha undugu na urafiki uliopo kwa maslahi ya nchi zote mbili

Aidha amewapongeza Wananchi wa Uganda kwa kufanikisha Uchaguzi huo huku akiwaomba kuzidi kutunza na kudumisha amani nchini mwao.
==
Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amempongeza Rais Yoweri Museveni wa Uganda kwa kuchaguliwa na kutangazwa na Tume ya Uchaguzi ya Uganda kuwa mshindi wa Urais

Rais Magufuli amesema Tanzania itaendeleza urafiki na udugu uliopo kwa maslahi mapana ya wananchi. Pia amewapongeza waganda kwa kumaliza Uchaguzi Mkuu kwa amani

Januari 16, Tume ya Uchaguzi ya Uganda ilisema Yoweri Museveni amepata Kura 5,851,037 sawa na 58.64% akifuatiwa na Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) akipata Kura 3,475,298 sawa na 34.83%
View attachment 1679412
Wahenga

Waswahili walisema " waarabu wapemba, wajuana kwa vilemba" ngoja tusubir tu mda haukawii
 
Waganda wangempa Bobiwaini nchi ningewadharau sana.....

Mara ya pili ndani ya miezi mitatu Bobiamstadamu anaendelea kushindwa kwa kishindo afrika mashariki
Wewe ni nani kwa Waganda hata dharau yako kwao iwe na umuhimu huo? Maskini kwa kujikweza bwn!!!!
 
Kati ya mimi na wewe nani anajikweza🙄🙄🙄🙄 mwenyewe utanikuta Bilgate wakati hata Bakhressa humkuti... mfyuuuu

Haya bobiwaini na bobiamstadam wameshindwa tena...... Unaumia eeee😂😂😂😂😂
 
Waganda wangempa Bobiwaini nchi ningewadharau sana.....

Mara ya pili ndani ya miezi mitatu Bobiamstadamu anaendelea kushindwa kwa kishindo afrika mashariki😂😂😂
Bibi du,kazi ipo kwa waafrika we still have long way to go..hakika sio hii generation.
 
Sielewi unachotetea ni nini bibie! Siku wapumbavu kama ninyi mtakapoisha, ndipo siku tutakayopata uhuru wa kweli

Usiseme huelewi, sema hatuelewagi.

Kwa kudhania kina Bobiwaini na bobiamstadam wangeshinda mimi nakuona mpumbavu na mwafrika uliyekosa dira kabisa
Vyama vya siasa mfike mahali muwe serious na watu mnaopendekeza washike dola
 
Bibi du,kazi ipo kwa waafrika we still have long way to go..hakika sio hii generation.
Wakati nchi za Asia na Latin America zinafikiria maendeleo ya uchumi, vijana wetu wakina Kyagulani, Lissu n. k - wanawaza ukombozi ili wawe kama wakina Nyerere, Mandera. Nkuruma etc.
Hawajui kuwa hao ni zilipendwa! Wanazungumzia ukombozi! Mwisho wa siku hawapati support ya wananchi. Mabeberu wanawadanganya.
 
Ni walipakodi wanaoumia kwa kufanya chaguzi za viinimacho duniani - wangefuta uchaguzi fedha zikaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo

Nchi nyingi duniani zimegeuza suala la uchaguzi kama sinema za RAMBO
 
Waganda wangempa Bobiwaini nchi ningewadharau sana.....

Mara ya pili ndani ya miezi mitatu Bobiamstadamu anaendelea kushindwa kwa kishindo afrika mashariki
Kudharauliwa na tabula rasa hakumnyimi usingizi mwenye akili.
 
Usiseme huelewi, sema hatuelewagi.

Kwa kudhania kina Bobiwaini na bobiamstadam wangeshinda mimi nakuona mpumbavu na mwafrika uliyekosa dira kabisa
Vyama vya siasa mfike mahali muwe serious na watu mnaopendekeza washike dola
Kama A. H. M, J. M. K, J. P. M wamekuwa marais, kati ya Watanzania milioni 60, ni wewe pekee usiyeweza kuwa rais.
 
Kudharauliwa na tabula rasa hakumnyimi usingizi mwenye akili.
Unaumia eeee.....😂😂😂😂

Ma tabula rasa ni wale waliokua na mipango ya kuweka rehani rasilimali za taifa kwa mabwana zao ili wapewe pesa
Ma tabula rasa ni wale waliopata ruzuku za mabilion lakini hawana office za chama

Kama A. H. M, J. M. K, J. P. M wamekuwa marais, kati ya Watanzania milioni 60, ni wewe pekee usiyeweza kuwa rais.
Hivi kwanini hukutokea kwenye yale maandamano yenu na TunduAmstadam🙄
 
1610886449011.png
 
Waganda wangempa Bobiwaini nchi ningewadharau sana.....

Mara ya pili ndani ya miezi mitatu Bobiamstadamu anaendelea kushindwa kwa kishindo afrika mashwa

Kati ya mimi na wewe nani anajikweza🙄🙄🙄🙄 mwenyewe utanikuta Bilgate wakati hata Bakhressa humkuti... mfyuuuu

Haya bobiwaini na bobiamstadam wameshindwa tena...... Unaumia eeee😂😂😂😂😂
Lipo jampo kubwa Kama bahari ya sham ,halibebeki, in east afrika are very closed, hizi jeuri za kutumia manguvu, halitatuacha salama, mgonja tusubili
 
Nguvu ya kina amstadam imeshindwa tena na nguvu ya wananchi waafrica
 
Watu wanamzungumzia Bobi Wine kama mjinga mmoja. Mtu aliyeweza kuwa galvanise Waganda mamilioni highly educated.....siyo kama mabua, weee unakujasema ningewashangaa kama wangemchagua! Uliwahi kusikia hata interview moja ya Bobi Wine? Ungeifahamu?
Jinga kabisa.
Bobi Wine yuko smarter kuliko Museveni. Programme yake ni ya futuristic. Angeshika, Uganda ingekuwa kama Rwanda na zaidi. Maana Rwanda imejengwa na akili za Kiganda!
 
Back
Top Bottom