Raia Mwema na Tanzania Daima: Njama?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,710
40,777
Siku ya leo kulitakiwa kutoke makala motomoto kwenye magazeti haya mawili. Kwa sababu wanazojua wanaojua majarida yote mawili yameshindwa kutoa matoleo yao ya kiintaneti ambayo yalikuwa yaendane na muziki ambao ulikuwa uchezwe hapa leo. Ilikuwa ni kujaribu kuua ndege mmoja kwa mawe matatu! But then, somewhere some information is leaking, I mean kumiminika siyo kuvuja!!

So, mkakati unabadilika; !
 
I know the Guy. Nadhani 'Akili' yuko kwenye pilika pilika za "Ienengia Mana"; natumai punde atayaweka hayo magazeti. Hatam mimi nimeyakosa kwa kweli.

JJ
 
Tayari yameshatoka, na nimetoka na hii interesting quote hapa kutoka TZ Daima, guess who said it:

"Naomba nitoe wito kwa heshima kubwa na taadhima; Mhe. Rais na wenzako, hatutaki vitisho tena, hatutaki kushikiwa picha ya simba wa kuchorwa, na kwa hakika tumechoka na kibwagizo cha "tumepewa majina ya wahalifu" .
 
Kitila, unasema tayari yameshatoka wapi? katika web naona yapo matoleo yaliyopita. Raia Mwema liko la wiki iliyopita ikiwa na Story ya Dk Rashid na Kazaura na Tanzania Daima kuna story ya Zitto akisema, "Kuna njama".. Magazeti hayo Jumatano yametoka na habari tofauti, Raia Mwema likiwa na habari, "Mzimu wa Buzwagi wamvaa Mramba" na ingine ikiwa ni makala iliyoanza ukurasa wa kwanza isemayo, "Kikwete ageuka Vasco da Gama kwa safari za nje" na Tanzania Daima ikiwa na story za Ripoti ya REDET na ndani kuna makala ya kuvutia ya Mwanakijiji.
 
Leo hata THISDAY limekoroga.. Habari kubwa ya leo inayosema, "How Mining companies exploit tax loopoles..." haipo katika web na badala yake nafasi yake imewekwa makala ya BAN KI-MOON iliyopo ukurasa wa nane huku habari ya Jumanne ya plot iliyouzwa ikimhusisha EL ikiwapo... Iko kazi kweli kweli... Ama watu wameanza kuchoka, au wamekwenda LIKIZO ama ndio mgomo baridi unaanza, au hujuma....
 
Re: Raia Mwema na Tanzania Daima: Njama?

--------------------------------------------------------------------------------

Quote:
Tayari yameshatoka, na nimetoka na hii interesting quote hapa kutoka TZ Daima, guess who said it:

"Naomba nitoe wito kwa heshima kubwa na taadhima; Mhe. Rais na wenzako, hatutaki vitisho tena, hatutaki kushikiwa picha ya simba wa kuchorwa, na kwa hakika tumechoka na kibwagizo cha "tumepewa majina ya wahalifu" .

Kitila, unasema tayari yameshatoka wapi? katika web naona yapo matoleo yaliyopita. Raia Mwema liko la wiki iliyopita ikiwa na Story ya Dk Rashid na Kazaura na Tanzania Daima kuna story ya Zitto akisema, "Kuna njama".. Magazeti hayo Jumatano yametoka na habari tofauti, Raia Mwema likiwa na habari, "Mzimu wa Buzwagi wamvaa Mramba" na ingine ikiwa ni makala iliyoanza ukurasa wa kwanza isemayo, "Kikwete ageuka Vasco da Gama kwa safari za nje" na Tanzania Daima ikiwa na story za Ripoti ya REDET na ndani kuna makala ya kuvutia ya Mwanakijiji.

Samahani Kitila, nafuta maneno yangu hapo juu...
 
Afadhali, maana nilianza kuogopa kwamba hizi website zinatofautiana au namna gani, nikaanza kufikiri labda web ya TZ na nje ya nchi zinatofautiana! Poa basi.
 
huu muziki ni upi?Mwanakijiji acha siasa za uoga..wewe uweke hapa tuusikilize
 
Back
Top Bottom