Skillionare
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 1,190
- 523
Bravo senegalies
Mkuu kwani Kibaki hayakuzidi unga kila upande?Babu Wade amaefanya jambo la busara kwakweli anastahili pongezi japo kwa hilo jamani!!Wade hakuwa na nia dhabiti ya kukubali kushindwa.Maji yalizidi unga kila upande..
ndio maana yakeWade hakuwa na nia dhabiti ya kukubali kushindwa.Maji yalizidi unga kila upande..
Afadhali kibabu kimepigwa chini.
Habari zilizotufikia ni kwamba rais babu king'ang'anizi wa Senegal Abdulaye Wade ameshindwa vibaya na mpinzani wake Mecky Sall kwenye marudio ya uchaguzi uliofanyika leo. Wade alionywa asigombee kipindi cha tatu kinyume cha katiba lakini alikataa. Sasa amefurushwa kwa aibu na zomeazomea.
Kwa mara nyingine chama tawala kimfurushwa madarakani kwa amani kupitia sanduku la kura.
Hata hivyo Wade ameonyesha ukomavu wa kisiasa kukubali kushindwa tofauti na vibabu kama Mwai Kibaki wa Kenya na Robert Mugabe wa Zimbabwe. Alluta Continua Afrika kunazidi kucha.