Shemtibuko
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 728
- 1,014
Mkuu nilijua wananipenda mimi peke angu tu, kiukweli sichoki kua na msichana mfupi anajituma kila sekta. Salamu ziwafikie 

Mim napenda kuwaita shortchasis a.k.a wazee wa vigololi.Nashukuru leo nami nimesifiwa. Tunajiitaga Shortcute.
Khaa hiyo misemo bado inatumika mpaka leo!!?Mwanamke sio urefu wala mfupi. Mwanamke ni tabia. Kama amelewa kuwa na tabia nzuri basi ni mzuri na anajua mambo. Kama tabia aliyonichafu basi jua hata yy pia ji mchafu
Hii ni kweli mkuuKuna style zingine kwa mademu wafupi huwa wanaumia mfano dog style huwa inagonga ukuta Fulani sijui hata ni ukuta gani ule.
Ikigonga ukuta utasikia unaniumiza tumbo..sitaki hii style naomba tubadilishe utaharibu kikazi.
Hivi ni kweli au uvivu tu wa hawa watoto?
ila kweli mkuu, hata ukichukua sammpling ya wanawake wa Ambiasi ambakao wanawake wanajiuza na wanawake walioko chuon, mfano mlimani au ardhi pale...Nawasalimia wana JF.
Hebu leo ngoja niongelee ka utafiti kangu nilikokafanya. Kwanza mimi ni mrefu wa wastani naweza kusema nipo na 180.3cm.
Nimetokea kuwapenda sana wanawake wafupi. Kwanza hawa wanawake wanajituma sana katika kila kona.
Ni wabishi sana na hawapendi kushindwa. Pia ni wakorofi sana hawapengi kuona msichana mwingine anachukua bwana wake. Lazima kinuke.
Wanawake wafupi walio wengi ni wasafi sana wanapenda kuvaa vizuri. Kwa kweli ule ukorofi wao huwa naupenda sana nahisi ninapendwa na nipo na ulinzi.
Halafu hawa wanawake walio wengi wanajua kupika tena chakula kizuri sana.
Hawa wanawake wafupi hupenda kuonesha mahaba kwa wapenzi wao. Wapo tayari kupigana busu la ulimi hadharani bila hata woga. Huonesha hisia zao hadharani bila kuficha.
Kwa kweli kutokana na uafiti wangu huu wa sample ya watu kadhaa. Watu wafupi wamepata 79% katika kuonesha mapenzi ya dhati. Na kwakweli wanatoa raha ya ukweli. Walio wengi sio magogo.
Nawasilisha hoja.
Warefu wanapenda maisha ya shortcut.ila kweli mkuu, hata ukichukua sammpling ya wanawake wa Ambiasi ambakao wanawake wanajiuza na wanawake walioko chuon, mfano mlimani au ardhi pale...
utaona walefu ni weng ambiasy na wafup ni wengi vyuon...
kama ulivyoseama hawa wafupi ni wapambanaji, they are samart and careness lather than tall girls
ila kweli mkuu, hata ukichukua sammpling ya wanawake wa Ambiasi ambakao wanawake wanajiuza na wanawake walioko chuon, mfano mlimani au ardhi pale...
utaona walefu ni weng ambiasy na wafup ni wengi vyuon...
kama ulivyoseama hawa wafupi ni wapambanaji, they are samart and careness lather than tall girls
Naongezea dawa yao iko karibu ukichimba huendi mbali sanaNawasalimia wana JF.