Watanzania wote? Mbona sisi wengine wengi tu hatuitaki
..Nchi haiwezi kuendeshwa bila katiba.
Watanzania wote? Mbona sisi wengine wengi tu hatuitaki
Awamu ya 5 uhuru wa kutoa maoni ulisitishwaUlitaka ziweje? Uhuru wa kutoa maoni haupo?
Ni ww ndo hutaki katiba mpyaWatanzania wote? Mbona sisi wengine wengi tu hatuitaki
Kumbe hata story yenyewe hujaisoma ?!! [emoji23][emoji23][emoji23]Hayo maswali waulize raia mwema maana wao ndio wamesema walihoji
Unaamini hako ka-gazeti?!Gazeti la raia mwema limeandika kuwa chadema Kunafukuta. Kuna makundi mawili ya Mbowe na Lissu. Ni mafahali wawili ndani ya zizi moja.
Nimewahi kusema hili suala lakini nikaishia kutukanwa, Leo gazeti la raia mwema wameweka wazi kila kitu.
Huu mgogoro uliopo utaisha kwa mpasuko mkubwa sana ambao utaenda kukipasua kabisa chama. Yote haya inasemekana ni Vita ya uongozi kuelekea 2025.
View attachment 2502268
Inaweza, Uganda iliendeshwa na Amin miaka 8 bila katiba...Nchi haiwezi kuendeshwa bila katiba.
Thank you. Wanasiasa wa Tanzania, watawala na wa upinzani wote wanatembelea kwenye upumbavu wetu.Tatizo kubwa ni ubinfasi. Na kinachowapa nguvu ni watanzania wapumbavu wanaodhani ukishakua upinzani basi automatically wewe ni msafi na huna kasoro. Chawa wa chadema wanatia huruma
Inaweza, Uganda iliendeshwa na Amin miaka 8 bila katiba.
Unataka mpinzani wa nn? Wote tumekubali yeye ndio agombee.Mpinzani wake ndani ya ccm alikuwa nani na alipata kura kiasi gn
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Kuna wakati huwa naona kama hakuna tofauti...sidhani kama Watz wangependa kuwa na utawala au uongozi kama wa Nduli Idi Amini.
This is even more than true🤝Thank you. Wanasiasa wa Tanzania, watawala na wa upinzani wote wanatembelea kwenye upumbavu wetu.
Na kwa Mbowe na Lisu ndio wabaya wao wasahau kabisa! Hawatakuja kugombana kamwe !!Hakuna kitu kama hicho.
Photo shop kama ilivyowekwa ile chupa ya Asali pale Ikulu kwenye mazungumzo ya Rais Samia na Mwenyekiti Mbowe !! Watu mahodari wa fake news ! Hatar sana !Jamaa ni walevi hawa
Naikumbuka hiyo novel !Kuna mwandishi mmoja zamani akiitwa JAMES HADLEY CHASE Alikuwa mwandishi mahiri, lakini pia aliwahi kutoa angalizo: 'Believe This, You Will Believe Anything'!
Hayo maswali waulize raia mwema maana wao ndio wamesema walihoji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ebanaeee!So umeweka bendera ili kuficha likonyagi hapo wewe ni mpuuzi tu
USSR View attachment 2502423
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa wanabwia konyagi, ha ha ha.So umeweka bendera ili kuficha likonyagi hapo wewe ni mpuuzi tu
USSR View attachment 2502423
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanandoa wanagombana, ndio iwe wao?Na kwa Mbowe na Lisu ndio wabaya wao wasahau kabisa! Hawatakuja kugombana kamwe !!
Na hapo unaona kashaanza kuvaa kishogashoga 😂🤣😂Ni kweli ndugu mwandishi, naona hapa ndipo wanapoyapanga hayo makundi ya 2025. 😀 😀
![]()