Rai yangu kwa kijana HENRY KILEWO

Rai yangu kwa kijana HENRY KILEWO

magode

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2014
Posts
2,204
Reaction score
3,339
Wanajamvi,
Salaam...!

Uchaguzi ndo umeshapita,ingawa kwa wagombea walioshindwa bado wanauguza majeraha hayo ya ki-siasa.

Nimeamua kumuandikia kijana Henry kilewo aliyekuwa anagombea jimbo la mwanga,akichuana vikali na prof.Jumanne Maghembe.
Inawezekana yapo mapungufu mengi yaliyosababisha kushindwa kwa huyu kijana,me ntaongelea upande mmoja tu.

Kilewo nafasi uliyokuwa unaomba,ni kubwa sana,ni utumishi ktk jamii yako. Nafasi hizi za kuchaguliwa unapozihitaji,hakikisha unafanana nazo ktk kila nyanja ili jamii ikuamini.

Kilewo kiukweli kwa kipindi hiki hukustahili kupata hiyo nafasi,hukustahili kwa sababu mkeo hakuwa amejiandaa kuwa mke wa mbunge.

Ni km ilivyowahi kusemwa humu kuhusu dr.slaa,pamoja na umahili wake lkn hana mke anayestahili kuwa first lady. Vivyo hivyo kwako.

Siamini km mimi ndo mtu wa kwanza kukueleza jambo hili,najua umeshasikia sehemu nyingi au kuona mwenyewe matendo ya mkeo.

Kwa vile ww ni kijana,naamini bado unayo nafasi ya kujipanga kutimiza ndoto zako za kuwa mh. Hebu ktk kipindi hiki cha miaka 5 jaribu kumjengea uwezo shemeji aonekane km mke wa kiongozi! Unaweza kuliona hili jambo dogo,lkn lina impact kubwa mno kwa kiongozi wa ngazi uliyokuwa unaitaka.

Watasema na wengine.
K
 
Mkewe alisema anatamani Henry ashinde ili wapate nyumba ya ghorofa na shopping za Dubai.
Aliposhindwa a kasema anaumia kwani zile shopping za Dubai na ghorofa hakuna!!
 
Kwani tunachagua mbunge au make wa mbunge? Kama Kilewo ana uwezo kushughulikia na kutatua kero za wana Mwanga mapungufu ya mkewe yanatuhusu nini?
 
Hii sasa ni kufarakanisha ndoa za watu. Mbona wengine wake zao hawakujiandaa/onekana na bado wametangazwa washindi
 
Mkuu wale wanaochagua wanazingatia kila kitu. Afadhali ingekuwa hapa dar lkn si mkoani. Mkoani tabia zako na mkeo lazima zionyeshe ninyi ni viongozi!
 
Mkuu hakuna mahali nilipoonyesha nataka kuwatenganisha,nataka apate muda tu wa kumjengea uwezo na ni mambo ambayo anaweza kuyaacha..!
 
Tuambie ni nini huyo mke alifanya kinakupa sababu kuwa ndio maana mume kakosa ubunge
 
Wanajamvi,
Salaam...!

Uchaguzi ndo umeshapita,ingawa kwa wagombea walioshindwa bado wanauguza majeraha hayo ya ki-siasa.

Nimeamua kumuandikia kijana Henry kilewo aliyekuwa anagombea jimbo la mwanga,akichuana vikali na prof.Jumanne Maghembe.
Inawezekana yapo mapungufu mengi yaliyosababisha kushindwa kwa huyu kijana,me ntaongelea upande mmoja tu.

Kilewo nafasi uliyokuwa unaomba,ni kubwa sana,ni utumishi ktk jamii yako. Nafasi hizi za kuchaguliwa unapozihitaji,hakikisha unafanana nazo ktk kila nyanja ili jamii ikuamini.

Kilewo kiukweli kwa kipindi hiki hukustahili kupata hiyo nafasi,hukustahili kwa sababu mkeo hakuwa amejiandaa kuwa mke wa mbunge.

Ni km ilivyowahi kusemwa humu kuhusu dr.slaa,pamoja na umahili wake lkn hana mke anayestahili kuwa first lady. Vivyo hivyo kwako.

Siamini km mimi ndo mtu wa kwanza kukueleza jambo hili,najua umeshasikia sehemu nyingi au kuona mwenyewe matendo ya mkeo.

Kwa vile ww ni kijana,naamini bado unayo nafasi ya kujipanga kutimiza ndoto zako za kuwa mh. Hebu ktk kipindi hiki cha miaka 5 jaribu kumjengea uwezo shemeji aonekane km mke wa kiongozi! Unaweza kuliona hili jambo dogo,lkn lina impact kubwa mno kwa kiongozi wa ngazi uliyokuwa unaitaka.

Watasema na wengine.
K

Zito Kabwe ana mke?
Joshua Nassary alikuwa na mke wakati anachaguliwa kuwa mbunge?
Kafulila alikuwa na Mke wakati anachaguliwa kuwa mbunge?

Ukiyatafakari hayo mkumbuke sana babu seya na yaliyomkuta
 
Yapo mengi mkuu,lkn hebu isome hata comment #2 halafu utafakari. Hiyo nayo ni kauli yake!
 
