Raila Odinga yuko nchini kumtembelea rais John Pombe Magufuli

Acha uongo wewe, hiyo picha sio ya leo.
 
Kaja kufungua kesi ya uchaguzi mahakama ya kisutu mana huko kenya wamempa za uso
 
jogi,

Nimeamini CDM wengi ni wasaliti kwa comment hii.
Sio kwa mabomu haya wanayotupiga kila uchao!

Sio kwa mauaji haya wanayotekeleza kwa wanachama wa cdm

Sio kwa chuki hii wanayotuchukia kuizidi ya nyoka.

Wananchi tutafanya kama kwa uganda watu walivyomdis Idd Amini na kuwapa Kudo masoja wetu ambao this time tutawadis kwa vitendo vyao vya kutunyanyasa kwa maelekezo ya ccm.

Ni heri wajifunze kwa general Chiwanga mapema kabla mambo hayajaharibika sana
 
Hii picha na habari ni vitu viwili tofauti, anyway Raila is welcomed the true revolutionary wa Democracy in Africa
 
Chama cha Odinga hakikufungua shauri mahakamani kuhusu unayoyasema. Rekebisha andiko lako
 

jogi,
Acha kulinganisha Tanzania na vitu vya kijinga.

Tanzania, remains strong and peaceful place all the era and edge.
 
jogi,
Acha kulinganisha Tanzania na vitu vya kijinga.

Tanzania, remains strong and peaceful place all the era and edge.
Same altitude and atmosphere surrounded Idd Amini Dada before and during kagera invasion.
 
Ngoja nianze kuandaa kadi ya kwaheri kwa Jumuiya yetu Pendwa ya mashariki mwa Africa.
 
Same altitude and atmosphere surrounded Idd Amini Dada before and during kagera invasion.

jogi
Keep dreaming. It seems that during night you don't dream instead your trying to make it during day hours.

I reminds you again, "Acha kulinganisha Tanzania na vitu vya kijinga "
 
Nachoshindwa kuelewa ni pale chadema wakishirikiana na Kenya kuendesha propaganda chafu dhidi ya Tanzania. Hiyo picha na habari ni vitu viwili tofaut. Kwa akili yangu hiyo picha sio ya leo.Iweje hata chombo kimoja cha habari kisitangaze?Kama ni siri ni kweli jpm angeenda kumpokea Airport?Mimi naona kama chadema wanaona Kenya ni bora kuliko Tanzania waende huko Kenya wakaombe uraia. Sijawah ona mkenya akileta shobo na watanzania lkn hawa wenzetu chadema sio kujipendekeza huku.HAMIENI KENYA
 
Wangefanya siri tu..
Haijakaa vizuri ki diplomasia..
Tusubiri kenya ata hit back vipi 2020..
Jamii forum ni pasua kichwa, yaani umenionà hii ya Raila Odinga kuja kumtembelea Magufuli Tz, mmesahau Edo Lowasa kwenda Kenya kumfanyia kampeni Uhuru Kenyatta, ipi kubwa zaidi. Inaonekana vijana wengi mnajifaridi huku jamii forum kwa kubwabwaja bila hata kutafakali kwa hali bora Mi CCM iendelee kutawala hadi watanzania watapokuwa sawa.
 
Kwani Kenyatta hakumpokea Lowassa alipoenda Kenya? Protocol ilikuwaje? Kweli Nyani haoni kundule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…