hawajui wapemba dk slaa, hawanunuliki kwa pipi
Ivi uyu Tumaini wakati Dr Slaa anaibua hoja bungeni mbona ulikuwa haucommnet kuwa hizi hoja ni za padre.
Stop being MYOPIC kama umetumwa basi waambie waliokutuma kuwa umelamba galasa.
Big up muungano wa Chadema na CUF cha msingi ni kuchukua nchi bse currently tunaishi maisha ambayo hatustaili kama watanzania.
Mungu ibariki Tanzania na uwaongoze watu wake wachague RAISI mwenye uzalendo na anaekerwa na umaskini wa watanzania.
Huyu Tumain ni kati ya wale mashushushu wa serikali wanapandikiza mbegu za chuki kuhusu dini iwapo chama fulani cha upinzani kitaonyesha kuwa tishio kwa CCM katika uchaguzi. Leo katika Mwanahalisi uk wa 3 kuna makala nzuri ya Ndimara "Msimu wa Mashushushu huu hapa" makala ambayo inaeleza ninachokisema na kinachotokea -- mfano ni Tumain na MS. Kwa sababu ya kukosa hoja za nguvu basi hukimbilia dini -- kama vile CUF ilivyobambikiziwa kuwa ni chama cha Kiisilamu mwaka 2000 wakati kilipokuwa tishio kubwa kwa CCM.
Ni hakika msimu wa mashushushu na tutaona na kusikia mengi sana jinsi taasisi hiyo ilivyojikita upande wa mafisadi na kusahau umasikini wa Wananchi walio wengi.
Hadi sasa katika wachangiaji 12 waliochangia topic hii ni mmoja tu -- Tumain -- bila shaka nduguye MS -- ndiye mwenye mawazo tofauti. Hana aliyemuunga mkono. Mchafuzi tu huyu -- hata kama ni demokrasia -- kashindwa vibaya sana! Haoni hata aibu! Anatala kutuchafulia mpiganaji wetu kwa tuhuma za kidini! Bila shaka ametumwa na CCM ambao Dr Slaa amewasha moto ndani ya chupi zao!
Atakuwa ameungana na kanisa kuteketeza watanzania..kwa mgongo wa chama..padre kuwa rais is BIG NO!
mwmabie namba alipoga haiaptikani ajaribu tena baadae
Kiswahili hiki mhhhh. Sijui yameshapanda kwenye ubongo?
Yaani CHADEMA mnasikitisha sana sana ,nitaona ajabu kama badu kuna watu awajaistukia CHADEMA kuwa ni patupu ,nilitegemea mngetaka kuungwa mkono kumbe mnataka vigogo tena wakuu wa Chama cha Upinzani hapa Tanzania ,hivi akina LWAKATALE hakuwatosheni Shaibu Akwilombe mmempeleka wapi ????
Hivi huko hakuna watu wenye ushawishi ,nilitegemea mngehitaji CUF iwaunge mkono bila ya kuhitajia watu fulani ,? Hivi mnakumbuka kama mliungwa mkono kule Tarime na je mlipotakiwa muiunge mkono CUF pale Mbeya ,mlifanyaje ? Ni lini CHADEMA mlimuunga mkono CUF kupitia mgombea wake Lipumba ? Hivi ni akina nani wale waliojitoa katika dakika za mwisho ?
CUF ni chama chenye kuheshimika dunia nzima na hapa Tanzania amini usiamini bado ni Chama nambari moja katika kutoa upinzani mkali ,Chadema ndio mnahitajiwa kuiunga mkono CUF Chama kilichokamilika hakihitaji mtu kutoka sehemu yeyote ile.
Yaani tayari mmeonyesha kama mna kasoro tena kubwa sana ,au sijawaelewa ???
Atakuwa ameungana na kanisa kuteketeza watanzania..kwa mgongo wa chama..padre kuwa rais is BIG NO!
Kama wataungana ndiyo furaha yangu. Hata kama Wapinzani wakishindwa uchaguzi wa mwaka huu, mwaka 2015 Serikali itakayokuja itakuwa ya Mseto. Wembe huohuo and BIG UP mnaotuletea habari njema kama hizi.