Rai: Kapuya asamehewe...!

Yan hili zee sijui likoje, ni kichaaa na zezete, amebaka mtoto, au kw sababu ya mambo ya kishirikina?

Namsifu Lema alimbaka yule changudoa (hili linajadilika)

Da kumbe na machangudoa huwa wanabakwa.
 
Mama Makinda,Sophia Simba, kumbukeni muosha huoshwa huyo mtoto sio wa kwenu ila madaraka mliyonayo mlipaswa mseme kitu ila mmenyamaza kimya. Endeleeni hivyohivyo ila Mungu hatonyamaza kamwe
 
let us decide to change our nation and format the content in the government (uninstall the government), install new government
 
Inasikitisha sana....
Hili ni moja tu limejulikana...sijui mengine yakijulikana itakuaje? au ndo yale yale "Ni upepo tu, hili nalo litapita"
Kwa kweli ni aibu kwa Taifa.....Inasikitisha sana
 
Akudoooooooooooooooooooooozzzzzzzzzz...................
 
mkuu prs hao uliowataja sio wapenzi wa ccm,ni jihadists kikwete akimaliza muda wake hutowasikia tena wakiitetea ccm,believe when i say.

Nakubaliana na wewe Mkuu maandamano ..

Maana pamoja na kuwa CCM lakini hawamkubali hayati Mwl.J.K.Nyerere hapa huwa nashangaa sana. ..
 
Last edited by a moderator:
Ndugu watanzania wenzangu kila siku sisi wanaharakati humu mitandaoni tunaandika kwamba dawa pekee ya kuondoa aibu hii ni KUITOKOMEZA KABISA CCM NA MAKANDOKANDO YAKE .
 
Ndiyo vionogzi tulio wataka,wala tusilalamike.Tulipokea vijisenti kwa kuuza KURA zetu laana ndiyi inatutafuna.
 
Hakuna nchi yoyote duniani inayoweza kushirikiana na nchi ambayo imejaa viongozi wabakaji , wala rushwa , mafisadi , wauza unga kama hii yetu , NACHUKUA FURSA HII KUWAPONGEZA VIONGOZI WA NCHI ZA AFRICA MASHARIKI KWA KULIONA HILI NA KUAMUA KUITENGA TANZANIA , MNA AKILI SANA !
 
"Sisi ndio wenye nchi"
"Watoto wetu wanauza unga hawakamatwi"
"nitawauwa "
"Nitakunywa sumu"

By Kapuya (MB) Waziri wa JMT

Sijui kama kweli ni Professor, Sijui aliupataje huo uwaziri. Je ni kweli HIV huharibu ubongo kiasi hichi? CCM mnamaliza nchi hadi kwa ukimwi? Tuliwakosea nini sisi Watanzania hadi mtufanye hivi?
 
Mama Makinda,Sophia Simba, kumbukeni muosha huoshwa huyo mtoto sio wa kwenu ila madaraka mliyonayo mlipaswa mseme kitu ila mmenyamaza kimya. Endeleeni hivyohivyo ila Mungu hatonyamaza kamwe

laana ya milele iwaangazie wale wote walioshiriki kuficha ukweli kwenye hili .
 
Uwajibikaji usio wa kinafiki

Wakati Mh Mizengo Pinda alipotoa kauli kuhusu wanaokaidi WAPIGWE,wanasheria na wanaharakati takribani 47 walizungumza na magazeti na kisha kumfungulia KESI PINDA

1.WAKO WAPI WAZALENDO WALE WAMFUNGULIE KESI PROF KAPUYA

2.Wako wapi akina DR HELENI KIJO BISIMBA,NKYA NA LHRC

Huu ndio wakati wao muafaka wa kuonyesha kazi halisi tulizowatuma na wanazopata kwenda majukwaani.HAKIKA SIASA SIO MAHALI PAO KWANI KUMTETEA BINTI HUYU MUNGU ATAWABARIKI NA KUNG'ANG'ANIA kufanya kazi ambazo ni kinyume cha Articles of Association zao ni kutudanganya na msipolifuatilia hili.tutaanza na yafuatayo

a)Kuangalia Takwimu za Utendaji wenu na kuzifuatilia katika grass root kuangalia uhalisia au kama mmezipika.

b)Kuongea na Wafadhili wenu kuhusu Uhalali wa Kuendelea kupatiwa fedha

c)Kuwafungulia Mashtaka ya matumizi mabaya ya ofisi,(Mna base kwenye siasa kuliko kazi zenu)

d)Kurudisha fedha kwa wafadhili na fedha hizo kupewa mashirika yaliyo serious amabayo kazi zao zinapimwa kwenye grassroot kuliko nyinyi ambao mmeng'ang'ania dar tuu/.MEUNDE MIKOANI
 
Niliwahi kukutana na Kapuya kwenye tawi la benki mojawapo maeneo ya Posta wote tulikuwa na shida na meneja wa benki ambae ofisi yake iko ghorofani, nilimuonea huruma mzee huyu alivyopata shida kupanda ngazi. Sasa najiuliza anapata wapi nguvu za kubaka watoto? hata hajihurumii afya yake na za hao mabinti? inasikitisha kwa kweli.
 
Kazi kwelikweli!! Inaonekana amewaambukiza ukimwi wengi!!! Kumbe hii ndiyo ilani ya CCM!!




napata wasiwasi wa kuhusu ukweli wa picha hizi hususani picha ya pili, ebu wataalamu wa ict watusaidie maana inawezekana zikawa zimefanyiwa editing
 

siku zote tunaposema kwamba kuipigania ccm ni sawa na kumpigania SHETANI huwa hatubahatishi mjomba .
 
Inabidi Mama Salma Kikwete amshauri Mkuu wa Kaya kwani alisema..."Mtoto wa Mwenzio ni Mwanao"
 

Kapuya ni mwenzetu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…