Unajua kua ana makosa matatu?
1. kumbaka mwanafunzi
2. kumuambukiza VVU mwanafunzi kwa makusudi.
3. Kutishia kuua.
Akisamehewa huyu, wabakaji wengine wote waachiwe kutoka jela na wenye kesi za kubakwa zifutwe ili kuhalalisha kua kubaka inaruhusiwa Tanzania.
Unaweza kusema asamehewe sababu unadhani ni mtu anaehangaikia maendeleo ya nchi, vipi kuhusiana na waliofungwa pia, ambao hawatasamehewa? mangapi walioyafanya, pengine waliajiri watu. kwenye maofisi yao na ajira hizo kukoma baada ya kuingia jela kwa kesi ya kubaka!
Kila mtu ana umuhimu wake.
NADHANI KWA KAPUYA, SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE KAMA KWA WATU WENGINE.
EVERYONE IS EQUAL UNDER THE LAW.