cyrustheruler
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 2,043
- 1,873
Siasa za umbea tu!
Mimi nakubaliana kabisa na aliyetoa post hii, kuna siku yule mwanamke alitoa post facebook kapiga picha pesa walizochangiwa kwa ajili ya kampeni huku akiongea maneno ya shombo kweli kweli
Mkuu hakuna mahali nilipoonyesha nataka kuwatenganisha,nataka apate muda tu wa kumjengea uwezo na ni mambo ambayo anaweza kuyaacha..!
Kujiandaa si shida, hata mke wa Mhe. Magufuli hakujiandaa.Wanajamvi,
Salaam...!
Uchaguzi ndo umeshapita,ingawa kwa wagombea walioshindwa bado wanauguza majeraha hayo ya ki-siasa.
Nimeamua kumuandikia kijana Henry kilewo aliyekuwa anagombea jimbo la mwanga,akichuana vikali na prof.Jumanne Maghembe.
Inawezekana yapo mapungufu mengi yaliyosababisha kushindwa kwa huyu kijana,me ntaongelea upande mmoja tu.
Kilewo nafasi uliyokuwa unaomba,ni kubwa sana,ni utumishi ktk jamii yako. Nafasi hizi za kuchaguliwa unapozihitaji,hakikisha unafanana nazo ktk kila nyanja ili jamii ikuamini.
Kilewo kiukweli kwa kipindi hiki hukustahili kupata hiyo nafasi,hukustahili kwa sababu mkeo hakuwa amejiandaa kuwa mke wa mbunge.
Ni km ilivyowahi kusemwa humu kuhusu dr.slaa,pamoja na umahili wake lkn hana mke anayestahili kuwa first lady. Vivyo hivyo kwako.
Siamini km mimi ndo mtu wa kwanza kukueleza jambo hili,najua umeshasikia sehemu nyingi au kuona mwenyewe matendo ya mkeo.
Kwa vile ww ni kijana,naamini bado unayo nafasi ya kujipanga kutimiza ndoto zako za kuwa mh. Hebu ktk kipindi hiki cha miaka 5 jaribu kumjengea uwezo shemeji aonekane km mke wa kiongozi! Unaweza kuliona hili jambo dogo,lkn lina impact kubwa mno kwa kiongozi wa ngazi uliyokuwa unaitaka.
Watasema na wengine.
K
Hebu jaribu kutumia busara basi unapochangia ktk mambo muhimu km haya. Aliyezungumzia kuwajua wake wa viongozi ni nani? Me nimezungumzia kuhusu mke wa kiongozi kuwa na tabia isiyofaa..!Mtoa hoja nadhani hujafikirisha ubongo vizuri mke wa mbunge ana nafasi gani ktk nafasi ya ubunge wa mmewe?kuna hadi mawazili wake zao hatuwajui itakuwaje mbunge? nenda kajipange upya.
Mkuu THE BIG SHOW mbona umeenda mbali sana mkuu wangu!!? Nadhani bado anayo nafasi ya kumjengea uwezo na akabadilika. Shida nyingine ya aina ya watu km huyo shemeji yetu,anaweza kubadilika kwa muda tu,mshua akibahatika kuukwaa uheshimiwa,anabadilika zaidi ya alivyo hivi sasa!Mjela jela Kileo nilikua namjua ni mjanja ajabu anaenda kuokota chizi km yule then anamweka ndan na kumuita mke.
Tokea lin mke akawa chiz km yule.
Hata ungeenda wewe na mkeo anavaa maksi na haongei vibaya usingepata watu wanahonga na kuiba vitu anavyofanya huyo mshindi waulize wa huko mfano kwa Tibaijuka napo ni tabia nzuri? je Chenge na wengine wana lugha nzuri? mbona wameshinda? je kushindwa kwa Lowasa mkewe ana lugha au vaa vibaya? siku njema
Ndo maana nikaona nilete hapa apate ushauri usio na unafiki. Waliobahatika kukutana nae huko kwenye kampeni za mumewe,wanasema anachoandika facebook hakina tofauti na ukikutana nae..! Kwa vile kijana mwenzetu kaamua kutaka kuwa kiongozi,lazima atuonyeshe pia uwezo wake wa uongozi ktk familia yake.Ni heri yule dada angenyamaza kuliko yale aliyokuwa anaongea huko facebook. Kuna baadhi ya maneno alikuwa akiropoka hata watu wa mwanga walichukizwa.
Nasema, ni heri angekaa kimya kama mama Magufuli, au angeongea kwa busara, kama mama Lowassa. Naungana na mleta mada kuwa Joyce alichangia sana kupunguza kura za mume wake.
Mkuu IROKOS pamoja na ku-quote bandiko lote lkn hujaona maantiki yangu?? Hebu soma tena bandiko langu nadhani ukirudi utakuwa na mchango mzuri zaidi.