Raha ya ndoa NI NINI?

He he he he, hapo blue
Liwapate wooote wanaoingia jf na miwani za lensi mbinuo
eti wamekomaaa utadhani dokta kapotezea sindano rungu kwenye tumbo la mgonjwa lol

Ila mie naflirt akizubaa namla, hasa Bishanga

Kula ruksa mbaya kuvimbiwa lol

Kongosho haya ni maisha rafiki so sometimes lazima uwe mtu wa kuchat tu humu jf kuongeza uwezo wa kupambanua mambo na kuosha akili. ukijidai mnoko wa maisha utajicomitia suisaidi mapemaa kama wengine bwana kwa raha zako jiachie.
 

Ok mkuu wangu nashukuru sana kwa ushauri wako mkuu, maana still nilikuwa bado nafikiria so now umenifungua nashukuru sana
 
Wala usiwe na shaka BADILI TABIA nimempendea mengi, ngono ni kimalizio tu lol hata style ya death of cockroach sie twende kazi..... ili mradi miguuye ikae mabegani mwangu...khaa!!
BADILI TABIA na Kongosho yamenishula lol! nimekoma kuingilia mapenzi ya watu. quite shhhhhhhhhhhhhhhh!
 
Last edited by a moderator:
Bazazi nimekupa like kwa kunifanya nicheke leo lol! sijasema nataka nitoke but nataka kujua nini hasa raha ya ndoa?

Unajua gfsonwin, maswali tata hupewa majibu tata. Lakini nashukuru qa angalau leo kukuongezea siku za kuishi baada ya kukuongezea ma"stress".

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:

Kama wewe ni mkristu kasome Biblia utapata majibu huko!!
 
gfsonwin Hapo nitaconclude kwa kusema kuwa hakuna upendo kwani naamini kuwa mtu unayemoenda huwezi kumuwekea mipaka ya kulala kitndani...hlafu pili kuna tofauti kubwa kati ya upendo na ashiki hivyo viwili naomba uvitambue...watu wengi wanaotoka nje ya ndoa japo si wote ila wengi wao wanatoka kwa sababu ya shiki au kwa lugha nyingine tunaweza kusema tamaa kwa ajili ya kukidihi matakwa na haja za miili yao ambayo hawawezi kuipata nje ndoa na ndio maana kila siku kedi za kufumaniana haziishi na kesi zote hutokea wakati hao wawili wakiwa wakidhi tamaa za miili yao na sio kuonyeshana upendo.
 
Last edited by a moderator:

Ndugu yangu gfsonwin,

Naomba sana ufute hayo maneno kwa sababu yanavunja hadhi na utukufu wa ndoa,

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:



Mmenifurahisha sana nyie watu......


Hivi hata Babu DC huwa anapigiwa hesabu za namna?

Someni hapa kwanza,


Retired Maj Gen DC (1947)


Babu DC!!
 
Vipi mwenzangu mbona swali hilo

Nataka nijuwe maana sijaowa bado, bado nina wasiwasi kuingia kwenye ndoa, kama na wewe bado hebu ni PM tuongee vizuri maana naona utakuwa mama mzuri wewe.
 
Raha ya ndoa ni kupata kila unachotegemea toka kwa mwenzi wako mfano, mapenzi ya dhati, kuheshimiwa na kuthaminiwa..
 
He he he he, hapo blue
Liwapate wooote wanaoingia jf na miwani za lensi mbinuo
eti wamekomaaa utadhani dokta kapotezea sindano rungu kwenye tumbo la mgonjwa lol

Ila mie naflirt akizubaa namla, hasa Bishanga

Kula ruksa mbaya kuvimbiwa lol
Konnie,nye.....ge mbaya!
 

Vice versa!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Nilitaka kusema hivi hivi...... gfsonwin hapa hata huwezi kukanusha kabisaaaa maana huo mtiririko wako nilivoufatilia kuna uwalakini!!!
Yummy na Bishanga you are just suspicious but pia yaelekea nimewavutia kweli ok tufanye basi kuwa sina mtu wa kucheat naye so natangaza nia kwa lugha ya picha.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…