Rai yangu kwa wapinzani wanaowadharau wanaccm na CCM yetu

Fukua

JF-Expert Member
Jun 1, 2022
546
479
Habarini wanajukwaa

Kama kichwa Cha mada kinavyojieleza, napenda kwenda moja kwa moja kwenye mada.

Kuna kundi la watanzania wachache ambao wanajiona wao ni wapinzani wa ajabu Sana na kufikia hatua ya kuwadharau, kuwakejeli na kuwatukana vijana, wazee,wanawake, viongozi na wanachama wote wa ccm kwa ujumla ktk taifa letu.

Jambo hili sio sahihi hata kidogo CCM ni Chama kikubwa kina historia ndefu afrika na ulimwenguni hata Kama watabisha kizembe leo.

Chama hiki kimebeba na kulea watu au wanachama ambao wameifikisha Tanzania hapa ilipo Leo ikiwa na amani na utulivu.

CCM ni taasisi Kama zilivyo taasisi nyingine Mara chache NI kweli kimewapa nafasi vijana wa hovyo, lkn udhaifu huo mdogo haukuwahi kuiteteresha CCM Kama Chama hata kidogo Bali umenifanya chama kuwa imara zaidi.

Napenda Sana upinzani kwani binafsi naamin ndio hutoa dira kinzani ya maendeleo.

Lakini Kama NI kwa Aina ya upinzani wa Tanzania ambao hauwezi kutambua hata mzizi mkuu wa washindani wao napata Sana shida kuwaamini kwamba Wana malengo thabiti ya kuchukua dola na kutuongoza watanzania.

Ushauri wangu kwa vyama rafiki vinavyojiita upinzani NI kwamba mkitaka kushindana na ccm ieleweni nguvu, historia na mbinu za CCM tofauti na hapo mtakuwa NI watu wa kuumizwa, kujutia na mwisho kulambishwa asali na kazi inakuwa imeisha.

Msiidharau ccm na wanaccm NI watu makini wenye ueledi akili na maarifa hata Kama Kuna vilaza wachache wanaoweza kupewa nafasi flani ndogo za kiuongozi na Chama.

Mama yetu Samia ni miongoni mwa viongozi makini Sana walio na watakao iongoza CCM na serikali yake vizuri, ameanza vizuri na atamaliza vizuri.

Vijana,wazee, wanawake na wanachama wa upinzani katika ujinga mkubwa mnaofanya NI kujisahaulisha na kuwachukulia kwamba wanaccm NI wajinga la hasha! Wanaccm NI watu smart kuliko mnavyojidanganya.

Mama kazi iendelee na endelea kuupiga mwingi watanzania tunakuelewa
Kwanza
 
Wanaccm NI watu smart kuliko mnavyojidanganya.
giphy.gif
 
Kwahiyo na hili unataka ujibiwe?
 
Mataga nawafananishaga na dereva bodaboda. Akiwa hana hicho chombo anakuwa timamu ila akiwa nacho anajitoa ufahamu. Ataendesha kama yupo uwanja wa vita.
 
"CCM inaungwa mkono zaidi na watu wajinga" - TWAWEZA.

Kama mtu unathubutu kutamka kuwa kuua, kuteka, kupoteza watu, kuwapigilia misumari watu, kuwakata watu masikio, kuwapora watu pesa zao, kuwa ni makosa madogo yaliyofanywa na viongozi waliopewa dhamana na CCM, wewe ni kudharaulika na kupuuzwa kabisa.
 
Habarini wanajukwaa

Kama kichwa Cha mada kinavyojieleza, napenda kwenda moja kwa moja kwenye mada.

Kuna kundi la watanzania wachache ambao wanajiona wao ni wapinzani wa ajabu Sana na kufikia hatua ya kuwadharau, kuwakejeli na kuwatukana vijana, wazee,wanawake, viongozi na wanachama wote wa ccm kwa ujumla ktk taifa letu.

Jambo hili sio sahihi hata kidogo CCM ni Chama kikubwa kina historia ndefu afrika na ulimwenguni hata Kama watabisha kizembe leo.

Chama hiki kimebeba na kulea watu au wanachama ambao wameifikisha Tanzania hapa ilipo Leo ikiwa na amani na utulivu.

CCM ni taasisi Kama zilivyo taasisi nyingine Mara chache NI kweli kimewapa nafasi vijana wa hovyo, lkn udhaifu huo mdogo haukuwahi kuiteteresha CCM Kama Chama hata kidogo Bali umenifanya chama kuwa imara zaidi.

Napenda Sana upinzani kwani binafsi naamin ndio hutoa dira kinzani ya maendeleo.

Lakini Kama NI kwa Aina ya upinzani wa Tanzania ambao hauwezi kutambua hata mzizi mkuu wa washindani wao napata Sana shida kuwaamini kwamba Wana malengo thabiti ya kuchukua dola na kutuongoza watanzania.

Ushauri wangu kwa vyama rafiki vinavyojiita upinzani NI kwamba mkitaka kushindana na ccm ieleweni nguvu, historia na mbinu za CCM tofauti na hapo mtakuwa NI watu wa kuumizwa, kujutia na mwisho kulambishwa asali na kazi inakuwa imeisha.

Msiidharau ccm na wanaccm NI watu makini wenye ueledi akili na maarifa hata Kama Kuna vilaza wachache wanaoweza kupewa nafasi flani ndogo za kiuongozi na Chama.

Mama yetu Samia ni miongoni mwa viongozi makini Sana walio na watakao iongoza CCM na serikali yake vizuri, ameanza vizuri na atamaliza vizuri.

Vijana,wazee, wanawake na wanachama wa upinzani katika ujinga mkubwa mnaofanya NI kujisahaulisha na kuwachukulia kwamba wanaccm NI wajinga la hasha! Wanaccm NI watu smart kuliko mnavyojidanganya.

Mama kazi iendelee na endelea kuupiga mwingi watanzania tunakuelewa
Kwanza
CCM bila TISS na Polisi, kesho tu asubuhi hawapo, weledi unaowasifia unategemea TISS na Polisi, siyo sanduku la kura.
 
Fukua nilikuwa mwanachama mtiifu wa ccm mpaka 1984.. Na sijawahi kujuta kutoka ccm.. Kwakuwa niligoma kuwa kinyonga, hivyo naifahamu ccm ya tangu wakati huo mpaka sasa kwakuwa Mungu amenibarikia kuishi vipindi vyote na kuiona sura halisi ya ccm katika uhalisia wake
Hongera Sana ingawa sidhani Kama kubadilika badilika kwenye siasa kulingana na wakati, na mahitaji NI Jambo baya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom