Raia walionywa waondoke Tehran, sasa Israel imeanza mapigo rasmi, msije kulaumu, mlipewa muda wa kuondoka

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,476
Reaction score
53,335
Kuna maeneo maalum ambapo raia waliagizwa waondoke, hivyo yeyote aliyebaki hapo anachukuliwa kama mwanajeshi, Israel imeanza kupiga....

Israeli Air Force fighter jets seen attacking Iranian nuclear targets, June 15, 2025
Israeli Air Force fighter jets seen attacking Iranian nuclear targets, June 15, 2025(photo credit: IDF SPOKESPERSON'S UNIT)
An evacuation has been issued to the people of Tehran by the IDF following multiple Iranian attacks on Tuesday night.

"Dear citizens, for your safety and health, we ask that you immediately leave the designated area in District 18 of Tehran," the IDF Farsi spokesperson wrote on X/Twitter.
The military later announced it had begun conducting strikes in the area.

Iranian reports indicated that the IDF was targeting a missile manufacturing facility located in Hojir, near Tehran.

According to reports, the IDF had already bombed the facility in Hojir last October.

Early Wednesday morning, Iranian media also reported that Israel was striking Imam Hossein University in eastern Tehran, which has been linked to Iran's Revolutionary Guards.
 
IDF ni wastaarabu, wanyenyekevu, wana utu na upendo wa hali ya juu. Hawataki kubutua raia wala hawataki kushtukiza, wanatoa taarifa mapema kabisa kuhusu ratiba ya kazi.

Watakaosubiri kushushiwa moto wameutaka wenyewe
 
IDF ni wastaarabu na wana utu, hawataki kubutua raia wala hawataki kushtukiza, wanatoa taarifa mapema.

Watakaosubiri kushushiwa moto wametaka wenyewe
Hapana mkuu wanapiga vibaya mno mpaka sasa raia zaidi ya 200 wamekufa, sema tu Iran sio wepesi ndio maana baba mtu kaona aingie Mwenyewe, maana mwanae akipiga nae anapigwa za chembe.
 
Kuna maeneo maalum ambapo raia waliagizwa waondoke, hivyo yeyote aliyebaki hapo anachukuliwa kama mwanajeshi, Israel imeanza kupiga....

Israeli Air Force fighter jets seen attacking Iranian nuclear targets, June 15, 2025
Israeli Air Force fighter jets seen attacking Iranian nuclear targets, June 15, 2025(photo credit: IDF SPOKESPERSON'S UNIT)
An evacuation has been issued to the people of Tehran by the IDF following multiple Iranian attacks on Tuesday night.

"Dear citizens, for your safety and health, we ask that you immediately leave the designated area in District 18 of Tehran," the IDF Farsi spokesperson wrote on X/Twitter.
The military later announced it had begun conducting strikes in the area.

Iranian reports indicated that the IDF was targeting a missile manufacturing facility located in Hojir, near Tehran.

According to reports, the IDF had already bombed the facility in Hojir last October.

Early Wednesday morning, Iranian media also reported that Israel was striking Imam Hossein University in eastern Tehran, which has been linked to Iran's Revolutionary Guards.
Israel washenzi sana wanakwambia tunakuja kukupiga na wanakuja kweli. Halafu unabaki kukodoa macho huna uwezo wa kuwazuia.
Taifa kubwa kama Iran ndo la kuambiwa hivyo na kainchi kama Israel!
Kweli Mungu akunyime vyote akupe akili.
 
Hako ka-nchi kadogo kanapigana vita vitano(5) mkuu so ingekuwaje kama wangeconcetrate na nchi Moja tu kama Irani?
Israel washenzi sana wanakwambia tunakuja kukupiga na wanakuja kweli. Halafu unabaki kukodoa macho huna uwezo wa kuwazuia.
Taifa kubwa kama Iran ndo la kuambiwa hivyo na kainchi kama Israel!
Kweli Mungu akunyime vyote akupe akili.
 
Amebaki kucheza vita ya propaganda kama bwana ake Marekani huku akizuia Raia wake kupiga picha machine zikitua Tel Aviv.

Wanajarbu kuleta promo ya silaha wakati kila mtu anaona si Iron Dome,Thaad Wala upuuzi mwingine hamna kitu.

Tupo hapa,waluchotarajia siyo wanachokiona
 
ngoja tusubiri muda uongee ndo tutaamini kama ni propaganda ama ni halisi
 
IDF ni wastaarabu, wanyenyekevu, wana utu na upendo wa hali ya juu. Hawataki kubutua raia wala hawataki kushtukiza, wanatoa taarifa mapema kabisa kuhusu ratiba ya kazi.

Watakaosubiri kushushiwa moto wameutaka wenyewe
Wana utu?
 
Kukosa maarifa kwa watanzania imekua janga tena janga lenye dozi ya maisha
 
Amebaki kucheza vita ya propaganda kama bwana ake Marekani huku akizuia Raia wake kupiga picha machine zikitua Tel Aviv.

Wanajarbu kuleta promo ya silaha wakati kila mtu anaona si Iron Dome,Thaad Wala upuuzi mwingine hamna kitu.

Tupo hapa,waluchotarajia siyo wanachokiona
Lakini mkuu hivi inakuwaje jamaa anaua viongozi wako kama anavyotaka bado unamuona hana uwezo?ameua mkuu wako wa majeshi,ukachagua mwingine naye amemuua tena kwa makombola !!Ndio maana hata trump amesema wanafahamu hata kiongozi wao mkuu alipojificha ila kwa sasa hawataki auawe!!lakini ilani yeye anajipigia tu litakapodondokea ndio hapo hapo
 
Ni swala la muda tu magaidi yote yatatoweka kwenye hili jukwaa au ili yabaki itabidi yabadili IDs kwa sababu kila uchao Iran maji yanazidi kuongezeka na sio muda mrefu wataanza kuyanywa.
 
Back
Top Bottom