notradamme
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 2,009
- 453
Kumbe Mwanza,Mbeya,Iringa etc ni wachaga,mtalia kila siku ila akili za watu sasa sio zile Cuf mapindi yale..dream walker.
huenda ukawa kweli ni kijana mchapakazi
huenda ukawa unafanya kwa dhamira saaafiiii
tatizo ni kwamba unawatumikia CHAGAZ N PUPPETS... ukiwatumikia vya kutosha na wakakuona kama threat katika mipango yao ya kishetani, you will be kicked.
kwa somo zuri zaidi muulize ZZK.
alikuwa ni zaidi ya hivyo ufanyavyo wewe na amechangia zaidi ya 50% kukifikisha chadema hapa kilipo.
ona ni kitu gani wanamfanyia????
labda ututangazie kuwa wewe ndio walewale watumwa wa mbowe/chagaz.. lakini kama unajitambua na kutambua haki yako!!! amini nakwambia kuna siku utakuja humu ukilia na kusaga meno. na sisi kwa sababu tuna kumbukumbu!!! basi tutakukumbusha na kukwambia''' lakini mbona tulikuonya""
tie is the wisest teacher, and let's wait for it
Hivi ukombozi upi uwa mnaouzungumzia.
Huyu ni div 5! Hata Jina lake hawezi kuandika! "Kamnda' ndio nini?
Hongera kwa kazi nzuri ya
kujenga chama kamanda lakini ni vyema ukaachana na kutaja jina la ZZK
kwa mabaya maana mwenzio akinyolewa na wewe tia maji.
Wenzako walianza hivyo hivyo kujenga CDM wakiwa wadogo sana tena kwa
jitihada kubwa sana pengine kuzidi hata wewe kamanda,lakini mwisho wa
siku walikuja kuonekana wabaya pale tu walipotofautiana na wanaoitwa
WENYE CHAMA. Angalia leo usiitwe kamanda na kesho ukaitwa msaliti pale
utakapotofautiana na WENYE CHAMA.
dream walker.
huenda ukawa kweli ni kijana mchapakazi
huenda ukawa unafanya kwa dhamira saaafiiii
tatizo ni kwamba unawatumikia CHAGAZ N PUPPETS... ukiwatumikia vya
kutosha na wakakuona kama threat katika mipango yao ya kishetani, you
will be kicked.
kwa somo zuri zaidi muulize ZZK.
alikuwa ni zaidi ya hivyo ufanyavyo wewe na amechangia zaidi ya 50%
kukifikisha chadema hapa kilipo.
ona ni kitu gani wanamfanyia????
labda ututangazie kuwa wewe ndio walewale watumwa wa mbowe/chagaz..
lakini kama unajitambua na kutambua haki yako!!! amini nakwambia kuna
siku utakuja humu ukilia na kusaga meno. na sisi kwa sababu tuna
kumbukumbu!!! basi tutakukumbusha na kukwambia''' lakini mbona
tulikuonya""
time is the wisest teacher, and let's wait for it
Wanachadema daima mbele nyuma mwiko.
wa nchi ya Tanzania
coz mwaka 1961 iliyopata uhuru ni Tanganyika na 64 Zanzibar. Au mkuu
unaweza kuniambia Tanzania ilipata uhuru mwaka gani?
Ukisikia kilaza ndiyo
wewe, yaani kwa maandishi makubwa ya msisitizo unaandika utumbo huu?
Hizi "User Name" za humu si lazima ziwe ndiyo majina halisi. Wewe
unavyotumia "Truth Matters" ni jina halisi? Hata ukiondoa herufi moja
kama akina "Mandla Jr" (post#6) huwezi ukasema ni
"Mandela Jr". Kama ungeona kuna nembo ya
"Verified User" labda ndo unge question. Uzuri Kamanda kwenye heading
kaandika vizuri kabisa jina lake halisi "Alphonce Mawazo" bila kujificha
kama ulivyofanya wewe!
Kamanda Mawzo aka "Kamnda Mawazo" piga kazi CCm wameanza kuhaha baada ya
Pandikizi lao kugundulika! Twanga kotekote umalize kazi. Tuko bega kwa
bega mpaka kieleweke. Peopleeeeez....!
RIP Dr Mgimwa, the latest victim of establisment's brutality. You dont think like them you go.
Hivi wewe UNADHANI
JUHUDI ZAKO ZA KUIJENGA CHADEMA ZINAZIDI ZILE ALIZOKWISHAZIFANYA ZITTO?-
WEWE UNAPATA PLATFORM YA KUZUNGUMZA KWA SABABU ULISHAJENGEWA MAZINGIRA
NA AKINA ZITTO OTHERWISE ASINGEKUSIKILIZA MTU
Pamoja kamanda stay focused..lengo n kuyatoa haya ma ccm
Mnatamani yaishe lakini hata
hamjui yataishaje, nakumbuka kibabu chenu kilisema mjadala kuhusu Zitto
umefungwa. Yako wapi sasa?
Mmewasha moto halafu mmeshindwa kuuzima, na mwaka ndo kwanza unaanza.
Mpaka ifike Disemba, kazi mnayo...
Endelea kupiga ramli,baada ya lowasa na kamati kuu ya magamba kitafata nini? chama kufa au?
Ulete mapato na matumizi
ya pesa ulizo pewa alafu wewe mjanja kweli mbona hiweki picha ya
mikutano yako
Ujumbe mzuri kamanda piga kazi
tupo pa1 kamanda
mawazo..Mungu akujalie afya na uzima ili tuweze kuikomboa nchi yetu kwa
hawa wakolon weusi.