Lyn Vivac
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 858
- 1,024
Hukufa???Wewe ni mzuri sana mara ya kwanza kukuona moyo ulisimama.
Hukufa???Wewe ni mzuri sana mara ya kwanza kukuona moyo ulisimama.
Hukufa???
mmh kwanini , ?Kwa uliyocoment kule juu, sitaki unipende
Kwani bado umelala???
Shepu yako nzuri Kama mwandiko wako.. na chura wako amekaa vizuri sana
Mie Mwanamme mfupi hata hani excite lol sijui namuonaje nahisi kama hata mambo yake hua mafupi fupi hana haraka ya maisha sijui namuonaje,sorry to say this..
Nashukuru niko nae tayari mkuu..Basi njoo kwa matolu uku
Hongera kwa hatua hyo.Nilizimia,kila nikikumbuka sura yangu inachanua kwa tabasamu mwanana kama ua waridi.
Practical hapana.mmh kwanini , ?
basi njoo tuyajenge, mwenzio ndo ugonjwa wangu,hasa ukizingatia me ni mrefuPractical hapana.
Hahahaaaaaa, mefurah bureeNilizimia,kila nikikumbuka sura yangu inachanua kwa tabasamu mwanana kama ua waridi.
Ndugu ninakwambia hii ni reseach nimefanya mwenyewe.Hujakutana na mrefu wewe, utajiliuza ulikuwa wapi kuhangaika na wafupi.
Mbona unasema mguno wangu unakupa mhamko?Bado Niko kweny mishe sija lala
Hahaa. ShigdeeShepu yako nzuri Kama mwandiko wako.. na chura wako amekaa vizuri sana
Hahahaaaaaa, mefurah buree