Rais anataka nini kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari?

Alipokuwa anamtumbua CEO wa bandari ametaja kwamba anakwamisha wawekezaji kama sababu kubwa.
Hii nilikuwa bado sijaipata.

Ahsante mkuu kwa kulitaja hili.

Kwa hiyo Eric kaponzwa na wafanya biashara na siyo kwa uzembe au wizi?

Heshima kwa Eric.
 
Hii awamu na ipite tu. Mungu ajaalie huyu mama asiwe na nia tena ya kugombea na hata akiwa nayo basi kwa uwezo wa muumba na isitimie.
Lakini ninapata taabu sana kufikiria ni hali gani atakuwa amelifikisha taifa hili hadi hapo 2025 hata kama hatapenda/atalazimishwa kutoendelea!!
 
Mmarekani?? Sasa bandari si itakua chini yake, hakuna ambacho tutafanya.

Kwenye madini miaka nenda rudi mmeshindwa kulamba 50/50. Leo mnawaza bandari? Kichekesho hiki
🤔 No way out! wacha tuogelee kwenye huu Uharo.
 
Hili pekee linatosha kumlaumu yeye na siyo hao wasaidizi wake kumpotosha. Huyu hafai kabisa kwa kila hali unayotaka kumwangalia.
Huyu ni kiongozi atakayeliachia taifa hili hali ngumu sana.
Yaani reforms zinazofanyika mpaka mtu unabakia kinywa wazi.

Ni mwendo wa kubadili sheria tu ili kuruhusu mambo flani yafanyike.

Unakuta akija Rais mwingine atabadili tena, sasa hii kitu haina Afya kwa Taifa kama kweli tuna nia ya dhati ya kupata maendeleo.
 
Na ndiyo maana tutachelewa sana kupata maendeleo; kwa sababu hatuna 'focus'. Too bad!
 
Mnaongeea, kumbe hamjui chochote. Muacheni Raisi afanye sera zake. Subirini matokeo tu. Hakuna sera unayoijua wewe iliowai kuifanikisha nchi hii. Sisi ni masikini muache Raisi ajaribu kufanya.
 
Ukiachana na hilo pia sisi hatuna "watu".

"Watu" ambao watalisaidia Taifa hili livuke.
Katika ujumla wetu, watu zaidi ya milioni hamsini, pasiwepo na watu?
Hapana.
Kutakuwa na sababu nyingine. Sababu inayotushinda kuwatambua watu hawa makini na kuwapa moyo wa kusogea mbele wakalitumikie taifa lao kwa ufanisi.

Naona njia pekee tunayoitegemea ni kubahatisha kumpata mtu/watu hao wachache ili washike uongozi.

Sasa sijui tutabahatika (tena?) lini.
 
Nina mashaka na uelewa wa mama wa mambo ya uchumi. Yafaa washauri wawe na uzalendo kumuongoza vizuri.
Samia anaamini Tanzania inaweza kupata maendeleo kutokana na uwekezaji, tena uwekezaji wa kutoka nje..Haamini katika ushiriki wa wananchi kuwa ndilo jambo kuu zaidi katika kuliendeleza taifa hili.

Na ndiyo sababu anasema safari zake za kwenda nje kutafuta wawekezaji ni muhimu zaidi kuliko kwenda kuwaelimisha na kuwahimiza wananchi huko vijijini ili washiriki kujiletea maendeleo yao wenyewe.

Hili la wawekezaji na wafanya biashara kaliweka mbele zaidi katika uongozi wake kuliko hali za wananchi ndani ya nchi yao.

Hii ndiyo philosophia yake inayotakiwa wananchi waifahamu. Binafsi sikubaliani naye, na mbaya zaidi, hakupewa 'mandate' na wananchi wa nchi hii kuingiza 'philosophia'hii kwa kuomba kura zao wamruhusu kufanya anayofanya sasa.
 
Huyu mama sijui hajui daki misheni za maharamia ya bongo?
Hata manunuzi anataka hata singo sosi apewe.
Hii inaenda kutafuna pesa za umma hakuna mfano.
Acheni uhuni kwani mlipokuwa mnachukua quotations tatu kwenye competitive tender tuna uhakika gani zilitoka kwa vendors tofauti?

Tunajua mliyetaka kumpa dili yeye ndiye aliandaa document zote za quotations za bei.
 
