macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,413
- 61,082
Wewe nitakuita mzembe wa mwaka 2013Mkuu tuamini nini tuache nini, mnatuchanganya mno!! Mbona M.Nchemba hana sura ya FRANKENSTEIN, sasa ukatiri mnao mtuhumu kajifunza wapi? kama nakumbuka vizuri niliwahi kuona picha aliyo kuwa amembemba mtoto wake mgongoni kwa mbereko, kisaikolojia hii inadhilisha nini? kwamba ana traits za u-split personality i.e ni mtu mwema kwa familia yake na close relatives lakini hajali Watanzania wenzake anao tofautiana nao kihitikadi - maanake hii ndio impression inayo tolewa na members wengi humu jamvini!! Binafsi siamni kama ana ukatili wa namna hiyo - he may be a forceful speaker lakini I don't think Nchemba is some monster - if my memories serves me right I don't recall M.Nchembe eating anyone dead or alive!! Kitu kingine kuna thread aliyo kuwa anajieleza kilicho jiri - watu wengi walimjibu lakini yeye alikaa kimya kwa nini hamjiulizi ni kwa nini? Mimi sio kwamba namtetea Nchemba au Nchimbi, kwanza hawanijui - ila wakati mwingine tujaribu kuchambanua matukio kwa kina - kwa watu wenye uelewa wa fani ya IT na Security hivi inaingia akilini kwamba Waziri nzima anaweza kutumia Webmail kuwasiliana na mwenzake masuala sensetive alafu ataje majina alisi, saa na sehemu ya kukutana na list ya watu wa kuwa-eliminate physically - hii inaingia akilini KWELI? Hivi Taifa letu limekwisha fikia hatua ya kuteua Viongozi ambao wako so SLOPPY, hawajui tofauti kati ya E-MAIL na Snail Mail wasijue mambo ya usalama wanapo pitisha E-mails zao kwenye CLOUD? hawajawahi kusikia cerficates, publickeys na privatekeys - JAMANI.
Ndugu MKUU WA KAYA, Sasa baada ya kupewa hiyo warning ilikuwaje wewe ukapoteza mtoto wako?
Mwanao anaitwa nani, kafa wapi na kwenye mazingira yepi. Maana kama kwenye maandano jina litapatikana na shughuli halisi za baba yake zitajulikana hili hata polisi wakuchukulie serious, let alone raisi wako. Siku hizi kuna tabia za watu kuja na hadithi za uongo sana humu ndani.
Hivi mtu mwenye nia mbaya hatataka kweli kujiweka katika mazingira tata na kauli zake kwa watu asiowajua kiundani, halafu inakupa kweli chama cha siasa chochote kitafute kura za ushindi kwa kupiga watu mabomu.
Mkuu, roho mbaya anayo Mbowe na Slaa ambao wametelekeza familia zao kwa tamaa zao za kimwili
Uko sahii mkuu na wala hukunielewa vibaya.
Nilipanga leo niingie mahakamani na ushaidi wa kutosha wa kumwingiza Mwigulu hatiani, Tatizo ushaidi wa kufungua kesi ya jinai ndio haujajitosheleza kwani ushaidi wa kimazingira upo ila kisheria unaonekana kama ni ushaidi unaoongozwa na hisia kwa upande mkubwa.
Ila ukweli ni kwamba Mwigulu Nchemba is a One Director of Soweto Bom.
Na kudhibitisha hili haitafika Tarehe 15/01/2014 bila kujitokeza kwenye vyombo vya habari na kuweka haya yote hadharani, labda itokee niwe marehemu kama mwanangu.
mtoa mada.
naomba nikukumbushe mambo matatu kisha hii thread ifungwe.
1). milango ya polisi na mahakama iko wazi tunakuomba utangulie nchemba atakuja.
2).jf ina rule zake mimi siwezi kujadili jambo eti kwasababu katajwa nchemba.ni sawa na kujadili riport ya siri ya YERICO NYERERE na BEN SAA8.
3).hii part 1 mjadala wake ulishafungwa hatuwezi kuharibu kodi zetu na kuwasumbua majaji wakati mwenye video yupo na ameikalia.
BAADA YA KUSEMA HAYO HAYA SASA HII THREAD IFUNGWE.
mtoa mada.
Naomba nikukumbushe mambo matatu kisha hii thread ifungwe.
1). Milango ya polisi na mahakama iko wazi tunakuomba utangulie nchemba atakuja.
2).jf ina rule zake mimi siwezi kujadili jambo eti kwasababu katajwa nchemba.ni sawa na kujadili riport ya siri ya yerico nyerere na ben saa8.
