Hahahahahahahahahahahahahahahahahaha.....Mama piga Kaziiiiii. Hata hao akina Vasco Da Gama na Ibn Batuta waliziletea fursa nyingi nchi zao kutokana na kusafiri kwao.
Usiwe kama yule jamaa yao yeye kusafiri ilikuwa ni kwenda kwa Nkurunziza au kwa Kagame kujifunza njia za kuua wapinzani