Kwani hajachanjwa sindano?Ukiangalia Habari za Kenya mida hii ni kwamba Raila Odinga umepatikana na Covid-19.
Nilicho jifunza wao wako wazi kabisa, sielewi kwa nini Tanzania huu ugonjwa unachukuliwa kama Gonorrhoea.
Huu ugonjwa ni ugonjwa wa aibu kwa Tanzania.
===
ODM leader Raila Odinga has tested positive for COVID-19, a statement from his doctor revealed on Thursday night.
Consultant neurosurgeon David Oluoch-Olunya said he is responding well to treatment at the Nairobi Hospital.
“Following my letter of the 10th of March 2021 we have confirmed that Rt. Hon. Odinga has SARS-2 COVID 19. We are continuing to monitor his progress,” the statement reads.
The ODM leader was admitted to hospital on March 9 after he complained of general fatigue and body aches.
Source: Citizen
Sasa alivyotangazwa ndo kapona corona au wewe uliyejua unamsaidia nini kuhusu huo ugonjwa wake?Bongo huu ugonjwa ni wa aibu
Kwa nini ushindwe kujua sababu, mbona ni rahisi sana?Nilicho jifunza wao wako wazi kabisa, sielewi kwa nini Tanzania huu ugonjwa unachukuliwa kama Gonorrhoea.
Huu ugonjwa ni ugonjwa wa aibu kwa Tanzania.
Mbadala wa kuhamia unajua ni nini? Ni kuwaondoa au kuwahamisha nyinyi mnaong'ang'ania nchi kama ni yenu peke yenu.Hamia kwao kwenye uwazi
Ila wewe jamaa unatesekaaaaaa.Hivi mngali mkiota bado wakati kumeshakucha!??? Kosa kubwa atakalofanya mtu yeyote ni kuyaamini maneno ya Mr Mzungu eikeiei Nomonolesi!!!
Duniani wawili wawili" Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Kenya Raila Omollo Odinga yuko Hospitalini nchini Kenya akipatiwa Matibabu baada ya Kugundulika rasmi kuwa na Maambukizi ya Corona "
Kama hauna akili timamu hauwezi muelewa mashana jr kwenye hili andiko lake,.Duniani wawili wawili
Umesahau hata hiyo simu ya rununu/computer uliyotumia kuandika huu upupu ni mkopo ya mzungu?Hawa wanataka wapewe mikopo na wazungu. Sisi malaria ndiyo ugonjwa unaotusumbua siyo mafua ya wazungu!
Jaluo ndio imegonga muhuri hapo kwenye doc ya Odinga