Mkuu wale wanaochagua wanazingatia kila kitu. Afadhali ingekuwa hapa dar lkn si mkoani. Mkoani tabia zako na mkeo lazima zionyeshe ninyi ni viongozi!

Unasema mkoani? Zito kabwe kachaguliwa ana mke?
 
Mkuu kibogo hebu rudia tena kusoma nilichoandika. Halafu ndo uje kutoa mchango wako. Me nadhani ungetoa mfano wa kiongozi mwenye mke mwenye tabia mbaya hapo ningekuelewa. Hapa tunazungumzia mtu ambae tayari ana mke na alikuwa mstari wa mbele kumsaidia mumewe..!
 
Last edited by a moderator:
Zito Kabwe ana mke?
Joshua Nassary alikuwa na mke wakati anachaguliwa kuwa mbunge?
Kafulila alikuwa na Mke wakati anachaguliwa kuwa mbunge?

Ukiyatafakari hayo mkumbuke sana babu seya na yaliyomkuta

Sawa ila yule Dada Joyce ni shida kubwa sana naye kachangia kwa kiasi kikubwa sana kumuangusha mumewe na post zake za kipuuzi huko facebook.
 
Mkewe alisema anatamani Henry ashinde ili wapate nyumba ya ghorofa na shopping za Dubai.
Aliposhindwa a kasema anaumia kwani zile shopping za Dubai na ghorofa hakuna!!

Hata mimi hii kauli ya mke wake ilinikera mbaya. Sometimes mke anaweza akawa nuksi kwenye mafanikio yako
 
Kweli Kileo uhuni wa mke wake ndiyo unamuharibia sijui huwa alioni hilo amkanye au ndiyo kalogwa kiufupi yule mwanamke hamfai mafanikio ya mwanaume yanatokana na mwanamke bora nafikiri bado ajaliona hilo tatizo
 
Wanajamvi,
Salaam...!

Uchaguzi ndo umeshapita,ingawa kwa wagombea walioshindwa bado wanauguza majeraha hayo ya ki-siasa.

Nimeamua kumuandikia kijana Henry kilewo aliyekuwa anagombea jimbo la mwanga,akichuana vikali na prof.Jumanne Maghembe.
Inawezekana yapo mapungufu mengi yaliyosababisha kushindwa kwa huyu kijana,me ntaongelea upande mmoja tu.

Kilewo nafasi uliyokuwa unaomba,ni kubwa sana,ni utumishi ktk jamii yako. Nafasi hizi za kuchaguliwa unapozihitaji,hakikisha unafanana nazo ktk kila nyanja ili jamii ikuamini.

Kilewo kiukweli kwa kipindi hiki hukustahili kupata hiyo nafasi,hukustahili kwa sababu mkeo hakuwa amejiandaa kuwa mke wa mbunge.

Ni km ilivyowahi kusemwa humu kuhusu dr.slaa,pamoja na umahili wake lkn hana mke anayestahili kuwa first lady. Vivyo hivyo kwako.

Siamini km mimi ndo mtu wa kwanza kukueleza jambo hili,najua umeshasikia sehemu nyingi au kuona mwenyewe matendo ya mkeo.

Kwa vile ww ni kijana,naamini bado unayo nafasi ya kujipanga kutimiza ndoto zako za kuwa mh. Hebu ktk kipindi hiki cha miaka 5 jaribu kumjengea uwezo shemeji aonekane km mke wa kiongozi! Unaweza kuliona hili jambo dogo,lkn lina impact kubwa mno kwa kiongozi wa ngazi uliyokuwa unaitaka.

Watasema na wengine.
K
What is your point? umri au marital status? Kama ni age siyo issue coz tuneona wabunge vijana kama Kafulila, Nassari, marehemu Filikunjombe, Zitto etc wakifanya vizuri kuliko maprofesa.
 
Mkuu IROKOS pamoja na ku-quote bandiko lote lkn hujaona maantiki yangu?? Hebu soma tena bandiko langu nadhani ukirudi utakuwa na mchango mzuri zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kibogo hebu rudia tena kusoma nilichoandika. Halafu ndo uje kutoa mchango wako. Me nadhani ungetoa mfano wa kiongozi mwenye mke mwenye tabia mbaya hapo ningekuelewa. Hapa tunazungumzia mtu ambae tayari ana mke na alikuwa mstari wa mbele kumsaidia mumewe..!

Zitaje tabia mbaya za mke wake na utoe ushahidi pia zitaje tabia zote za mke wa mshindi wa Ubunge ili watu walinganishe
 
Last edited by a moderator:
Unasema mkoani? Zito kabwe kachaguliwa ana mke?
Tatizo lako na wengine either hamsomi au uwezo wa kuelewa ni mdogo. Mtoa mada katoa ushauri mzuri tu. Hivi ni sawa mke wa mgombea kuwaza kuwa mmewe akipata nafasi basi shopping zitakuwa makuu na kujenga ma ghorofa. Hiyo ndo mmewe alimwambia ndo sababu ya kugombea ubunge?
 
Back
Top Bottom