Unayoyasema ni kweli maana ata juzi walikuja watu nyumbani kwangu usiku na kugongo mlango wakidai wao ni askari na nilipo wauliza kama ninyi ni Askari kwanini mruke ukuta na kuja kunigongea mlangoni wakanijibu kuwa hayo hayaniusu kinachotakiwa ni mimi nifungue mlango. Walipona nawasiliana na polisi wakatimua zao.
Huenda nikapigwa warning hata kufungiwa kwa kisingizio cha kusema uzushi au uongo (maana ndizo sababu za watawala) na Moderator ila ukweli unauma na njia njema ni kuja kwa uwazi na kusema ukweli maana JF tunaiheshim sana; inabidi JF wajieleze kwa ummaa unaowategemea ili kuaminika. Nimeweka post nyingi zinazomhusu savimbi bila mafanikio dk 2 huzioni tena. OK back to to the point now
Mkuu ya Kaya.Tunasubiri kwa hamu hiyo maneno!
I hate Sana politics za kuuana,tanzania ni nchi ya amani hatujafikia chuki I hate you mwigulu ñchemba
CHADOMO ni ngumu sana kuaminika kila sku mnajigeuza nakutunga hadithi za uongo.....mara tuna CD!!, ......siasa hizi mwisho wenu ni baada ya uchaguzi 2015 ambapo chama kingine cha upinzani kitakapibuka bungeni.......manake ilianza NCCR, CUF, CDM nahisi sasa kijiti kitarudi NCCR.
kweli we tofyo na hata akili zako zimekaa kitofyo tofyo!
ni kweli mkuu,hii sehemu inayoitwa Lizabon ipo Songea mjini njia ya kwenda Mbinga.Ni moja kati ya KATA za manispaa ya Songea inayoongozwa na Diwani wa CDM.Huyu mtu anaetumia jina hili (LIZABONI)kama sio Nchimbi basi ni wale watanzania wenzetu walikosa UZALENDO na kuuza utu wao kwa buku 7.
Unataka kutuambia Mwigulu anajua alichokifanya kimemdhuru mtoto wako??
chadema mmebaki kudandi treni bila kujua zinapokwenda.
kama mnataka TUJADILI mwambieni MBOWE & SLAA watuwekee ile move hata hapa jukwaani ili tuichambue kama nikweli cctv au ni shooting kama shooting zingine.
sasa hii nayo ni treni kama ya kapuya ambayo wenye muamko hatuwezi hata kujadili.
kwa mfano huyo MINIKABANG yeye akiishiwa neno la kujitetea kwa watu wake anaanza kuandika ujinga kama huu.
who are U?that U can close this thread?shame on U!mtoa mada.naomba nikukumbushe mambo matatu kisha hii thread ifungwe. 1). milango ya polisi na mahakama iko wazi tunakuomba utangulie nchemba atakuja. 2).jf ina rule zake mimi siwezi kujadili jambo eti kwasababu katajwa nchemba.ni sawa na kujadili riport ya siri ya YERICO NYERERE na BEN SAA8. 3).hii part 1 mjadala wake ulishafungwa hatuwezi kuharibu kodi zetu na kuwasumbua majaji wakati mwenye video yupo na ameikalia. BAADA YA KUSEMA HAYO HAYA SASA HII THREAD IFUNGWE.
Mkuu maji yaliyotulia ni ngumu kujua kina chake. Timbwili nililolianzisha Elerai ccm wote wanalijua, na kunidhuru wanaogopa maana Mbunge wangu nilishampa hii taarifa na polisi nilisharipoti. Sasa kwakuwa Nchimbi kapigwa chini hakuna aja tena ya mimi kuremba na ndio maana head title nimeandika "RAISI ANISUKUMA NIPIGANE VITA"
Sipigi tena vita baridi sasa nimeamua kujitupa on Batle ground.
Na wewe CDM unawajua?hivi ccm unawajua kweli wewe ?
chadema mmebaki kudandi treni bila kujua zinapokwenda.
kama mnataka TUJADILI mwambieni MBOWE & SLAA watuwekee ile move hata hapa jukwaani ili tuichambue kama nikweli cctv au ni shooting kama shooting zingine.
sasa hii nayo ni treni kama ya kapuya ambayo wenye muamko hatuwezi hata kujadili.
kwa mfano huyo MINIKABANG yeye akiishiwa neno la kujitetea kwa watu wake anaanza kuandika ujinga kama huu.
Sidhani kama una-ufahamu wa kinachojadiliwa ,ningekushauri usome mada iliyo mezani hapa.
Mkuu nakushauri usome comments zangu in full, sio ku-pick pick vitu vidogo vidogo kwa madhumuni ku-derail mada, binafsi sihafiki na baadhi ya mambo yanavyo endeshwa ndani ya Taifa letu lakini hilo lisitufanye ku-blame/condemn wholesale baadhi ya watu bila ya kuwa na ushahidi wa KUTOSHA.Wewe nitakuita mzembe wa mwaka 2013
chadema mmebaki kudandi treni bila kujua zinapokwenda.
kama mnataka TUJADILI mwambieni MBOWE & SLAA watuwekee ile move hata hapa jukwaani ili tuichambue kama nikweli cctv au ni shooting kama shooting zingine.
sasa hii nayo ni treni kama ya kapuya ambayo wenye muamko hatuwezi hata kujadili.
kwa mfano huyo MINIKABANG yeye akiishiwa neno la kujitetea kwa watu wake anaanza kuandika ujinga kama huu.
Sina uhakika kama unamuamini Mungu wewe mleta maada. Huna ushahidi wowote wa kuaminika na kumhusisha Mwigulu lakini hapa unaonekana umeshamhukumu.
wewe ndio urudi kusoma. Mtu anaandika aliona gari aina toyota vx na v8 kwa nini asiweke hata namba ya gari.
ok mliozoea kuburuzwa endeleeni.