RAIA MWEMA: CHADEMA kwafukuta

RAIA MWEMA: CHADEMA kwafukuta

Lissu lazima agombee urais 2025 hata kama CHADEMA wakitangaza kujitoa kwa sababu yoyote ile. Kugombea urais kwa Lissu ni mradi wenye tija sana hata akiwa na uhakika kuwa hatashinda.

Mbona unalazimisha Lissu agombee. Msimamo wa chama ni bila Katiba Mpya chadema haishiriki uchaguzi. Kumbuka Lissu ni makamu mwenyekiti wa CHADEMA.
 
Ni kweli ndugu mwandishi, naona hapa ndipo wanapoyapanga hayo makundi ya 2025. 😀 😀


maxresdefault.jpg
Kawaulize raia mwema
 
Mmoja ameshasema anastaafu mwaka huu, mwingine bado yupo kwenye uongozi wa chama,.sioni kwa vipi hao jamaa wawili wanaweza kuwa kwenye mgogoro.

Hata kama ni sababu ya makundi/kambi za uchaguzi, bado Lissu hajasema kama atagombea nafasi yoyote, sasa iweje uwepo mgogoro hapo?
Huwaamini gazeti la raia mwema?
 
Lissu lazima agombee urais 2025 hata kama CHADEMA wakitangaza kujitoa kwa sababu yoyote ile. Kugombea urais kwa Lissu ni mradi wenye tija sana hata akiwa na uhakika kuwa hatashinda.
Kugombea urais kwa Lissu ni mradi wenye tija kwake? how?
 
Hapo ndio utajua kwamba tunacwanasiasa maslahi waliopitiliza nchi hii!
Yeyote anayetaka maslahi kupitia siasa, anaenda CCM. Huko ndiko watu wanagawana madaraka na pesa.

Maslahi kwenye upinzani yatatoka wapi? Huko unatakiwa ujiandae kupoteza pesa, biashara na hata ajira, kama ni mwajiriwa wa Serikali.
 
Sasa hivi mamilioni ya Mbowe hayahitajiki kwa Tundu Lissu, tayari amepata kamradi kake pale Ubeljiji amabacho kinamuingizia pesa ya kutosha. Kumbuka hata ile helikopta aliyotumia kwenye uchaguzi 2020 haikutokana na pesa za CHADEMA.
Aanzishe chama chake kama Zitto alivyofanya vinginevyo sijui
 
Ungetuletea habari kamili ingependeza zaidi, lakini kutuwekea kichwa cha habari pekee umetuacha tufanye kazi ya kubahatisha..
Kwa nn unapenda sana kutafuniwa? Alafu kuhusu huo mpasuko mbona nimeshaleta sana humu, tafuta nyuzi za nyuma alafu Soma utaelewa
 
Migogoro ya kutengeneza kwa maslahi ya chama Tawala kama sehemu ya maridhiano ili serikali ya umoja wa kitaifa ipatikane 2025!!


Fikra huru

Cha msingi Tanzania isonge mbele!
 
Gazeti la raia mwema limeandika kuwa chadema Kunafukuta. Kuna makundi mawili ya Mbowe na Lissu. Ni mafahali wawili ndani ya zizi moja.

Nimewahi kusema hili suala lakini nikaishia kutukanwa, Leo gazeti la raia mwema wameweka wazi kila kitu.

Huu mgogoro uliopo utaisha kwa mpasuko mkubwa sana ambao utaenda kukipasua kabisa chama. Yote haya inasemekana ni Vita ya uongozi kuelekea 2025.

View attachment 2502268
Hili gazeti limelambishwa asali. Nimeona kwenye toleo la leo wakisema ongezeko la faida kwenye mabenki ni sababu ya kazi ya Samia, really?
 
Inakuwaga hivyo hivyo bwashee!
Bwashee, naona kwa sasa tushughulikie kauli ya mwenyekiti wetu wa CCM kwamba wananchi wanababikiziwa kesi za madawa ya kulevya na Mapolice wetu ambao walioapa kulinda usalama wa raia na mali zao.
 
Back
Top Bottom