Rais afanya teuzi za Makatibu Wakuu na Wakuu wa Taasisi. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Waziri ni msimamizi tu na kiongozi wa kisiasa zaidii, hapa hata mtu mwenye uwezo wa kawaida anaweza kuwa waziri.

Kwa upande wa katibu mkuu hapa sio kila mtu anaweza kuteuliwa. Unahitaji mtu mtaalamu wa wizara husika, it's based on seniority and experience. Mfumo wa utumishi wa umma tunaotumia ni British.

Endapo mwenye diploma ama degree ana uzoefu na uwezo kwa nini asiongoze wizara kama katibu mkuu? Hao waalimu wa vyuo wengi hawana field experience. Kuwa profesa chuoni ni rahisi sana ukiwa na kichwa kizuri ktk kuchapisha maandiko ktk fani yako hasa hasa ktk international journals ila ni vitu viwili tofauti kabisa na kuwa na uzoefu halisi na sekta husika.
Kunywa Pepsi hapo ulipo mkuu nakuja kulipa
 
Mke wa Prof Mchembe. Magufuli aliwapendelea kweli. Mr and Mrs Mchembe.
Ndio maana Mama yule alimsumbua Ahmed Shabib pale Gairo
kumbe Mzee alikuwa Bugando na Chato, mngemuelekeza basi magonjwa ya moyo hayataki utani na nyungu, bora kina Ndugulile walijitenga mbali.
Leo Mama kaunda Tume chanjo huenda ikaingia kwa wanaoitaka
 
Back
Top Bottom