CCM inatumalizia kizazi chetu...Hii hasira tutaimaluzia 2015....
cc Simiyu Yetu
sixgates
chama kipya
Duh izi laana nyingine, Lema yeye alibaka haitoshi kaliwa witi. Leo tumeamka kapuya kabaka. Hii nchi inafika mwisho.
Hili sio swala la kupuuzia, ccm na chadema fukuzeni hao takataka
Peleka unafiki wewe....CCM wote mko hivyo....Halafu angalia usije ukakosa buku saba mjinga wewe....Wabakaji wakubwa kabisa.....Unajipendekeza ehhh......
Mkuu ccm inahusikaje? Muulize Lema alieliwa kizazi.
Ndugu Zanguni watanzania ..
Kwa niaba ya Moyo Wa kizalendo nawasihi tumsamehe mtanzania mwenzetu Mbunge wa Urambo Magharibi J. Kapuya kwa kitendo Cha Kumbaka Na kumwambukiza maradhi ya UKIMWI mtoto mwenye miaka 14 (alipombaka) ingawa kwa Sasa ana miaka 16 anayesoma Shule ya Sekondari Turiani iliyoko Magomeni jijini Dar es Salaam.
Baada ya kushusha ghadhabu, khasira Kali juu ya ndugu yetu huyu, tumtakie kheri kwenye majukumu Yake haya yatayofuatia..
1:- Aachie haraka kiti Cha ubunge tena Kwa Muda usiozidi siku moja ijayo Na asipofanya hivyo basi hastahili samehe yetu.. Na asipoachia kiti basi Bosi wake amwajibishe haraka sana ili nchi isipasuke.
2:- apelekwe Mbele ya Sheria, aelewe Jela sio kifo, ataendeleza maisha huko jela kwa sehemu ya umri wake uliobaki.
3:- wakati mashtaka yake yakiendelea, awe muungwana zaidi Kwa nchi yake, asaidie kueleza viongozi wenzake wote Na Watoto Wao wanaojishughurisha Na mihadarati tena Kwa Uwazi kabisa bila woga wala chenga ili taifa Lipone jamani.
Wakati haya yakiendelea Kwa Kapuya then
1:- Spika Anna Makinda aachie haraka kiti Cha spika wa Bunge la JMT, Kwa Sababu Kama Mwanamke amediriki kufumbia macho udhalilishaji mkubwa namna hii Kwa Mtoto Wa kike. Harakati Za Mtoto kukimbilia bungeni Kwenye Msaada Kwa Mwanamke mwenzake, huyo Mwanamke Kama Yeye ndiye kwanza amebuni, kupanga Na kuendeleza kumkandamiza Mtoto huyo kike. Hafai wala haki haitomruhusu aendelee kuwa spika.
2:- wabunge wote wanawake Na wengine ambao Kwenye vichwa vyao angalau wanafikiri Mtoto wa kike ni kitu katika jamii WASITISHE SHUGHULI ZA BUNGE Mpaka hapo haki halali itapochukuliwa dhidi ya kitendo hiki. Kugomea Bunge hadi haki Kwa raia huyu, mnyonge, asiye Na ndugu wala Wazazi, aliyeathirika makusudi ITAPOCHUKULIWA..
Lema anakuwasha ehhhh.....Kwajinsi unavyo mtajataja Lema sasa naanza kuamini wewe ndo uliyehusika katika utengenezaji wa zile picha za kumchafua Lema.....
Nakumbuka miaka ya 2008, maeneo ya mwananyamala kwa dada mmoj yatima na msanii ( afya yake si nzuri kwa sasa) nilimpekekea ujumbe fluni kwakuwa ujumbe huo ulikuwa muhimu sana ilimlazimu anikaribishe ndani ingawa kwa kusita sana,
Ilimbidi aingie ndani kwanza kuweka mambo sawa ndiyo akanikaribisha tukafanya mazungumzo yetu ambayo yalichukuwa takribani nusu saa na alikuwa anajaribu yayakatisha haraka bila mafanikio kwani nature ya mazungumzo haikuruhusu kwani yalikuwa muhimu sana.
Chakushangaza nikamuona mueshimiwa anatoka na taulo bafuni huyo anaingia chumbani kwani yumba hiyo ukiwa sebuleni unamuona mtu akitoka public toilet yule dada ilibidi aniniambie ukweli kuwa ndiyo aliyempangishia pale yeye na mdogo wake na amsaidia sana.
Kuanzia hapo ndipo nilipomdharau sana huyu muheshimiwa.
Na jana wamekamatwa tena VINANA zanzibar,hawana hamu na jf kabisasixgates
MSALANI
Simiyu Yetu
T2015CCM
ZeMarcopolo
Ritz
chama kipya..................Nawahitaji kwenye hii thread....Najua mpo mnarandaranda maana tumewabana pande zote.......
Njooni hima mumtetee mwana-ccm mwenzenu....
Naona chriss lukosi kasepa fasta.....
Hata video ya lwakatale mwanzoni mlisema ni ya kutengeneza, baadaye ukweli ukagundulika sio ya kutengeneza.
Chadema ina ungonjwa mmoja. Kutokuamini vitu at the first sight.
Kapt Komba,Kapuya na vitoto wote hao makada wa ccm nikuongezee list?Azzan etcMkuu ccm inahusikaje? Muulize Lema alieliwa kizazi.
Shame on you...Umehusika kutengeneza picha za kumchafua Lema....
Yan hili zee sijui likoje, ni kichaaa na zezete, amebaka mtoto, au kw sababu ya mambo ya kishirikina?
Namsifu Lema alimbaka yule changudoa (hili linajadilika)
Kwa maelezo ya awali, mtoto huyo yatima (14) aliambiwa na wenzake ajaribu kumtafuta Mweshimiwa Juma Kapuya kupitia kwa reprentative wake ili amsaidie kwani amesaidia watu wengi sana hasa watoto yatima.
....
Kazi kwelikweli!! Inaonekana amewaambukiza ukimwi wengi!!! Kumbe hii ndiyo ilani ya CCM!!