Rais anisukuma nipigane vita

Rais anisukuma nipigane vita

Sina nia mbaya na wewe kama wewe, mimi sipo kisiasa ndomaana huwezi kukuta nashambulia chama fulani Ila tukubari hatuwezi jitenga na siasa maana siasa njo kila kitu. ni ngumu sana kwangu kukutenganisha wahusika wengine wa mauaji haya, hata kama alikufa mwanao. Asingekufa yeye tungeajuaje, ila mkuu umejishauri sana kwenye jambo kubwa la UGAIDI.
Mkuu ''Mkuu wa Kaya'' huyu mzembe asiyejua kutofautisha hata L na R asikukutishie, ukweli siku zote hushinda!
 
Mkuu pole sana, nitaungana na wewe kutoa msaa wa kila aina bila kuogopa chochote, haki lazima ipatikane
 
Mwigulu, nilishawahi kusema Mungu si M/kiti wa CCM. Tafakari sana unayowafanyia watanzania wenzako, Mungu hadanganywi, najua anaweza kufanya chochote na wakati wowote juu yako.

Wewe ni kiumbe kidhaifu sana, huna uwezo wowote ila umejaa kiburi kisa mkuu anakusupport. Siku ipo na inakuja ambayo utavuna uliyoyapanda kwa kiburi.
 
Ili tuendelee tunahitaji ardhi,watu,siasa safi na uongozi bora,naona hapo kwenye siasa safi na uongozi bora ndio pana shida.
 
Mkuu tuamini nini tuache nini, mnatuchanganya mno!! Mbona M.Nchemba hana sura ya FRANKENSTEIN, sasa ukatiri mnao mtuhumu kajifunza wapi? kama nakumbuka vizuri niliwahi kuona picha aliyo kuwa amembemba mtoto wake mgongoni kwa mbereko, kisaikolojia hii inadhilisha nini? kwamba ana traits za u-split personality i.e ni mtu mwema kwa familia yake na close relatives lakini hajali Watanzania wenzake anao tofautiana nao kihitikadi - maanake hii ndio impression inayo tolewa na members wengi humu jamvini!! Binafsi siamni kama ana ukatili wa namna hiyo - he may be a forceful speaker lakini I don't think Nchemba is some monster - if my memories serves me right I don't recall M.Nchembe eating anyone dead or alive!! Kitu kingine kuna thread aliyo kuwa anajieleza kilicho jiri - watu wengi walimjibu lakini yeye alikaa kimya kwa nini hamjiulizi ni kwa nini? Mimi sio kwamba namtetea Nchemba au Nchimbi, kwanza hawanijui - ila wakati mwingine tujaribu kuchambanua matukio kwa kina - kwa watu wenye uelewa wa fani ya IT na Security hivi inaingia akilini kwamba Waziri nzima anaweza kutumia Webmail kuwasiliana na mwenzake masuala sensetive alafu ataje majina alisi, saa na sehemu ya kukutana na list ya watu wa kuwa-eliminate physically - hii inaingia akilini KWELI? Hivi Taifa letu limekwisha fikia hatua ya kuteua Viongozi ambao wako so SLOPPY, hawajui tofauti kati ya E-MAIL na Snail Mail wasijue mambo ya usalama wanapo pitisha E-mails zao kwenye CLOUD? hawajawahi kusikia cerficates, publickeys na privatekeys - JAMANI.

Unashangaa nini, kma uhai wa binadamu umetolewa mchana kweupe rejea operation tokomeza. Mungu kaamua kuwaumbua live. Tetea mwingine si huyu mtu mbaya kama gaidi.
 
Mkuu unamaanisha kuwa Mwigulu na CCM yake wanaandaa mauaji ya halaiki kwa kila anayeipinga wana Chadema?

Ukweli ni kwamba ccm hawawezi kukubali kuachia madaraka na wabunge na madiwani wengi wa ccm kwa sasa vibarua vyao vipo hatarini na anayeatarisha ajira za ccm ni Chadema, so kinachoendelea ni kuivuruga Chadema na kwasababu Chadema wana uongozi imara nina wasiwasi hilo la kuivuruga litashindikana na kitakachofuata ni plane B

Mkuu kwanini hukuleta hapa jamvini hii habari, mara baada ya tukio au ukapeka kwa viongozi wachade, ambao nao waathirika wangejua nini cha kufanya. Hapa inaonesha umetumwa na kupoteza maslahi yako huko CCM, na sasa unatafuta pakushika. maana haingii akirini wananchi wenzio wameuwawa, na muuwaji unamju tena na damu yako imeangamia bado ukae kimya eti unaogopa kuawawa. Dah sijui hata kama mkeo anajua urikua mjumbe ktk kupanga mauji, yaliyo chukua uhai wa mwanenu.

Kila jambo na wakati wake
wakati ndio huu sasa.
 
Mkuu ''Mkuu wa Kaya'' huyu mzembe asiyejua kutofautisha hata L na R asikukutishie, ukweli siku zote hushinda!
Aah sasa wewe usiokuwa na akukutishie inamaanisha nini, acha kufuatia vitu vidogo, jibu hoja acha ushabiki unawezaje kuntenganisha huyu mauaji yale. Ama sababu kafa mwanae, sina nia kumlinda Mchemba. ila ina kuwaje mtanzania uone magaidi wanapanga kuangamiza watanzania wenzio, usichukue hatua baada ya miezi sita baadae ndo unandika kwenye mtandao, mimi sijapenda kutokea mauji kama CCM inahusika na ilaaniwe na wapenda amani wote. Tukumbuke hii mikutano yenu ya siasa inayokuwa ya hadhara, wanaohudhuria ni wanachama wanachama wa vyama vingine. Na wasiokua chama chochote.
 
