Rais amteua katibu wa CCM kuwa mkurugenzi wa halmashauri (DED) na msimamizi wa uchaguzi kinyume cha sheria na taratibu cha cheo husika

Unaweza kushangaa lakini hii ndio hali Taifa lilikofika, tukisema tu watu hawatuelewi, lakini kazi yetu ni kusema, tutaendelea kusema iko siku watu watatuelewa.

Huyu Jimson Mhagama aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi anakwenda kuwa msimamizi wa Uchaguzi katika majimbo ndani ya wilaya hiyo, (Returning officer) wakati sasa hivi anavyoteuliwa alikuwa ni Katibu wa CCM Mkoa wa Ruvuma, akitokea Singida na alikuwa Katibu wa ccm wilaya ya Mufindi.

Sheria za Tamisemi zinaainisha sifa za Wakurugenzi na moja ya sifa kuu ya kwanza ni lazima wawe watumishi wa serikali na wawe wameongoza idara katika serikali kwa angalau miaka kadhaa.

Leo UVCC na makada wao wengine ndio wanakwenda kuwa wasimamizi wa uchaguzi, je unataraji huyu amtangaze mshindi wa upinzani 2020????

View attachment 1066922
Na Yericko Nyerere
Kushiriki uchaguzi katika hali hiyo ni ukichaa bila tume huru sitaenda kupiga kura
 
That's why bandika bandua, nyofoa nyofoa ya wakurugenzi, wakuu wa wilaya, mawaziri, makamishna inatokana na hizi teuzi za kuokoteza!
 
ni muendelezo kuvunja kanuni na taratibu ambazo nchi na yeye akiwemo walizipitisha bungeni....
 
unaweza kujiua ukafa ukatuacha wengine tukiendelea kufurahia matunda ya nchi yetu
Watoto wako watakuja kufedheheshwa na maneno ya kujikomba unayopost mitandaoni kwa kutaraji fadhila. Umeweka na namba ya simu ili upigiwe, namna ile kinda la ndege linavyopanua mdomo kila kiota kinapotikisika.

Mi sioni kama unafurahia, naona UNATESEKA KUSUBIRI KUONWA
 
Unaweza kushangaa lakini hii ndio hali Taifa lilikofika, tukisema tu watu hawatuelewi, lakini kazi yetu ni kusema, tutaendelea kusema iko siku watu watatuelewa.

Huyu Jimson Mhagama aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi anakwenda kuwa msimamizi wa Uchaguzi katika majimbo ndani ya wilaya hiyo, (Returning officer) wakati sasa hivi anavyoteuliwa alikuwa ni Katibu wa CCM Mkoa wa Ruvuma, akitokea Singida na alikuwa Katibu wa ccm wilaya ya Mufindi.

Sheria za Tamisemi zinaainisha sifa za Wakurugenzi na moja ya sifa kuu ya kwanza ni lazima wawe watumishi wa serikali na wawe wameongoza idara katika serikali kwa angalau miaka kadhaa.

Leo UVCC na makada wao wengine ndio wanakwenda kuwa wasimamizi wa uchaguzi, je unataraji huyu amtangaze mshindi wa upinzani 2020????

View attachment 1066922
Na Yericko Nyerere
Hawa wameathiriwa na ng;ombe wanaochunga bhana! Tujifunze kutokuchagua ng;ombe kuongoza
 
Unaongelea mahakama IPI? Mahakama zimebakwa na dola au unaishi nchi gani?
Kama zimebakwa au zimekubali zenyewe kupanua miguu kwa dola bado swala la kwenda mahakamani lina umuhimu wa kipee... Mahakamani ni kwa ajili ya record, kuna tofauti kubwa kati ya kukosa haki kwa mahakama kupindisha sheria, na kukosa haki just kwa kukaa kimya tu
 
Unaweza kushangaa lakini hii ndio hali Taifa lilikofika, tukisema tu watu hawatuelewi, lakini kazi yetu ni kusema, tutaendelea kusema iko siku watu watatuelewa.

Huyu Jimson Mhagama aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi anakwenda kuwa msimamizi wa Uchaguzi katika majimbo ndani ya wilaya hiyo, (Returning officer) wakati sasa hivi anavyoteuliwa alikuwa ni Katibu wa CCM Mkoa wa Ruvuma, akitokea Singida na alikuwa Katibu wa ccm wilaya ya Mufindi.

Sheria za Tamisemi zinaainisha sifa za Wakurugenzi na moja ya sifa kuu ya kwanza ni lazima wawe watumishi wa serikali na wawe wameongoza idara katika serikali kwa angalau miaka kadhaa.

Leo UVCC na makada wao wengine ndio wanakwenda kuwa wasimamizi wa uchaguzi, je unataraji huyu amtangaze mshindi wa upinzani 2020????

View attachment 1066922
Na Yericko Nyerere
Atamtangaza vipi wa upinzani kwamba kashinda wakati uwezo wa kushinda haupo?
 
Back
Top Bottom