Rai yangu kwa kijana HENRY KILEWO

Rai yangu kwa kijana HENRY KILEWO

Yawezekana ikawa kweli kwa mleta Mada, lakini hana ushahidi wa kutosha ili nimwamini huyu mtu
 
Adabu isimame mahala pake. Lowassa hajashindwa katika box la kura na washindani wenzake. Lowassa ameshindwa na washindi waliokuwa hawashindani naye nec.
mwacheni akachunge ng'ombe
Lowassa hajawahi kushinda popote iwe kura za maoni za CCM au Urais wa Nchi nzima
Yeye alitaka kuonesha jeuri ya Pesa, na sasa hapo ndipo wajanja walipomchuna
ungesema hata Shariff ningekuona hauko Kishabiki zaidi, huyu ndio Mpemba mpiganaji anayeshinda kila mwaka.
 
Back
Top Bottom