Rais anisukuma nipigane vita

Huyo mwenye red ameniudhi sana hata mimi......
 

Kwani huyo wa Kwanza mbona akina mwigulu,mulamula salva rweyemamu nchimbi walipeana HI kwa matukio Fulani email ikavuja ikawekwa hapa JF ha MACCM ni limbukeni wa mitandao wanadhani wako safe au ni laana ya mwenyezi Mungu ndio maana wanaumbukaI
 
Mkuu kiukweli siitaji majibu yoyote ya Mwigulu kwa kukuwa vyovyote vile atafanya siasa. Ninachoitaji hapa ni Raisi kuunda tume huru ya kijaji au kumteuwa waziri wa mambo ya ndani ambaye nitakuwa na imani naye ili niweze kujitokeza hadharani.
Huy Rais ndo bosi wake Mwigulu, unadhani hajui kinachoendelea? Au kucheka cheka kwake kunakufanya umwone yeye mwema. Hao wote lao moja mkuu, usijidanganye
 

Mwigulu anaonyesha anafahamu mengi kuhusu kukihujumu Chadema kisiasa!
 

Pigana mkuu tuko pamoja nawe
 

Hii sehemu Lizabon nadhan iko Songea Mjini kama sijakosea
 
Kwa ufupi tu ni kuwa huyu mtu anayejiita LIZABONI atakua ndo Nchimbi mwenyewe aliefukuzwa uwaziri hivi karibuni.
 
sipendi kusoma na wala kusikia habari za jambazi nchembee kwani mapigo ya moyo hunienda mbio mithiri ya mwendokasi wa duma mawindoni.
hasira nyingi mno dhidi yake sipendi hata kuliona hilo guruwe.......
 
Haswaaa, na hasa huyu mtu anaitwa Denis msaky anatajwa tajwa sana ktk haya mambo sijajua kama ni jasusi au mhariri mwenye msaada plz. Refer Mawio la 26 Dec. 2013,... siku nchi ikipata wenye uchungu tutajua ukweli na ushiriki wa hawa watu na huyu mwenye hili jukwaa tunalotumia
 
Huy Rais ndo bosi wake Mwigulu, unadhani hajui kinachoendelea? Au kucheka cheka kwake kunakufanya umwone yeye mwema. Hao wote lao moja mkuu, usijidanganye


Mkuu sikupingi na pia sikuungi mkono 100% kwa kuwa siku zote nasimamia kile ninachokiona kuliko ninachohisi na kuambiwa.
 

Unaongea kama uko kwako unatoa amri kwa mkeo?to hell you and Nchemba.
 
Hii sehemu Lizabon nadhan iko Songea Mjini kama sijakosea
ni kweli mkuu,hii sehemu inayoitwa Lizabon ipo Songea mjini njia ya kwenda Mbinga.Ni moja kati ya KATA za manispaa ya Songea inayoongozwa na Diwani wa CDM.Huyu mtu anaetumia jina hili (LIZABONI)kama sio Nchimbi basi ni wale watanzania wenzetu walikosa UZALENDO na kuuza utu wao kwa buku 7.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…