Rais anisukuma nipigane vita

Rais anisukuma nipigane vita

Mkuu ktk comment yako hii inaonyesha ni kwa kiasi gani binaadamu tumekosa ile hali ya kuwa binaadamu kwa kuwapenda binaadamu wenzetu bila kujali dini/rangi/kabila/itikadi za kivyama na vingine vya kufanana na hivyo ,kwa comment yako hii inatupa picha ni kwa kiasi gani kwa baadhi ya wanachama wa ccm(wengi wao) walivyo hatari kwa kuangamiza maisha ya binaadamu mwenzio eti kisa ni mpinzani wao.

Mungu ni mkubwa mnaendelea kujifunua na mtaendelea kujifunua kadiri ya muda unavyokwenda ,binafsi nilikuwa ktk mkutano wa kufunga kampeni zile pale Soweto na mlipuko ulivyotokea nilikuwa ktk eneo la tukio na kwa jinsi ukiona miili na damu za watu zilivyokuwa zimetapakaa(kilikuwa ni kitendo cha kigaidi) dah!.Nnawapa pole wahanga wote wa tukio lile ,ni tukio ambalo sidhani kama ninaweza kulisahahu ktk maisha yangu..Hivi kweli siasa ndio iwe kigezo cha kumwaga damu za watu!!!?Kwa tuliokesha na kuomba Mungu ipo siku maombi yetu yatajibiwa......
Wewe wanena
S9588.jpg
 
wewe mwekundu ni wewe huyu lep umekuwa mweupe wa kumtukana bosi wako mwigulu, angalie mkuu leo tusije kunyima bk 7 halafu tutakufuta kazi
mimi ni chama halisi kama ulikua huji mkuu spread the news,munavyomfanyia ZZK sio sawa
 
Mkuu! Unataka kuniambia Nchimbi alikuwa ni mtu hatari zaidi ya Nchemba!?

Kiukweli huyu bwana anayeitwa Emanueli Nchimbi sijawai kukutana nae na kuongea nae, ila kwa kuwa Mwigulu ni mtu aliyekuwa karibu yetu kipindi tunaendesha harakati za kulirudisha jimbo la Arusha ccm, pale tunapotaka kutumia polisi kumzibiti Lema au mikutano ya Chadema tulikuwa tunawasiliana na Mwigulu alafu yeye anawasiliana na Nchimbi hivyo ukaribu wao ulikuwa ni mkubwa.
Siwezi kusema Nchimbi alikuwa mbaya kuliko Mwigulu ila kiukweli Mwigulu ndio alikuwa anamwelekeza mambo mabaya mwenzake.
 
Mkuu Jaim, Hapo kwenye red naomba usiniusishe kabisa maana nilieleza na nina eleza kwamba tuliambiwa kuna jambo tunaletewa toka makao makuu ya chama, nikiwa namaanisha mipango yote ilipangiwa makao makuu ya ccm na huku arusha Mwigulu alituletea habari tu na sio alipanga na sisi.

Hapo kwenye bluu Hata mwanajeshi mwenye silaha akimuona adui awezi kumfuata kichwakichwa tu lazima avute subira uku akipanga mipango yakumkabili. Naomba uelewe kuwa Mwigulu alikuwa anatuakikishia kuwa ameshaongea na waziri Nchimbi na hakuna polisi atakaekuwa kinyume na sisi kipindi chote cha kampeni na ndio maana uliona siku moja tulipiga watu mapanga mchana kweupe mitaa ya Majengo na hakuna kijana yoyote wa ccm aliekamatwa.

Sasa kutokana na Mh. Raisi kumweka benchi Mh. Nchimbi ndio na sisi tumepata kamwanga kidogo.

m10.jpg
 
kwa hiyo CCM taifa wanabariki huu upuuzi wa Mwiguru,Mbona hadi sasa sijasikia kauli kutoka kwa Nape...

Mkuu hata siku moja usije ukafikiri ccm wanaweza kukikemea kitendo cha Mwigulu. Wanaolaani ndani ya ccm ni ccm wachache tu, tena nakwambia kuna miccm mingine ilifika mbali na kunitumia msg za kunifariji huku wakiandika kuwa "usijali kwanza mwanao alikuwa ameshajiunga na chadema hivyo angekuwa mkubwa angekusumbua sana"
Nakuambia Chadema hawajijui tuu jinsi gani ccm inavyowachukulia na laiti wangejua wangeiama ata hii nchi na anaebisha asubirie 2015 ifike ndo ataamini nilichoandika leo.
 