3).hii part 1 mjadala wake ulishafungwa hatuwezi kuharibu kodi zetu na kuwasumbua majaji wakati mwenye video yupo na ameikalia.
Baada ya kusema hayo haya sasa hii thread ifungwe.
Kama kuna mtu hua anajiuliza kwanini ccm hua wanashinda chaguzi nyingi, jibu ni hili la huyu ninachangia juu yake! Watanzania ni wepesi mno wa kusahau, mwangalie huyu jamaa alivyo comment hapa, hivi hujui nini kilichotekea wakati wa ufungaji wa kampeni za uchaguzi wa madiwani Arusha? Naomba nikukumbushe, Bomu lilirushwa kwenye jukwwa la mkutano dakika chache kabla ya kufunga mkutano, watu kadhaa walipoteza maisha na mtoto/watoto kadha na mwingine kujeruhiwa vibaya! Sijui kama bado unajiuliza kwanini watu wengine waliambiwa wasiende kwenye huo mkutano.Siasa za bongo ni upu.uzi mtupu na kuuana kijinga.jinga!
Itakuaje nchi ya kidemokrasia watu wazuiliwe kuhudhuria mikutano ya wengine?
kwa sababu jf ni sehemu ya mkakati wenu basi bila shaka uzi huu utafungwa .
Vijana wa UFIPA kwa Porojo mmejaaliwa.
Mkubwa! Nakwambia nimeisoma THREAD hii mpaka nikasisimuka mwili.
Siku zote mficha uchi hazai! Na si mbaya hata kidogo methali hii ikawa sawa na mawazo niliyonayo ya kwamba "MVUNA JANGA HULA NA WA KWAO" huyu Mwigulu Nchemba ni sumu mbaya sana kwa jamii nzima ya Watanzania. Sitokaa nikaisahau tukio la hapo Soweto katika uhai wangu. Nikikaaga na kufikiri hakika natokwaga na machozi ya hasira kwani hata leo nikiletewa mhusika wa lile tukio nawaambia nakatakata kama nyama ya buchani! Ninachokuomba Mkuu ya Kaya ni hebu fungua kesi mara iwezekanavyo kwani hakika unaweza ukawa umewanusuru Watanzania wanaoumia vichwa kufikiria haya ya mauaji ya kikatili iliyofanywa na watu waovu na wapenda madaraka bila ya kupendwa na Watanzania!
Mungi Arushaone Crashwise hebu rudisheni mawazo nyuma tujikumbushe yale majanga ya hapo Soweto.
Vipi ushahidi wa mbinguni umeishia wapi?.
Kama ni kweli japo niko CCM,kwanza sihami chama lakini Mwigulu sitashikana mkono na wewe wala kuwa mfuasi wako. Takuwa mfuasi wa CCM tu.
Mkuu tumpe pole ila ilibidi aitahadhalishe jamii, labda kwa kuwa alikuwa CCM hivyo ile roho ya ubinafsi ilikuwa kwake, lakini amebadirika baada ya kumpoteza mtoto wake!
Nawaasa jamii nzima, tusiwe wabinafsi, angeweza kuokoa maisha ya watu wengi zaidi including mtoto wake!
Asante mkuu kwa maneno yako yenye ujasiri, pia nataka nijadiliane na mwanasheria wangu niangalie kama nitaweza kuviandikia vyombo vya habari kama ITV, STAR TV, CHANEL 10 nk, ili nifanye press kala ya kulifikisha hili swala mahakamani.
Mkubwa! Nakwambia nimeisoma THREAD hii mpaka nikasisimuka mwili.
Siku zote mficha uchi hazai! Na si mbaya hata kidogo methali hii ikawa sawa na mawazo niliyonayo ya kwamba "MVUNA JANGA HULA NA WA KWAO" huyu Mwigulu Nchemba ni sumu mbaya sana kwa jamii nzima ya Watanzania. Sitokaa nikaisahau tukio la hapo Soweto katika uhai wangu. Nikikaaga na kufikiri hakika natokwaga na machozi ya hasira kwani hata leo nikiletewa mhusika wa lile tukio nawaambia nakatakata kama nyama ya buchani! Ninachokuomba Mkuu ya Kaya ni hebu fungua kesi mara iwezekanavyo kwani hakika unaweza ukawa umewanusuru Watanzania wanaoumia vichwa kufikiria haya ya mauaji ya kikatili iliyofanywa na watu waovu na wapenda madaraka bila ya kupendwa na Watanzania!
Mungi Arushaone Crashwise hebu rudisheni mawazo nyuma tujikumbushe yale majanga ya hapo Soweto.