RAIA MWEMA: CHADEMA kwafukuta

RAIA MWEMA: CHADEMA kwafukuta

Gazeti la raia mwema limeandika kuwa chadema Kunafukuta. Kuna makundi mawili ya Mbowe na Lissu. Ni mafahali wawili ndani ya zizi moja.

Nimewahi kusema hili suala lakini nikaishia kutukanwa, Leo gazeti la raia mwema wameweka wazi kila kitu.

Huu mgogoro uliopo utaisha kwa mpasuko mkubwa sana ambao utaenda kukipasua kabisa chama. Yote haya inasemekana ni Vita ya uongozi kuelekea 2025.

View attachment 2502268
Nikimuangalia Lissu kwa nje sio mtu wa tamaa kusema anataka uenyekiti! Ila issue hapa ni mkimzano wa mitazamo! Lissu, Mnyika na Heche hawa wanamuona Samia ni dhaifu na wanaweza kumchaanga sana wakapata kukubalika na chama kikapata wafuasi wakaleta upinzan mkali 2025! Ila Mbowe yeye kama yeye anaona hapana Mama hapaswi kutendewa hivo! Ijapokuwa Mbowe analinda maslah yake binafsi yasije kuguswa.


Azimio la Arusha:- mwanasiasa asiwe mfanyabiashara.
 
Wanandoa wanagombana, ndio iwe wao?
Sio kwa kwa style hii ya kuwachonganisha !! Wale ni werevu sana ! Ila labda kama wanavyosemaga wajuzi wa mipango kwamba Money speaks every language !!
 
Back
Top Bottom