Raia mwenye asili ya Congo apigwa na Polisi hadi kufa nchini India

Ila raia wa kikongo wakiuliwa na polisi wa Congo mambo ni mshwano kabisa?
Rejea kifo cha Akwelin na Mwangosi...double standard kabisa.
Wameanza na huyo kama hawajashughulikiwa inawezekana wakaendelea kuwauwa waafrica wengine ambao pengine wako huko kimasomo
 
Hao si ndo mabwana zenu wanaoleteeni machanjo mpaka mnawaabudu! Eti ooh wanatupenda!!

Huu ni udhihirisho wa nje tu unaothibitisha kwamba watu weupe hawajawahi kumpenda mtu mweusi.

Endeleeni kubugia machanjo! Mahesabu baadae.
 
Huu ubaguzi wa wahindi kwa watu weusi sijuwi utaisha lini?

Wahindi wote mafinyango yenu..
 
Hao si ndo mabwana zenu wanaoleteeni machanjo mpaka mnawaabudu! Eti ooh wanatupenda!!

Huu ni udhihirisho wa nje tu unaothibitisha kwamba watu weupe hawajawahi kumpenda mtu mweusi.

Endeleeni kubugia machanjo! Mahesabu baadae.
Kachanjwe acha ujinga wewe.
 
Waafrika bana, wao wanauawa tena na polisi huko India, ikija kulipiza kisasi, sisi tuna negotiate. Dawa ni kujibu kwa kipigo. Dawa ya moto ni moto.
 
Akili za watu weusi,mtu mweusi akiuliwa na mtu wa Rangi nyingine inauma,ila akiuliwa na mweusi mwenzie ni Sawa!
Waafrika wanauana kila siku,hata hapa bongo,wasiojurikana waliua watu kibao,
Juzi hapa Kuna mtu alimkanyaga kanyaga jamaa kwa gari huku watu wakishangiria.
 
Polisi Bakora hao,Ukitaka kuwajua tembelea Bombay
 
Hao si ndo mabwana zenu wanaoleteeni machanjo mpaka mnawaabudu! Eti ooh wanatupenda!!

Huu ni udhihirisho wa nje tu unaothibitisha kwamba watu weupe hawajawahi kumpenda mtu mweusi.

Endeleeni kubugia machanjo! Mahesabu baadae.
Wahindi sio watu weupe,na wala sio waamuzi wa chanjo za korona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…