mimi ni chama halisi kama ulikua huji mkuu spread the news,munavyomfanyia ZZK sio sawa

Unataka Sera za chama au mtu? Kama unataka mtu uko sahihi kabisa kuwa against na CC ya CDM, lakini pia usiwe msahaulifu kwani zito wako akifanyiwa kile usichopenda ndio hapo sera za ccm zinakuwa na mashiko kwako ww mpinzani....mkuu tuna tatizo kwenye mfumo wa elimu nchi hii ila nadhani ni ukosefu wa kipato ndio unaandaa wasomi mapapeti kiasi hiki. Ok Pambana mkuu ili umnusuru zzk japo nikirejea kauli ya kamanda jasusi anayekifanyia kazi vyema chama chetu Bw. Yericko Nyerere ni kwamba zzk mpaka juzi ucku alikuwa amebakiza masaa 36 so huenda tukamsahau kwenye mafaili yetu pale Ufipa huyu nyoka mbaya
 
Mkuu hata siku moja usije ukafikiri ccm wanaweza kukikemea kitendo cha Mwigulu. Wanaolaani ndani ya ccm ni ccm wachache tu, tena nakwambia kuna miccm mingine ilifika mbali na kunitumia msg za kunifariji huku wakiandika kuwa "usijali kwanza mwanao alikuwa ameshajiunga na chadema hivyo angekuwa mkubwa angekusumbua sana"
Nakuambia Chadema hawajijui tuu jinsi gani ccm inavyowachukulia na laiti wangejua wangeiama ata hii nchi na anaebisha asubirie 2015 ifike ndo ataamini nilichoandika leo.

Kwa hiyo 2015 mmepanga kutuua chadema wote au sasa mtabaki ccm wangapi ccm hii nchi?
 
Mkuu Jaim, Hapo kwenye red naomba usiniusishe kabisa maana nilieleza na nina eleza kwamba tuliambiwa kuna jambo tunaletewa toka makao makuu ya chama, nikiwa namaanisha mipango yote ilipangiwa makao makuu ya ccm na huku arusha Mwigulu alituletea habari tu na sio alipanga na sisi.

Hapo kwenye bluu Hata mwanajeshi mwenye silaha akimuona adui awezi kumfuata kichwakichwa tu lazima avute subira uku akipanga mipango yakumkabili. Naomba uelewe kuwa Mwigulu alikuwa anatuakikishia kuwa ameshaongea na waziri Nchimbi na hakuna polisi atakaekuwa kinyume na sisi kipindi chote cha kampeni na ndio maana uliona siku moja tulipiga watu mapanga mchana kweupe mitaa ya Majengo na hakuna kijana yoyote wa ccm aliekamatwa.

Sasa kutokana na Mh. Raisi kumweka benchi Mh. Nchimbi ndio na sisi tumepata kamwanga kidogo.
Mkuu kwanini hukuleta hapa jamvini hii habari, mara baada ya tukio au ukapeka kwa viongozi wachade, ambao nao waathirika wangejua nini cha kufanya. Hapa inaonesha umetumwa na kupoteza maslahi yako huko CCM, na sasa unatafuta pakushika. maana haingii akirini wananchi wenzio wameuwawa, na muuwaji unamju tena na damu yako imeangamia bado ukae kimya eti unaogopa kuawawa. Dah sijui hata kama mkeo anajua urikua mjumbe ktk kupanga mauji, yaliyo chukua uhai wa mwanenu.
 
Mkuu Jaim, inaonekana nia yako sio njema na mimi, kwanza fikiria ni maumivu gani mzazi anayokuwa nayo anapopoteza mwanao kwenye mazingira kama haya.
Alafu napenda nikueleze kuwa mimi na siasa kwa sasa ni vitu viwili tofauti kabisa siitaji uanachama wa Chadema wala chama chochote kile cha siasa. Ila kwakuwa adui yangu ni mwanasiasa lazima nitafute silaha ya kumshusha na kumfukia kabisa na kama silaha yenyewe ni CHADEMA basi sina budi kuitumia.
Sina nia mbaya na wewe kama wewe, mimi sipo kisiasa ndomaana huwezi kukuta nashambulia chama fulani Ila tukubari hatuwezi jitenga na siasa maana siasa njo kila kitu. ni ngumu sana kwangu kukutenganisha wahusika wengine wa mauaji haya, hata kama alikufa mwanao. Asingekufa yeye tungeajuaje, ila mkuu umejishauri sana kwenye jambo kubwa la UGAIDI.
 
