Rais Abdulaye Wade wa Senegal akubali kushindwa!

Pamoja na kuwa king'ang'anizi big up Wade kwa kukubali kushindwa na kuepusha mgogoro mwingine wa kisiasa Afrika. Nadhani kung'ang'ania kumemsaidia kujua kuwa wananchi wamemchoka vinginevyo angeondoka akidhani kuwa bado yeye anapendwa sana kuliko rais anayemfuatia.
 
Afadhali kibabu kimepigwa chini.

Kupigwa chini ilitegemewa, lakini ameonesha statesmanship alipompigia simu mshindi kukubali kushindwa. Sikumbuki kama imewahi kutokea katika uchaguzi wa Afrika. Kikubwa ninachofahamu ni kuwa vurugu, kwenda mahakamani kupinga kuwa uchaguzi haukuwa wa haki, au tume ya uchaguzi kubadilihsa matokeo. Bravo Macky Sall, Bravo Wade even better bravo wasenegali.
 
Kura zilizompa ushindi mick sall ni za vijijini.Kule ambako ni wazito kupokea mabadiliko ambako ndiko CCM inatambia hadi leo.Kama tunataka kuipumzicha CCM hebu twendeni huko. Zifunguliwe FM stations na TV hata mbili tu ambazo zitawafikia wanakijiji, NGO zihamishie office zao vijijini ili kuangalia mafanikio na maendeleo za ahadi za wabunge na chama tawala kwa karibu. Masomo ya uraia kwa wananchi yaongezeke. Mwisho wa yote ushindi utakuja.
ANGALIZO:
WADE aliingia kama mpinzani akaivuruga nchi, Je? wapinzani tunawaamini?
 
Huyu Abdoulaye Wade pamoja na kuibadili katiba yake ili aendelee kuwepo madarakani ila ameyaheshimu maamuzi ya wananchi wake kupitia box la kura.huyu wetu ni kwa nini hakutuheshimu wakati anajua kuwa hana uwezo wa kuongoza taifa lanye baraka zote kutoka kwa muumba na hakupewa hii ridhaa katika uchaguzi uliopita?
kwa nini alichakachua na kuendelea kubaki madarakani kinyume na matakwa ya wananchi?
naomba mniambie ni siri gani iliyopo. humo ndani inawezekana kuna uchafu mkubwa sana ambao hawataki uonekane au hawataki mtu yoyote kutoka nje ambaye si wakwao achukue hicho kiti kwani atawapukutisha hawa hakuna msafi hata mmoja.
ok let see hapo 2015 watayakubali matokea?
yale ambayo yamekuwa yakitokea kule visiwani sasa hivi yatahamia (bara+visiwani)? sitaki kuamini ila ukiangalia upepo yale aliyokuwa anafanyiwa Hamad katika vipindi vyote vya uchaguzi yatahamia nchini kote katika chaguzi zijazo.sasa je taifa litakubali?
 
Inauma sana dr slaa alishinda urais(2010) lkn walimchakachua,dr wa ukweli usife moyo 2015 urais wako ebu mwangalie mnyika 2005 walimchakachua lkn hakukata tamaa 2010 nadhani unajua,,,,maisha ni magumu kupindukia eh mungu dr uingie madarakan 2015 cement na mabati viwe 5000 tumechoka kupanga na kulala kwenye nyumba za tembe,ona sasa nondo 12mm sh elfu 20 kweli imbombo ngafu hadi huyu jamaa akitoka madarakani cement itakua 25,000/=
 
Habari zilizotufikia ni kwamba rais babu king'ang'anizi wa Senegal Abdulaye Wade ameshindwa vibaya na mpinzani wake Mecky Sall kwenye marudio ya uchaguzi uliofanyika leo. Wade alionywa asigombee kipindi cha tatu kinyume cha katiba lakini alikataa. Sasa amefurushwa kwa aibu na zomeazomea.

Kwa mara nyingine chama tawala kimfurushwa madarakani kwa amani kupitia sanduku la kura.

Hata hivyo Wade ameonyesha ukomavu wa kisiasa kukubali kushindwa tofauti na vibabu kama Mwai Kibaki wa Kenya na Robert Mugabe wa Zimbabwe. Alluta Continua Afrika kunazidi kucha.

Nafikiri issue si Wade kuwa mzee au kugombea kwa mara ya tatu issue ni wananchi wanataka mabadiliko na kukiweka pembeni chama tawala. Hata kama Wade asingegombea na mtu mwingine akagombea bado chama tawala kingeshindwa tu. CCM wajifunze kutoka huko, wananchi wanapotaka mabadiliko ni jambo la busara na lililo katika national security interest kama watapewa wakitakacho.
 
Mr Wade called Mr Sall around 9.30pm on Sunday to congratulate him on his victory, state television reported. The move alleviated fears that Mr Wade would attempt to stay in office after 12 years or would challenge the run-off results.

Even before Mr Wade conceded, Mr Sall's supporters began celebrating in the streets of the capital, singing and marching through downtown Dakar. Some even danced on the roofs of moving vehicles, and one man did a cartwheel amid the traffic near the Place de l'Independance.

Sociologist Hadiya Tandian said that Mr Wade's concession washes away the wounds of a violent election season, which left at least six people dead and tarnished the country's reputation.

"This is a great victory for Senegal – it shows the maturity of our democracy," Tandian said. "It shows that the Senegalese believe in their voter IDs, that a voter card can change something, can make a difference. It shows that our long democratic heritage continues to live in us day by day."

Senegal's democratic roots run deep, and many feared Mr Wade would not concede defeat and in the process muddy Senegal's image as one of the only established democracies in western Africa.
 
waungwana habari ya mchana napenda kuwataarifu ya kuwa KIKWETE WA SENEGAL kakubali yaishe mpinzani wake kachukua kiti cha uraisi kwenye duru ya pili ya uchaguzi kwenye nchi hiyo ya magharibi mwa afrika kwa taarifa tu!!!!!!:peep:
 
Back
Top Bottom