Raila Odinga, aliyekataa kupokea simu si rafiki yako Magufuli bali ni Rais Magufuli

Mganga wa Maige ameshasema kuwa safari hii yuko na sisi wanaChadema

Akija safari hii anapigwa chale kavu zisizo na dawa

Na hataogeshwa maji ya dawa atamwagiwa maji ya bomba tu hahaha
We mdanganye tu. Hata wana Ccm wamemchoka. Hata mpige chale za aina gani hapiti.
 

Why huu ujumbe wako usingetuma kwenye Tweeter account ya odinga
 
usilinganishe misimamo ya Tanzania ya akili kubwa ya Mwalimu JKN na awamu nyingine zote zilizofuata (hususani hii awamu ya 5 ambayo literally ni shambolic to say the least).

sidhani kama awamu hii inajua nchi hii inachokihitaji na namna ya kukipata.

nilishasema huko nyuma na ninarudia tena... Tanzania inazihitaji zaidi nchi jirani yake kuliko kinyume chake.
 
Acha mambo yasiyo maana, fikiria Kenya kufunga mpaka na Rwanda kufungua bandari kavu Kenya hivyo mizigo kupitia Mombasa. Nyie endeleeni na mapambio tuu
Rwanda secures dry port in Kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
Wala sio jambo jipya
Walisha fanya mambo zaidi ya hayo na Hakuna jipya
Mlolongo wa Safari ya Mizigo tokea Mombassa mpaka Rwanda unaujua
Au Ufipa umekujaa hujui hata ulisemalo Unakurupuka tu
 
Wala sio jambo jipya
Walisha fanya mambo zaidi ya hayo na Hakuna jipya
Mlolongo wa Safari ya Mizigo tokea Mombassa mpaka Rwanda unaujua
Au Ufipa umekujaa hujui hata ulisemalo Unakurupuka tu
Ina maana Bandari kavu yetu ya Isaka ndio imetoswa?
 

Huu ☝️ ndio ukweli...
 
Nimekuelewa sana mkuu! Ila nasisi tujefunze kuheshimu maamuzi ya nchi nyingine zinapoamua kupambana na corona kivyao, watu wamefunga mipaka yao tunaanza kulia lia tufunguliwe
 
Point yako ni ipi mbona una turudisha kwenye Mambo yaliyo pita

Dark Side
 
Hata mimi nimemshangaa Odinga, hivi katika level yake anaweza kumtuhumu rais Magufuli kuacha kupokea simu yake kweli!? ingeeleweka kama rais Kenyatta ndo angekuja na tuhuma hizo..
 
huuu ukweli mchungu rais kama taasisi hana marafiki. Japl wengi hawajuwi nakubwatuka nakulia lia.
 
odinga aliapishwa urais wa kenya na dr miguna mwisho wa siku akamsaliti dr miguna akajipeleka kwa uhuru.dr miguna akashtakiwa.
sasa magu hana aja ya kupokea simu za wanafki

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…