TFF mlikua wapi kutolea ufafanuzi sakataka la Dkt. Ndumbaro kufungiwa kujihusisha na mpira Tanzania?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,280
12,775
Nimeshituka kuona hii habari kupitia ITV.

"Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa zinazoenea mitandaoni kuhusu kufungiwa kwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt.Damas Ndumbaro, na kubainisha kuwa, Waziri Dkt. Ndumbaro alifungiwa miaka saba na uongozi uliopita wa TFF lakini alikata rufani katika Kamati ya Rufani ya Nidhamu ya TFF kupinga adhabu hiyo.

Taarifa ya TFF imebainisha kuwa, Kamati ya Rufani ya Nidhamu ya TFF chini ya uongozi wa sasa ilisikiliza rufani hiyo mwaka 2017, ambapo Waziri Dkt.Ndumbaro alishinda, hivyo kuondolewa adhabu ya kufungiwa."

Source ITV.

Je TFF mmejitokeza hadharani na kuanza kutoa ufafanuzi baada ya kuona mwamba kalamba teuzi/uwaziri ??

Toka mwanzo mlikua wapi kuja kutoa huo ufafanuzi wenu??
 
Mtani upoo..umekuwa kimya sana..nimefurahi nimekuona
 
Hata shaffi Dauda akipata uteuzi, tifutif watasema alishinda rufaa!!!
Ndumbaro alishinda rufaa na aliteuliwa kwenye kamati za tff 2017.
 
Tff haipo juu ya serikali, ni mamlaka mbili tofauti hivyo hata Kama tff walimfungia hawawezi kupingana na maamuzi ya rais.
 
Ndumbaro kiongozi katika moja ya kamati pale Yanga
Ndumbaru ni kolo lia lia na ndie anaewasaidia makolo kwenye mambo ya kisheria ila jamaa m1 aliefeli kwenye sekta ya michezo hata sijui vigezo gani vimetumika kumpa uwaziri wa michezo,kuna kipindi alifikia hadi kurushiana maneno yasiyo na staha na baadhi ya wachezaji akiwemo haruna moshi boban,ndie aliedidimiza majimaji ya songea ipotee kwenye ramani ya soka
 
Si alikua Fifa agent kipindi hicho ,mie sijui mengi juu yake zaidi ya kujua machache tu
 
Nimeshituka kuona hii habari kupitia ITV.

"Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa zinazoenea mitandaoni kuhusu kufungiwa kwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt.Damas Ndumbaro, na kubainisha kuwa, Waziri Dkt. Ndumbaro alifungiwa miaka saba na uongozi uliopita wa TFF lakini alikata rufani katika Kamati ya Rufani ya Nidhamu ya TFF kupinga adhabu hiyo.

Taarifa ya TFF imebainisha kuwa, Kamati ya Rufani ya Nidhamu ya TFF chini ya uongozi wa sasa ilisikiliza rufani hiyo mwaka 2017, ambapo Waziri Dkt.Ndumbaro alishinda, hivyo kuondolewa adhabu ya kufungiwa."

Source ITV.

Je TFF mmejitokeza hadharani na kuanza kutoa ufafanuzi baada ya kuona mwamba kalamba teuzi/uwaziri ??

Toka mwanzo mlikua wapi kuja kutoa huo ufafanuzi wenu??
Karia alivyoingia alitoa msamaha kwa wote walokuwa kifungoni.Nakumbuka ,kwa hyo huo ufafanuzi waliotoa tff ni WA uongo.
 
Back
Top Bottom