Kila jambo na wakati wake
wakati ndio huu sasa.
Mkuu kama unachosema ni ya siasa za maji taka, chukua hatua nenda mahakamani tafuta wanasheria, waone viongozi wa CDM wakupe msaada maana linawagusa. mimi nilikua nakuchalenji si kwa maana ya kukutisha, mimi siwezi kusaport uzembe, Naona yatosha tuishie hapa.
 
Hahaha Yericko bwana,ni mtunzi mzuri sana wa Riwaya.Tumia kipaji chako kwa maendeleo yako si kwaajili ya kujenga chuki.
 
Hivi kwanini mpaka sasa, hakuna aliyekamatwa kutokana matukio mawili ya mabomu kule Arusha?
Tukumbuke kuwa watu walikufa katika matukio haya, why?
 
Hahaha Yericko bwana,ni mtunzi mzuri sana wa Riwaya.Tumia kipaji chako kwa maendeleo yako si kwaajili ya kujenga chuki.
Jibu swali nililouliza, kwanini mpaka sasa hakuna aliyekamatwa?
 
Mkuu hata siku moja usije ukafikiri ccm wanaweza kukikemea kitendo cha Mwigulu. Wanaolaani ndani ya ccm ni ccm wachache tu, tena nakwambia kuna miccm mingine ilifika mbali na kunitumia msg za kunifariji huku wakiandika kuwa "usijali kwanza mwanao alikuwa ameshajiunga na chadema hivyo angekuwa mkubwa angekusumbua sana"
Nakuambia Chadema hawajijui tuu jinsi gani ccm inavyowachukulia na laiti wangejua wangeiama ata hii nchi na anaebisha asubirie 2015 ifike ndo ataamini nilichoandika leo.

Kwamba 2015 watauwa watoto wako wote au watauwa wanachama wa CDM wote??
Mimi naona wamekuchelewesha sana wewe na familia yako, mlitakiwa muwe mmeshauwawa siku nyingi.
Watu hawawezi kufanya vitendo vya kinyama, uvunjifu wa amani, mauwaji, halafu uwe unaangalia na kufurahia na kujitapa eti CCM watafanya mambo mabaya kwa wanachama na viongozi wa CDM.
Kwanini mlikubali mfumo wa vyama vingi??
Kwanini mnaendesha siasa Chafu, mmeshindwa kuendesha nchi kwa ulafi wenu then mkiambiwa fanyeni hivi na hivi nchi ikae sawa, hamtaki badala yake mnaona CDM ndiyo anawaharibia wakati nyie ndiyo mnaharibu wenyewe.
Na tunavyoenda mtaona mnauwa wana CDM lkn mtajikuta mnajiuwa wenyewe na wewe ni mfano mmojawapo
 
Mleta mada atakua mohamed mtoi cuz yy alifiwa na mwanawe ama ndugu yake kama sikosei
 
ukweli utajulikana tuu hata watu wakikaa kimya miaka mingapi,na hizi damu zote zinazomwagwa zitadaiwa tuu,hao wanaotekeleza na kutumwa ole wao kilio na kusaga meno imo mikononi mwake,waliokuwa wanamtegemea emanueli sasa ametemwa huu ndio uzuri wa huyu rais wetu anakupenda leo na kazi anakutuma ukishtukiwa anakupiga chini hata kama yuko nje ya nchi kwa kuangalia afya uone sasa jinsi utakavyobadilikiwa.
 
Kwamba 2015 watauwa watoto wako wote au watauwa wanachama wa CDM wote??
Mimi naona wamekuchelewesha sana wewe na familia yako, mlitakiwa muwe mmeshauwawa siku nyingi.
Watu hawawezi kufanya vitendo vya kinyama, uvunjifu wa amani, mauwaji, halafu uwe unaangalia na kufurahia na kujitapa eti CCM watafanya mambo mabaya kwa wanachama na viongozi wa CDM.
Kwanini mlikubali mfumo wa vyama vingi??
Kwanini mnaendesha siasa Chafu, mmeshindwa kuendesha nchi kwa ulafi wenu then mkiambiwa fanyeni hivi na hivi nchi ikae sawa, hamtaki badala yake mnaona CDM ndiyo anawaharibia wakati nyie ndiyo mnaharibu wenyewe.
Na tunavyoenda mtaona mnauwa wana CDM lkn mtajikuta mnajiuwa wenyewe na wewe ni mfano mmojawapo
Nasaport kauli yako mkuu.
 
Ukweli ni kwamba ccm hawawezi kukubali kuachia madaraka na wabunge na madiwani wengi wa ccm kwa sasa vibarua vyao vipo hatarini na anayeatarisha ajira za ccm ni Chadema, so kinachoendelea ni kuivuruga Chadema na kwasababu Chadema wana uongozi imara nina wasiwasi hilo la kuivuruga litashindikana na kitakachofuata ni plane B

Mpaka plan ZZZ tunazo na anayetupa hizo plan ni mpanga plan, huyo Mwigulu na watu kama nyie mtaishia kufa kama mtoto wako tu au raia wawauwe
 
Back
Top Bottom