Rai: Kapuya asamehewe...!


Hamna kitu hapa...watu wanajua kumtoa kapuya Urambo inahitaji mizengwe...so wanapika kila aina...yule mtoto kwenda kulalamika KWENYE gazeti la Chadema basi inatosha kuonesha hapa ni kuchafuana tu
Lema alichafulia ...na amekanusha...na sote tunakubali...ilhali picha zipo wazi kwenye mitandao..lakini wengi tunaamini ni mambo ya kuchafuana....pamoja na namba za simu aliziweka...na kapuya naye pia...hiii ndio siasa ya TZ
sasa huyo mtoto mbona hasemi katika hio stori yake kama baada ya kuambiwa kwamba Kapuya ana ngoma basi alienda hospitali kupima na kuambiwa ni muathirika? hakuna ambapo anathibitisha kwamba tayari ameambukizwa
pia huyu mtoto anatajwa kwenye hio stori kuwa ni yatima ..jee kisa cha kuwa yatima? jee wazeee wake walikufa?
au alitupwa ? au wamekufa kwa ngoma na wao ?

sidhani kama kuna raha yoyote kutembea na under 15...profesa ana pesa zake akitaka celebrity wetu hakosi....so why afanye hivo? ...nitakubali kama tu atakuwa na matatzo ya ubongo..unao mwathiri kisaikologia...na yeye sidhani kama ana tatizo hilo
 
Siyo huyo tu wako wengi mjengoni,:frusty: ndo maana mwenge hawaachi kuukimbiza:frusty:
 
Kumbe ngono na ubakaji ni moja nguzo kuu za uongozi ndani ya chama cha Mapinduzi...Nilikuwa sijui..
 
asemehewe kivipi? Kwa nini umsamehe mtu ambaye hata moyo wake hau-regret anachokifanya,
huyo sheria ifate mkondo wake, hata Mungu ukifanya makosa na usiombe msamaha na huna moyo wa kuacha basi mwisho wa siku mbinguni huchomi, sasa iweje huku.. Tupa jela hiyo raia, mtoto wa 14yrs kosa la kwanza under 18, still umempa ngoma, hii na kuua ina tofauti gani? Duh, imagine angekua mdogo wako au mtoto wako ambavyo ingeuma. Tandika jela hiyo raia hakuna kuiacha
 

Ndo maana tunahitaji ICC. Huyu ni mpuuzi, mbunge, na siyekuwa na mchango wowote ktk nchi hii. Inashindikana kumuingiza gerezani kwa sababu tu ni mwana CCM, Je, angekuwa Rais ameuwa raia asiye na hatia, nani hata angesema?

Tuna watu wajinga wengi sana ktk nchi na bahati mbaya mfumo umeruhusu wakaingia madarakani. Madaraka kwa nchi hii maana yake ni kila kitu. Ni kinga tosha duniani.
 
:frusty:Sasa nimepata jibu kwanini wabunge wanasema posho na mishahara haiwatoshi kumbe posho na mishahara mikubwa wanavyopata wanakwenda kuvitumia katika mambo yasiyo na maana kabisa wala tija kwa taifa:A S-confused1:!!!!!!!!!!
 

Typical of CCM members and leaders; small brain and less use of cerebral.
sijui kwa nini wameingia kwa wingi JF bila kuangalia ubora wao. Hii ndo Hali inayotukatisha tamaa wenye akili kuungwa CCM. Hakuna cha kujifunza!
Wengi ni wa aina hii:


Join Date : 1st October 2013
Posts : 100
Rep Power : 327
Likes Received 26
Likes Given 10
 
Kinachosikitisha ni namna wahusika wakuu na hatwa vyombo vya usalama walivyopiga kimya kwenye hii issue
 

kwa namna yoyote ile Kapuya atakua amemtia huyo mtoto... iwe mwaka huu au mwaka juzi... the girl is uderage, jamaa is HIV+,

hii inaleta picha gani???

Kuhusu raha ya kutembea na underage, muulize kapuya na wanaotembea na underage, wapo na wataendelea kuwepo... huwezi kumtetea kapuya kwa hoja nyepesi nyepesi tu kama unavyokata iwe, kwani wanaobaka vitoto vya miaka minne au wanaolawiti waotto wadogo wanapata raha gani?? ni ugonjwa wa akili huo...

Just pray that you children dont live to be abused maana ikitokea ndio utajua uchungu wake

UNATIA KINYAA KWA SIMPLE POLITICS KWENYE SERIOUS MATTER
 
Lakini mkuu Mchunguzi, kila kitu kina mwanzo na mwisho wake.

Dunia hii imewahi kuwa na watawala mbalimbali madikteta hadi wengine wakadiriki kujiita ni ma-life Presidents, wako wapi hivi leo?

Wengi wao wapo ku-udongo, na wengi wao waling'olewa madarakani kabla ya kutimiza ndoto zao za kufa wakiwa madarakani!!

Kwa maana hiyo inashangaza kupita kiasi, anapotokea mtu kama Kapuya na kumtisha huyo binti mdogo kuwa atamuulia kwa mbali na hakuna chombo chochote cha dola kinachoweza kumfanya chochote na akaendelea kutamba kuwa wao ndoyo wenye nchi, na ndiyo maana watoto wao wanauza madawa ya kulevya bila wasiwasi wowote na hakuna chombo chochote cha dola chenye uthubutu wa kuwakamata, WATOTO HAO WENYE BABA ZAO AKINA KAPUYA na wengine the likes KUTOKA CHAMA TAWALA!!!

Kwa bahati nzuri Kapuya ametusaidia kutufumbulia fumbo gumu sana, ambalo limekuwa likitushinda waTZ kulifumbua kwa muda mrefu kuwa inakuwaje mizigo mikubwa ya madawa ya kulevya inapenya kirahisi kwenye viwanja vyetu vya ndege, lakini wakati huo huo inakamatwa kiulaini mno, inapofika kwenye viwanja vya ndege vya wenzetu, wanapopeleka mizigo yao hiyo ya unga?!!!!
 

Ewe punguani umeniitia nini? kusoma huu uozo wako?

Mtoto abakwe asiripoti polisi, akae mwaka arudi tena kubakwa na huyo huyo aliyembaka kwanza, akae miaka miwili ndiyo mlete habari zake JF?

Ukiyaamini hayo utaamini pia kuwa Lema alikuwa akishughulikiwa na mwenzake kama kwenye hizo picha zinazoongelewa, mimi sijaziona lakini hainiingii akilini kama kijana kama yule anaweza kuinamishwa na wenzake. Vipi wewe inakuingia?
 
serikali ya ccm ni ya kulindana, hapo hakuna kitakachofanyika. vijana tujitambue tuokoe taifa letu. kutoka kuuza unga, meno ya tembo na faru, hadi kubaka watoto yatima na kuambukiza ukimwi. ubinadamu uko wapi?
 

wote ulio wataja huenda wamebakwa ndio wakapata nafasi hizo
 

wewe bweha kweli kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…