Raila Odinga: Kituo tunachoweka Tanzania ni cha kulinda kura zetu zisiibiwe

Kipambanuzi chako hakiko sawa.

Lowasa hukupaswa kumtaja kabisaa!

Maana ni kama unamsifia aliyetuibia kura zetu.
(natangaza matokeo kama yanavyonifikia - Lubuva)
Unaota bado yaan lowassa aliibiwa kura khaaaa watanzania wana akili zile sarakasi mlicheza wenyew wakawa wanawachora
.

.
Kyenekyaka nkighanile une

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakiwezi kuwa Namanga mkuu, maana macho ya wengi yatakuwa Hapo, mostly ni Silari au Tarime, au hata Bunda ,hii ni kuwakwepa majasusi wa Kenyatta.
Hata mkikiweka magogoni Kitalipuliwa nami nita:D
 
Hivi kinachotokea hapa si ndio kama kile alicho lalama Obama juu ya Putin kumsaidia Trump kwa kuingilia uchaguzi wao?

Haya August 8 sio mbali tutaona tu matokeo ya haya
 
Bac sawa tuliwahurumu lakin umeona kazi inayoendelea katika nchi yako chini ya rais John pombe magufuli ko mkitulize mpaka 2025 mana 2020 hamna cha kuwaambia wananchi
.
.
.
kyenekyaka nkighanile une

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu nitajie tangible things alivyofanya zaidi ya kugawa watu majukwani. Kikwete na udhaifu wake kuna vitu tangible kaviacha
 
  1. NASA ni chama cha siasa nchini kenya
  2. Mgombea uraisi wa NASA ni Raila Odinga
  3. tz ni nchi ya Tanzania
  4. watz ni watanzania
  5. manyumbu ni muungano wa vyama vya siasa tz -UKAWA
  6. Tume ni tume ya uchaguzi Tanzania NEC na tume ya uchaguzi kenya IEBC
  7. mipaka ya nchi ni kuwa nje ya nchi husika
  8. kukiona cha mtemakuni ni kuonja joto ya jiwe ya dola
MANYUMBU ni CCMScrow.
 
Odinga kakosea sana kuliweka wazi hili. Mahusiano ya kidiplomasia kati ya nchi mbili jirani yako shakani sana.

Kenyatta yuko very smart. Amenyamaza kimya by now. But there is very big possibility endapo akishinda uraisi huwenda akalipiza kisasi kibaya sana kwa serikali ya JPM wetu.

Meanwhile, kitendo cha Tanzania kumruhusu Odinga kuweka kituo cha kuhakiki kura zake hapa TZ ni kosa kibwa sana kidiplomasia. Tuwe tayari kulipa bei ya upuuzi huu.
 
Back
Top Bottom