Shida ni kwamba umpendae anamuwaza mwengine kabisa.[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] kazi kweli kupata 100% kazi sana, hapo nawe jiulize nawe unafiti sio kwa mwenza tu,
Eeeee mwenyezi Mungu tusaidiye
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya maneno, moyo unakupeleka kwenye majangaYani tatizo ni moyo dada unakuta wewe unapendwa na mtu ambae we humpendi na wewe unampenda mtu mwingine ambae nae hakupendi...mtu unahangaika na mtu na yeye anahangaikaa na ngedere mwingine huko swhaini kabisa
Perfect, sema Dunia nayo haieleweki bhana....Ukipendwa kwenye ndoa ni kama unaishi pepo ya dunia. Hata uwe unakoroma usingizini mwenza ataichukulia poa tu. tena ukisafiri ana miss ule mkoromo wako.
Hata uwe unakojoa kitandani, ataongeza budget ya omo na kubadilisha shuka alfajiri huku kimya kimya akimtafuta daktari wa kukutibu.
Makosa tunayofanya ni kumtafuta msichana wa kuvutia na unawaacha wale wanaokupenda kwa upendo huu wa agape.
Wadada wanatafuta handsome, aliyesoma, mwenye kuendesha gari nzuri. Yule Hamis next door ambae angeweza kukinga matapishi yako kwa mkono ukiugua unamuona zobwe.
Dunia ni majanga.
Hili ndio kusudi la ndoa. Changamoto ni kwamba je upo tayari kuishinda tamaaUkipendwa kwenye ndoa ni kama unaishi pepo ya dunia. Hata uwe unakoroma usingizini mwenza ataichukulia poa tu. tena ukisafiri ana miss ule mkoromo wako.
Hata uwe unakojoa kitandani, ataongeza budget ya omo na kubadilisha shuka alfajiri huku kimya kimya akimtafuta daktari wa kukutibu.
Makosa tunayofanya ni kumtafuta msichana wa kuvutia na unawaacha wale wanaokupenda kwa upendo huu wa agape.
Wadada wanatafuta handsome, aliyesoma, mwenye kuendesha gari nzuri. Yule Hamis next door ambae angeweza kukinga matapishi yako kwa mkono ukiugua unamuona zobwe.
Dunia ni majanga.
Ni kweli. Ila ni mtihani mgumu sana hasa kwa sisi vijanaMapenzi ya kweli hushinda tamaa.
Kuna dada alifungua duka, mdada wa mujini maisha ana yamudu kidogo kidogo lakini mume hana. Aliajiri mtu wa kumuuzia duka, dada aliyeajiriwa mchumba wake alikuwa masomoni Ulaya.Hili ndio kusudi la ndoa. Changamoto ni kwamba je upo tayari kuishinda tamaa
HAAAA thats great my dear sister, where have you been for days, or you were busy very busy with americas senetorial mid term elections coming up in november, be blessed a lot, and how is bongo plsUkipendwa kwenye ndoa ni kama unaishi pepo ya dunia. Hata uwe unakoroma usingizini mwenza ataichukulia poa tu. tena ukisafiri ana miss ule mkoromo wako.
Hata uwe unakojoa kitandani, ataongeza budget ya omo na kubadilisha shuka alfajiri huku kimya kimya akimtafuta daktari wa kukutibu.
Makosa tunayofanya ni kumtafuta msichana wa kuvutia na unawaacha wale wanaokupenda kwa upendo huu wa agape.
Wadada wanatafuta handsome, aliyesoma, mwenye kuendesha gari nzuri. Yule Hamis next door ambae angeweza kukinga matapishi yako kwa mkono ukiugua unamuona zobwe.
Dunia ni majanga.
VERY TRUE MY SISKuna hard heads, hawajui kupenda, no either lust or no love.
Saaana,mnayamaliza kabla hakujakucha,.nimeshangaa sana aiseee,.Hata mie nimeshangaa unajua kama mlipendana hata mkitibuana ni rahisi kuyamaliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mumu unajua nakutafuta muda mrefu sijui ndiyo huu msema unatimia ujue mimi ndiyo Hamisi next door[emoji16][emoji16]Kwa uwezo wa Mungu upitao fahamu zote,.INAWEZEKANA.