Yah ni kweli, inasemekana ilikuwa ni usiku. Kuna mdada alikuwa anarudi nyumbani mida ya saa 4, kisha akakabwa na vijana.
Wakati akikabwa kuna mtu alivaa kiraia, na alivojaribu kupambana na wale watu wakampiga sana na kufikia hatua ya kufa.
KUANZIA KESHO YAKE HAKUONEKANA HATA PANYA WALA MENDE AKITEMBEA MTAA ULE, HATA KUNGURU WALIPOTEA. MTAA ULITULIA KUPITA MAELEZO KUFATIA KIPIGO WALICHOPATA.