Raila Odinga yuko nchini kumtembelea rais John Pombe Magufuli

Alipowaambia wapiga kura ataongoza kama Magu, Uhuru akatake advantage. Nani anataka kuishi kama shetani? 🙂
 
Naona ameenda kumpokea mgeni airport. Sijui protocal zinasemaje? Anyway kuna jambo linaendelea!
Nilitaka kusema hivyo pia! Licha ya protocol! Hayo ni matumizi mabaya ya fedha za umma! Na usumbufu kwa raia! Yaani Rais na msafara wake wanachoma mafuta kwenda kumpokea rafiki yake ambaye hana cheo chochote cha kustahili kupokelewa na rais, Airport?

Huu uzombie ni wa kiwango kisicho na mpinzani!
 
Raila yuko Zanzibar na siyo dar hii picha siyo ya leo acheni uzandiki, alaf Urafiki wa Magufuli na Raila hauwezi kufa kisa eti kawa Rais wapo waliokua na marais na wakawa na marafiki lukuki walioliibia Taifa hadharani na sirini
 
Hawa wapuuzi wanafikiri uongo utawapandisha chati.
 
Raila yuko Zanzibar na siyo dar hii picha siyo ya leo acheni uzandiki, alaf Urafiki wa Magufuli na Raila hauwezi kufa kisa eti kawa Rais wapo waliokua na marais na wakawa na marafiki lukuki walioliibia Taifa hadharani na sirini
Kwani Zanzibar na Dar ni dk ngapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…