Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,951
- Thread starter
- #81
Naona bro hapa unaongea kwa hasira sana.Wanawake wafupi wana maneno mengi, wanapata marafiki kirahisi ila hawatunzi siri,ni wakorofi wanapochukia, ni wahuni( kuwa na wanaume wengi) pia ni wasaliti sana.Rudia utafiti wako !!
Huenda umetendwa. Lakini huyo mmoja hawezi akaondoa ukweli. Watoto wafupi wapo fresh sana. Unatakiwa kuwaelewa saikolojia yao. Ukiwaelewa tu wala hutagombana nao.
Wafupi ni wepesi sana kusamehe na huwa hawana visasi.
Warefu wanavisasi vya kufa mtu. Huwa wanaweka vitu moyoni na hawaongei sana zaidi ya kuleta madhara bila hata majadiliano.
Wafupi hutoa hisia zao hadharani na hupenda kusikilizwa. Ukiwa mbabe hamtawezana nao. Unatakiwa ujue saikolojia ya wanawake wafupi.
