Rais amteua katibu wa CCM kuwa mkurugenzi wa halmashauri (DED) na msimamizi wa uchaguzi kinyume cha sheria na taratibu cha cheo husika

Nivigumu sana kumwamini MTU anayeenda kinyume na Kiapo chake kwa mwenyezi Mungu tena mbele ya watz wote kwamba atailinda na kuitetea katiba nasasa anaisigina katiba bila kujali.
Mungu hawezi kuwa upande wa yeyote atendaye kwa hila.
Uungwana ni vitendo.
 
Katika mazingira kama haya kaka zangu pasikali mayalla na mzee mwanakiji wanatamba kua uchaguzi hua huru na haki.tena wanatabiri kabisa ati ushindi wa ccm utakua wa kishindo kwa jinsi eti jiwe anavyo kubalika,

USOGA WI KUA KATI MWINA NSONGOO
 
Hizi mambo zingefikia kikomo pale tu Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba ingepita kama ilivyo na kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwani alipomteua huyu amefata sheria za ajira za Tamisemi? Huyu amesomea chuo gani cha uongozi wa umma? Hata katiba tuliyonayo inaruhusu watu kuandamana na kufanya mikutano, je tunaona nini kila kukicha?
 
Hivi ni kweli Magufuli hajui kabisa kuhusu utawala bora au ni dharau kuu kwa wananchi ?
Nahisi ni makusudi... Nakumbuka hata yule mbunge wa kuteuliwa ambaye ni mwanaume alizidisha wanaume kinyume cha sheria.. jamaa alijiuzulu akawa balozi
 
Back
Top Bottom