Nchi hii ina watu ma kei yasishirikisha hata ubongo kabla ya kujibu.
 
Samia anaamini Tanzania inaweza kupata maendeleo kutokana na uwekezaji, tena uwekezaji wa kutoka nje..Haamini katika ushiriki wa wananchi kuwa ndilo jambo kuu zaidi katika kuliendeleza taifa hili.

Na ndiyo sababu anasema safari zake za kwenda nje kutafuta wawekezaji ni muhimu zaidi kuliko kwenda kuwaelimisha na kuwahimiza wananchi huko vijijini ili washiriki kujiletea maendeleo yao wenyewe.

Hili la wawekezaji na wafanya biashara kaliweka mbele zaidi katika uongozi wake kuliko hali za wananchi ndani ya nchi yao.

Hii ndiyo philosophia yake inayotakiwa wananchi waifahamu. Binafsi sikubaliani naye, na mbaya zaidi, hakupewa 'mandate' na wananchi wa nchi hii kuingiza 'philosophia'hii kwa kuomba kura zao wamruhusu kufanya anayofanya sasa.
Hili swala la uwekezaji Rais kalielewa vibaya au anapitoshwa.

Hakuna nchi Duniani imeendelea kwa FDI.

Nchi zote zenye maendeleo zimefika hapo kwa kuwawezesha wazawa.

Sasa hapa kwetu we have now a very different president who is worshiping FDI.
 
Not only "worshiping FDI", she believes we're doomed without it!

She is making no effort whatsoever, not even pretending to encourage and support our own SME entrepreneurs to develop our home grown base for development; but she completely has no regard for the common peasant in villages who is doing everything to improve her own life. She believes, these citizens will gain from being employed on a minimum wage by foreign investors.

Samia is a disaster for our country.
 
Yaani nchi itakua inaendeshwa kwa makombo watayotuachia investors baada ya kutafuna rasilimali zetu.

Naita makombo kwakua hatuna mifumo imara ya kudhibiti mapato.

Unfortunately waliopo kwenye hiyo mifumo wana mindset za kipigaji hivyo hata kile kidogo ambacho nchi inastahili kupata haitakipata.

Kinachofanyika sasa ni urasimishwaji wa kuwageuza watoto wa wakulima kuwa watumwa katika nchi yao.

Maana akijitahidi sana ataishia kuajiriwa kwenye kiwanda ambacho hakilipi kodi na tena kwa ujira mdogo tu wenye makato mengi.

Ila watoto wa watawala na watawala wenyewe wakinufaika na ajira nono na migao ya 10% toka kwa wawekezaji wezi.

Sasa ukiangalia yote haya utaona kwamba nchi hii bila kusali sana tunakoelekea ni kubaya mno.
 
Bado nina matumaini makubwa kwamba huyu Bibi hatafanikiwa kutufikisha huko.

Alivyo 'shallow', yeye anataka kwenda kuzunguka tu huko kutafuta walanguzi wa kunadi mali yetu, lakini hana hata chembe ya akili kufikiria kwamba hapa hapa nyumbani anatakiwa afanye maandalizi makubwa sana ya kuwapokea hao wachuuzi ili wakija wakute hali imeandaliwa ili nchi ipate kufaidika.

Hashughuliki kabisa na kuweka mifumo ya kwa mfano, ulipaji kodi stahiki, kwa kuimarisha taasisi inayohusika na kazi hiyo.

Badala ya kukazia watu wetu wapate ujuzi na uzoefu kutokana na uwekezaji huo, ili tujiandae kuendesha kazi hizo sisi wenyewe, yeye ndiyo analegeza zaidi na kuruhusu watu kutoka nje waingie tu kufanya kazi zinazotakiwa waTanzania wazifanye.

Anakwenda kutafuta watu waje wagawane ardhi yetu, kwa jina la uwekezaji, lakini hana habari kabisa na hali ya mkulima wetu huko vijijini kumpa uwezo wa kuzalisha mazao yake kwa wingi ili ainue hali ya maisha yake.

Hapana, Samia hawezi kabisa kuturudisha kwenye enzi za u"Manamba' karne hii ndani ya nchi yetu.

Anatafuta kuliamsha, na kweli litaamuka!
 
Back
Top Bottom