Rainfred Masako na Yahya wa Star tv

Sijasikia akitangaza matokeo ya uchaguzi huu ila najua Masako anajitahidi sana kuwa fair ktk utangazaji wake kwa jinsi nilivyomfuatilia chaguzi za nyuma licha ya kuwa ni mwana CCM.

So I give him benefit of the doubt !!
 
kuna wakati CCM walipata kuta 200 mfululizo basi masako akawa anazitangaza kwa mbwembwe kama vile ndo tayari CCM wameshinda.
Ewe Masako, umma umepaza sauti kuu, sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.
 
Huyo babu alinibore sana, ila enzi zao ziko jioni sana wataondoka na magamba yao na kutuachia nchi yetu wazalendo
 
Sjui sana kuhusu Yahya wa Star TV, Lakini Masako sio CHADEMA huyo, alishindwa kwenye kura za maoni za CCM na waziri wa afya. Ni CCM wa nguvu tu sio ajabu labda anatafuta ukuu wa Wilaya!!!!!
 
Acha uongo. Masako alikuwa fair. Tena kama mtu ni kada wa CCM unaweza sema aliegemea CDM.
Hakuwa fair acha mambo yako....Ilikuwaje aseme "mchuoano bado mkali" wakati Chadema walikuwa wanaongoza kwa zaidi ya 80%?
 
Acha uongo. Masako alikuwa fair. Tena kama mtu ni kada wa CCM unaweza sema aliegemea CDM.

acha pumba zako kama ujui nyaaamaaazaaa 2010 alikuwa kwenye kura za maoni za ccm mponda haji dk akashnda .jambo usilolijua ni usiku wa giza nene.kwenda kalale ahaa pashakucha utajiju magambazzzii
 
Dhana ya TUMEANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU ni dhana njema.MUNGU akiwa upande wetu,nani wa kuwa kinyume chetu?
 
huyu mzee anazeeka vibaya, kila alipopewa matokeo ya ccm alikuwa anasisitiza rudiaaaa, huku amekenua meno nje, ni kweli ni mojawapo ya magugu yanayopaswa kungolewa katika filosofia mpya ya m4c

Me nahc kama pale akisema "rudia tena" alikuwa anawananga wanaCCM. Yule mzee alikuwa fair sana mie wasiwasi wangu ulikuwa juu ya bwana Yahaya M wa STAR TV hasa facial expression yake.
 
huyu mzee anazeeka vibaya, kila alipopewa matokeo ya ccm alikuwa anasisitiza rudiaaaa, huku amekenua meno nje, ni kweli ni mojawapo ya magugu yanayopaswa kungolewa katika filosofia mpya ya m4c

Kweli nilimwona mzee Masako ripota akisema CCM ina kura nyingi katika kituo anasema rudia rudia ila CDM ikiongoza anasinyaa kisha anavunga"mchuoano ni mgumu sana"!
 
Acha uongo. Masako alikuwa fair. Tena kama mtu ni kada wa CCM unaweza sema aliegemea CDM.
Ukweli tuuseme jamani Masako jana aliingizwa choo cha kike na kada mwenzake Novatus Makunga maarufu kama Nova.
Kwenye ITV pale chini maandishi yaliyokaa muda mrefu ni yale yaliyokuwa yakionyesha vituo ambavyo magamba walishinda na hata pale alipopokea matokea mengine bado maandishi yaliyokuwa yanapita chini ni yaleyale ya vituo ambavyo CCM walishinda. Hiyo maanake nini kama si ushabiki wa kutia aibu na kudhalilisha taaluma yake na heshima aliyojijengea mbele ya jamii. Ndo maana ukifika umri wa masako network kama hazishiki unatakiwa ukubali yaishe ustaafu kwa heshima na si kwa fedheha.
 
Ovyo sana yahya mohamed star,hata huyu masako ni kama alimshawishi fatma matangazo live yasitishwe na kwa ushauri wake uhesabuji ungesitishwa ili uendelee.hongera cdm and nasary,kaz ianze sasa kuonesha tofaut na magamba
 
kuna wakati CCM walipata kuta 200 mfululizo basi masako akawa anazitangaza kwa mbwembwe kama vile ndo tayari CCM wameshinda.
Ewe Masako, umma umepaza sauti kuu, sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.

Asante sana Mchambuzi,kumbe ulifuatilia kwa karibu, wanaokataa hawakumfuatilia toka mwanzo. mimi nilikuwa nafuatilia toka mwanzo wa matangazo ya kura za awali. Ilipofika zile kura za CCM mia mbili miambili akabadili lugha, "ccm yazoa, CCM imejizolea etc..
 
kweli jamaa ni mzushi mkubwa, Masako alikuwa zaidi ya fair, sema walisikitishwa baada ya kuripotiwa kwa vurugu tu

Hukufuatilia toka mwanzo kabisa, au kama ulifuatilia you were not able to note the difference!!!! Mtu makini aliliona wazi. hata viewers waliokuwepo pale ambao ni umpire waliona mabadiliko ya furaha ya Masakozilipokuja za CCM zikiwa na 200+ wakati CDM wako 30+
 
Back
Top Bottom