Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,034
- 1,003
Ilitakiwa mzee wa vodacom fred atangaze hicho kipindi
Hakuwa fair acha mambo yako....Ilikuwaje aseme "mchuoano bado mkali" wakati Chadema walikuwa wanaongoza kwa zaidi ya 80%?Acha uongo. Masako alikuwa fair. Tena kama mtu ni kada wa CCM unaweza sema aliegemea CDM.
Acha uongo. Masako alikuwa fair. Tena kama mtu ni kada wa CCM unaweza sema aliegemea CDM.
huyu mzee anazeeka vibaya, kila alipopewa matokeo ya ccm alikuwa anasisitiza rudiaaaa, huku amekenua meno nje, ni kweli ni mojawapo ya magugu yanayopaswa kungolewa katika filosofia mpya ya m4c
huyu mzee anazeeka vibaya, kila alipopewa matokeo ya ccm alikuwa anasisitiza rudiaaaa, huku amekenua meno nje, ni kweli ni mojawapo ya magugu yanayopaswa kungolewa katika filosofia mpya ya m4c
Ukweli tuuseme jamani Masako jana aliingizwa choo cha kike na kada mwenzake Novatus Makunga maarufu kama Nova.Acha uongo. Masako alikuwa fair. Tena kama mtu ni kada wa CCM unaweza sema aliegemea CDM.
Acha uongo. Masako alikuwa fair. Tena kama mtu ni kada wa CCM unaweza sema aliegemea CDM.
kuna wakati CCM walipata kuta 200 mfululizo basi masako akawa anazitangaza kwa mbwembwe kama vile ndo tayari CCM wameshinda.
Ewe Masako, umma umepaza sauti kuu, sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.
kweli jamaa ni mzushi mkubwa, Masako alikuwa zaidi ya fair, sema walisikitishwa baada ya kuripotiwa kwa vurugu tu