Unayoyasema ni kweli maana ata juzi walikuja watu nyumbani kwangu usiku na kugongo mlango wakidai wao ni askari na nilipo wauliza kama ninyi ni Askari kwanini mruke ukuta na kuja kunigongea mlangoni wakanijibu kuwa hayo hayaniusu kinachotakiwa ni mimi nifungue mlango. Walipona nawasiliana na polisi wakatimua zao.

Mkuu nimecheka sanaaa!!yaani mambo yanayohusu usalama wako hayakuhusu tenaa???
 
Saa ya ukombozi ni sasa! Nadhani muda si mrefu tutaanza kushuhudia hata yaliyo katika chumba cha ndani!
 
mimi ni chama halisi kama ulikua huji mkuu spread the news,munavyomfanyia ZZK sio sawa

Mwekudu, kuna kitu labda huji ndio maana uko blinded! Je najua kuwa kuna uhusiano wa moja kwa moja wa Bomu la soweto na ZZK? Ndio maana hata sisi mashabiki wake wengine tumejitoa baada ya kutambua haya, japo ni tetesi!

"The chairman should be bombed so that our Own Chairman should take ......." Unajua waliotakiwa kuuwawa kwenye mlipuko ni akina nani?
 
mtu akiota ndoto ya JINAMIZI nae anakuja kuihadithia hapa.

Hii post haina tofaut na ndoto tajwa hapo juu.
 
Mkuu hata siku moja usije ukafikiri ccm wanaweza kukikemea kitendo cha Mwigulu. Wanaolaani ndani ya ccm ni ccm wachache tu, tena nakwambia kuna miccm mingine ilifika mbali na kunitumia msg za kunifariji huku wakiandika kuwa "usijali kwanza mwanao alikuwa ameshajiunga na chadema hivyo angekuwa mkubwa angekusumbua sana"
Nakuambia Chadema hawajijui tuu jinsi gani ccm inavyowachukulia na laiti wangejua wangeiama ata hii nchi na anaebisha asubirie 2015 ifike ndo ataamini nilichoandika leo.

Hii style ya ccm kutuwinda Chadema itaisha lini?,hakuna shida itabidi na sisi tubadili mbinu ya kumkimbiza mwizi kimya kimya bila ya kupiga kelele.
 
Mkuu hata siku moja usije ukafikiri ccm wanaweza kukikemea kitendo cha Mwigulu. Wanaolaani ndani ya ccm ni ccm wachache tu, tena nakwambia kuna miccm mingine ilifika mbali na kunitumia msg za kunifariji huku wakiandika kuwa "usijali kwanza mwanao alikuwa ameshajiunga na chadema hivyo angekuwa mkubwa angekusumbua sana"
Nakuambia Chadema hawajijui tuu jinsi gani ccm inavyowachukulia na laiti wangejua wangeiama ata hii nchi na anaebisha asubirie 2015 ifike ndo ataamini nilichoandika leo.

Mkuu unamaanisha kuwa Mwigulu na CCM yake wanaandaa mauaji ya halaiki kwa wana Chadema?
 
mtu akiota ndoto ya JINAMIZI nae anakuja kuihadithia hapa.

Hii post haina tofaut na ndoto tajwa hapo juu.

Inawezekana kabisa kwako ni ndoto ya jinamizi,endelea kuota usijali.
 
Mkuu Kenwood, kifo cha mwanangu ni sababu hasa iliyonifanya nipigane hii vita, na kiukweli kama mwanangu kifo kisingemfika nisingekuwa na sababu yoyote ya kupambana na Mwigulu kwakuwa angeendelea kuwa kiongozi wangu ndani ya chama.
Ila napenda uelewe wajumbe wote tuliokuwa katika ukumbi wa Chuo tulikuwa tumeenda kusikiliza na sio kupanga jambo lolote maana taarifa za awali tuliambiwa kuna mbinu tunakuja kupewa na sio kupanga.

Kwahiyo kama siyo kifo cha Mwanao kusingekuwa na shida yoyote, raia wengine acha wafe?
 
Mkuu wa kaya, i am stating to count days till action taken! Hopefully its gonna be soon! Ila the issue is quite touching and too painful! Kama tumefiaka hapa hatuna haja tena kuanza kuongelea mambo ya mateso ya makaburu kwa weusi wa SA!

Our own Mandela must rise ili kutuokoa na makaburu wapya wa jinsi hii, siasa si uadui, labda chama kinakosea sehemu fulani kuwafundisha wehu wa design hii kuhusu siasa! Lakini siku si nyingi kila mtu atajutia maovu yake!
 
Back
Top Bottom