Rais anisukuma nipigane vita


Sina haja ya wewe kuniamini maana mimi ni binadamu kama wengine, ila ninaamini utakubaliana na ninacho kisema baada ya kumaliza kukitenda.
Nakuakikishia stay tune and u W'll undastant what i'm talking about

Hopely utakuwa unatafuta haki ya dhulma aliyotendewa mwanao/nduguyo na nina imani njia ya haki itakupa majibu ya haki. Good luck
 
Na kweli mkuu, watu wa Lizaboni hatupo hivyo, aache kabisa kutumia jina hilo anapoposti utumbo wake
 

Kama kweli unajua aliyemuua Mwanao na unaogopa kumchukulia hatua eti kwa sababu utauawa,Basi utakuja kufa Kifo kibaya zaidi ya cha Mtoto wako.
 

Ndio maana siku ile nilipokuwa nasambaza zile nukuhu za Mwampamba kutoka kwenye "Kilio cha Usaliti" ambazo zilikuwa zikimnukuu Mwampamba akieleza kuhusu mipango ya PM7 na kuelezea ushiriki wa Zitto, nikala BAN! Nilishangaa sana kufungiwa kwa sababu dhaifu kama ile! Maana kama kuna mahali ambapo Zitto alivuliwa nguo, basi ni kwenye waraka ule.
 
Kama kweli unajua aliyemuua Mwanao na unaogopa kumchukulia hatua eti kwa sababu utauawa,Basi utakuja kufa Kifo kubaya zaidi ya cha Mtoto wako.

Na kama aliyajua hayo mapema, wakati bado Mwigulu, muuaji wa mwanae bado yupo huko huko Arusha halafu akashindwa kumtawanya viungo wakati alikuwa karibu nae, basi kuna haja ya jamaa kwenda kufanyiwa kipimo cha jinsia. Tazama Wanaume walivyomalizana na yule Nyambaf wa Mwanza.
 

Ook, sasa labda nikuulize swali.
Wewe umeamua kuingia kwenye battle ground kwa sababu mtoto WAKO TU( nielewe vizuri) alikufa??
 

Mimi nashangaa analeta Porojo wakati Muuaji wa Mtoto wake anamjua.Hata Mtoto wake huko aliko anajilaumu kwa nini amezaliwa na Baba mwoga kiasi hiki.
 
Ook, sasa labda nikuulize swali.
Wewe umeamua kuingia kwenye battle ground kwa sababu mtoto WAKO TU( nielewe vizuri) alikufa??

Tena amechelewa sana.Alitakiwa alianzishe palepale Bomu lilipolipuka na kumuua Mwanae.Hata Vitabu vitakatifu vinasema AUAYE KWA UPANGA ATAKUFA KWA UPANGA.
 
Mkuu,

Simamia ukweli haki itendeke kwa Nchemba. Tanzania haiwezi kuendeshwa kinyama namna hiyo. Ninachokijua, hata kama haki haitapatikana mahakama, hukumu itokayo juu itatosha kwa ilo Li-Savimbi.
Japo ni huzuni ila hapo kwenye red nimecheka sana. Pole muathirika.
 
Asante mkuu kwa maneno yako yenye ujasiri, pia nataka nijadiliane na mwanasheria wangu niangalie kama nitaweza kuviandikia vyombo vya habari kama ITV, STAR TV, CHANEL 10 nk, ili nifanye press kala ya kulifikisha hili swala mahakamani.
Kama unauhakika wape hiyo issue TANZANIA DAIMA,,,,,,wataikomalia kama issue ya Kapuya.
 
mkuu unamuomba rais aunde tume wakati yeye ndiye aliyewatuma kufanya kampeni chafu dhidi ya CHADEMA,
ila pia mwenyekiti wa CHADEMA lazima afanye kitu kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, hili suala ni nyeti na halivumiliki hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…